Ujenzi wa nyumba zetu za kuishi za watu mbalimbali zege halikwepeki ila umekua ni mtihani mkubwa sana juu ya upatikanaji wa "materials"
Atokee tajiri mmoja basi aanzishe "dry ready mix concrete"...
Wanajamvi tuchangiane mawazo tafadhali kwa wale ambao wamekutana na kazi hizi mbili;
1. Mfumo wa choo cha kizamani, namaanisha unamuita fundi anachimba shimo anajengea vizuri kama tunavyofanya...
BILIONI TATU (3) ZAKAMILISHA MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UTAWALA MOROGORO DC
Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ina jumla ya Tarafa 6, Kata 31, Vijiji 149 na Vitongoji 733 pamoja na Watumishi wa...
Habari za leo wakuu
Nina plan kujenga kagorofa total ocuppied space ya mjengo ni 238sq
Nataman kujua makisio ya labour charge kama fundi,
Natamani kujua makisio kwa floor
14*17
Naombeni msaada
Nyumba ina ukubwa wa mita 14 kwa 12.5,
Ina vyumba 3, Sebule 1, Dinning room na jiko.
Fundi ameniambia labor charge ya kuweka zege/rough flow ya inchi mbili nyumba nzima ni 500,000/-,
Na ya...
Wanajukwaa Habari,
Naomba kuwekwa wazi hivi hizi nyumba za NHC kwa hapa Dar zinapatikanaje? Au wanaoishi hizi nyumba wameshazinunua au hawahami? Mwenye experience kidogo please
WAZIRI BASHUNGWA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA KOREA KUSINI, WAJADILI NAMNA YA KUBORESHA MIUNDOMBINU NCHINI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka nchi...
NAIBU WAZIRI KATIMBA AWATAKA VIONGOZI HALMASHAURI KUSIMAMIA MIRADI YA ELIMU KWA WELEDI
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu), Mhe. Zainab Katimba amezielekeza halmashauri zote nchini...
DARAJA LA RUHUHU LABORESHA MAWASILIANO MKOA WA RUVUMA NA NJOMBE.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua Daraja la Ruhuhu lenye urefu wa mita 98 ambalo linaunganisha Wilaya ya Nyasa Mkoani...
WAPANGAJI WA NYUMBA ZA TBA, KULIPA KODI NI WAJIBU: WAZIRI BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa(Mb) amewataka Wapangaji wanaokaa kwenye nyumba na majengo ya Wakala wa Majengo Tanzania...
Tunachora ramani za majengo kwa gharama nafuu mno kuanzia 130,000/= na kuendelea. Hii ni kwa mikoa yote.
Tupigie au WhatsApp
0759009331
Masaa 24 siku 7 za juma.
Tunachora ramani za majengo kwa gharama nafuu mno kuanzia 130,000/= na kuendelea. Hii ni kwa mikoa yote.
Tupigie au WhatsApp
0759009331
Masaa 24 siku 7 za juma.
MBUNGE MAVUNDE AAHIDI UJENZI WA KIVUKO KINACHOUNGANISHA KATA YA MSALATO NA MIYUJI
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde akiongozana na Diwani ya Kata ya Msalato Mh. Nsubi Bukuku...
Wadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na...
Msingi nataka kujenga wa mawe na uwe juu urefu wa mita moja.
Wataalamu naombeni makadirio ya gharama inaweza kufikia kiasi gani mpaka huo mjengo ukamilike kutokana na vielelezo vinavyoonekana...
Mimi ni plan ya kujenga mwaka huu, nyumba yenye vyumba vitatu katika mkoa wa PWANI. Sasa nilikuwa nataka kujua inwea kugharimu bei gani mpaka imamilike ili nijiandae vizuri financially.
RAIS SAMIA AMETOA BILIONI 150 KUJENGA BARABARA YA LUSAHUNGA - RUSUMO
Mbunge wa Jimbo La Ngara Mhe. Ndaisaba Ruholo Amemupongeza Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa...
Wakuu habari,
Hapo juu mada imejieleza ila nahitaji kujua utofauti na ubora wa mashimo yetu ya vyoo, maana hivi karibuni kumeibuka technolojia mpya ya uchimbaji wa mashimo ya vyoo (vyoo vya...
Salaam Wana jukwaa la Ujenzi,wakiwemo wahandisi Ujenzi na Mafundi wote.Nahitaji kujua standard ratio ya Kuweka Sakafu ya Cement ikoje
.Nina Eneo lishawekwa Jamvi la Ukubwa wa SQM 145.Fundi...