Jukwaa la Historia

On JF:

Rajab Athmani Matimbwa Rajab Matimbwa katoka Chole, Uzaramo kaja Dar es Salaam kijana mdogo kutafuta maisha. Rajab, Bi. Titi ni shangazi yake na akikaa nyumbani kwake Shauri Moyo. Harakati za...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Huyu ndie rais wa kwanza duniani ni rais wa kwanza wa marekani 1789-1797 amevunja rekodi ya kuwa rais wa kwanza hapa duniani. Kipindi anakuwa rais nchi nyingi zilikuwa zinatawaliwa kifalme na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mtangazaji wa Azam TV Faraja Kiongole na Mwandishi katika Kipindi Maalum cha Mashujaa Video itawekwa hivi karibuni In Shaallah... Katika kipindi hiki nilijaribu kueleza historia ya baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Leo hii ukizungumzia nchi zilizopiga hatua kubwa kimaendeleo hawezi kuacha kuitaja Japani. Lakini iliwezaje kufikia hatua hii? Historia inasema nini kuhusu maendeleo ya Japani? Nitazungumzia...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Askari wa kikoloni wakifaransa waliwaua Waafrika wengi kwa lengo la kukusanya fuvu zao ili kuimarisha Makumbusho yao ya historia (Museums) na walikuwa wakiingiza fedha nyingi sana kwenye hayo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Siku kama ya leo tarehe 16 Julai 1976 ni siku ambayo sherehe ya kukabizi shirika la Reli la Tazara kwa nchi za Tanzania na Zambia. Wana JF je kulingana na changamoto ambalo shirika hilo linapitia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni nani hasa alimuua Rais wa Msumbiji wakati huo Samora Machel? Renamo? Serikali ya Makaburu? Kwanini ilikuwa lazima wamuue?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ebu cheki baadhi ya michoro hiyo. Je sisi watu weusi ni sahihi kuitwa tulikuwa hatujui kusoma na kuandika? Angalia picha ya tatu kuna helicopta ya kisasa na ya egyptian wanajf tuambizane...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Kama ndio kitu mission kuwa perfecf basi mission aliyofanyiwa jamaa huyu ilikuwa babu kubwa, Neman Chilomo alisoma Bihawana sec.school miaka ya 70 na baadae Mzumbe A LEVEL. Alikuwa mwenyeji wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Yoweri Kaguta Museveni alizaliwa 19 September 1944, ni mwanasiasa wa Uganda ambae amekua rais wa Uganda tangia 29 January, 1986. Museverni alijiunga na majeshi ya uasi ambayo yamtoa aliyekua rais...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Ndiye alieongoza vuguvugu la uhuru wa Congo na alikua kiongozi wa kwanza aliechaguliwa kwa demokrasia nchini humo, pia ni mwanzilishi wa chama cha Mouvement National Congolais (NMC).
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Wajerumani walikuwa na mipango mikubwa sana na Dutch East Africa, mipango hiyo yote ilizimika baada ya kushindwa kwao katika vita kuu ya pili ya dunia (II WW). Makoloni ya Mjerumani Afrika ilikua...
4 Reactions
58 Replies
7K Views
Mohamed Said: MUFTI SHEIKH HASSAN BIN AMIR - MWINYI BARAKA FOUNDATION ZANZIBAR KONGAMANO LA RAMADHANI 1437/2016 Mwinyi Baraka Kushoto: Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Julius Nyerere, Sheikh...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Hii nimeifuma kwenye maktaba moja London...Moja katika Archives za Afrika katika koloni la Tanganyika.Hawa Waingereza wana siri nyingi sana juu ya Tanzania na Utajili wake. Nimejifunza pia "siri"...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
JaJa Code-Africa Discussing and revealing hidden truth about ancient African History.This blog is not inspired by Racism or radical Afrocentricism but by quest for Knowledge,recording of true...
0 Reactions
0 Replies
11K Views
28 Juni 1919 - Mkataba wa Versailles unafanyika. Ujerumani inalazimishwa kuachia koloni la Tanganyika kwa Uingereza.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ifuatayo ni historia ya hospitali ya Mt. Francisco, hospitali teule ya wilayaambayo ilianzishwa mwaka 1921. Mwaka 1921 waliwasili masista wa kwanza wa “Baldegg” kutoka Uswiss(Switzerland) ambapo...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
. NURU KUU YA AFRIKA ILIYO ZIMA GHAFRA. Na Mbwana Allyamtu. Tarehe 17/1/1961 Afrika na dunia nzima ilipata pigo kubwa sana kwa kumpoteza mtu muhimu na nguzo ya mapambano ya uhuru afrika...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Wanamajlis, Mara nyingi nimekuwa kila nikieleza historia ya TANU na harakati za kudai uhuru nimekuwa nikimtaja Abdulwahid Sykes na Kariakoo Market ambako alikuwa akifanya kazi kama Market Master...
25 Reactions
67 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…