Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
MBUNGE NASSARI ASOTA POLISI KWA MADAI YA KUMPIGA KADA WA CCM
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari jana alishikiliwa na jeshi la polisi mkoani Arusha kwa saa tatu na nusu kwa tuhuma za...
Jamaa alioa mke na kufunga nae ndoa (ya imani ya kiislam) japo haikudumu sana ingawa walifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume na wakapeana taraka kila mtu akaendelea na maisha yake huku mwanamke...
Janeth Jackson anayedaiwa kula njama za kumuua mume wake, Simon Jakson na mtoto wake wa kambo.
Kwa ufupi
"Ni mke wa mfanyabiashara maarufuwa Tanzanite Arusha, anayedaiwa kupanga njama za...
Askari wa Jeshi la Polisi, Ramadhan Selemani (27), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shitaka la kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Sh. Milioni 121.5...
Katika toleo letu la leo ukurasa wa kwanza , tumechapisha habari yenye kichwa cha habari askari 117 wametimuliwa Polisi . Katika habari hiyo, imeelezwa kuwa, Chuo cha Taaluma na Mafunzo ya Polisi...
Bandugu, naomba kuuliza:
Suppose unaitwa X, na jina kamili la baba yako ni YZ. Kuanzia shule ya msingi, O-Level, A-Level na mpaka chuo umetumia majina mawili tu (XY) na ndiyo yanayoonekana kwenye...
Wanafunzi 117 wa Polisi, wamefukuzwa katika Chuo cha Taaluma na Mafunzo ya Polisi (MPA),
kilichopo Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Waliotupiwa virago na kufutwa kwenye kozi hiyo ni wale...
Nilikuwa na mchumba wangu ambaye nilitaraji kufunga ndoa nae ya kiislam,maandaliz ya harusi yaliendelea vizur sana na nilifanikiwa kujitambulisha kwao na pia kulipia mahari kwa asilimia 85,lakin...
je? kuna sheria yoyote inayo mfunga mtu aliyeishi na mwanamke takribani 2 bila kuwa na legal document kama wameoana. na endapo mwanaume akiamua kumuacha kuna sheria yoyote inayomulinda mwanamke...
Naomba kuuliza, je mtu akiachiswha kazi kwa kigezo kuwa shirika linafnya re-structuring na umefanya kazi na hao watu kwa miaka 3 hivi,je unastahii malipo ya namna gani. msaada wenu tafadhali
Ofisi ya Msajili wa Mahakama Kuu Tanzania imetoa Orodha Kamili ya Mawakili Wasomi Tanzania Bara ambao wamekubaliwa na kusajiliwa hadi sasa.
Nyaraka hiyo yenye kichwa 'Roll of Advocates' inaonesha...
POLISI MKOANI MWANZA YAFAFANUA KWA KINA KUHUSU VIELELEZO VYA KESI VILIVYOIBIWA KITUONI HAPO
WATU wasiofahamika idadi yao wanaodhaniwa wezi, wameiba vielelezo katika stoo ndogo ya Kituo Kikuu...
Natafuta mwanasheria au taasisi inayotoa huduma ya wanasheria ili awe mshauri na mtetezi wa familia yangu pale inapobidi.
Malipo yake yatatokana na makato yangu ya mshahara kila mwezi ,kiwango...
Nilikuwa narudi nyumani kama saa kumi na moja na nusu kutoka wilayani kwenda kwenye mji mdogo ninakoishi.
Kati ya vitongoji viwili kuna shama la mkonge na hapo nilimkuta bint mdogo,kama miaka 14...
Ndugu wanajf law,nnaswali ambalo ntashukuru kama litajibiwa.
Suppose kutokana na matatizo ya kiafya either ya mmoja wapo kati ya Mke au Mume,hawawezi kupata watoto.Na wakaamua ku adopt...
Natambua kutoa mimba ni kosa kisheria kwa nchi yetu.Je ikitokea mama mjamzito akaenda kwa daktari kutoa mimba baada ya kurudi nyumbani akafariki kwa madhara yaliyosababishwa na kutoa mimba je...