Tarehe 12/9/1977, kijana Steve Biko aliyekuwa akipingana na sera za kibaguzi wa rangi aliuawa nchini Afrika Kusini.
Biko aliuawa akiwa kijana mdogo tu wa miaka 30 na ushee ingawa alikuwa...
1. Tarehe kama ya leo tarehe 11/9/2001 ndio siku ambayo kituo cha biashara cha Marekani WTO majengo pacha yaligongwa na ndege mbili ambazo tukio zima liliratibiwa na kikundi cha Alqaeda chini ya...
KUMBUKUMBU: Tarehe kama ya leo yaani 11 mwezi September, 2001 watu wanaohusishwa na Kikundi cha Kigaidi cha Al-Qaeda kwa kutumia Ndege NNE walifanya shambulio katika Majengo pacha ya World Trade...
SAID MAREHAN DAROD BARRE RAISI WA TATU WA SOMALIA NDOTO ZAKE ZA KUIJENGA NCHI YAKE ZILIVYO YEYEKUA NA KUIFANYA TAIFA LA SOMALIA KUWA KAA LA MOTO LISILOTAWALIKA:
Vol. I - SEHEMU YA II [Toleo la...
Habar zenu wakuu nimatumaini yangu hamjambo.Inavyofahamika sasa jimbo la Texas lipo marekani hili jimbo ni moja ya majimbo yanayopatikana kusini mwa nchi ya Marekani limepakana na nchi ya...
Watu wengi tumekua tusikia watu wakisimulia juu ya kuwa, kulikuwa na wafalme ambao walikuwa wakizikwa na watu waliokuwa hai, kama sehemu ya mila na tamaduni.
Jamii ambayo ilifanya sana tamaduni...
MADA: UGAIDI NA MATAIFA MAKUBWA
"Katika dunia ya leo ambayo silaha za Kinyuklia zimeyafanya majeshi yasiwe na umaana wowote ule, ugaidi pekee ndiyo silaha yetu kuu" - Jenerali Aleksandr...
IN FACT
MJUE MWANAJESHI ALIEIBA NDEGE YA USOVIETI NA KUIPELEKA JAPAN
Tarehe 6 mwezi Septemba mwaka 1976 ndege ilionekana ghafla kutoka kwenye mawingu karibu na mji wa Hakodate katika kisiwa...
Nyerere katika hotuba na waandishi wa habari kazungumzia kuwa
kiongozi bora hapaswi kuongoza kwa kufuata dini wala kabila, pia hapaswi kupuuza dini na kabila za watu,
kazungumzia kuwa kama watu...
Tanzania na Propaganda za Udini
"Watu wema ni watu wema wawe wa dini yoyote na watu waovu ni waovu; wawe wa dini yoyote ile. Kama watu wema wenye kupendelea viumbe wenzao mema hawashikamani, basi...
SOMALIA NA HISTORIA YAKE KUNTU
Na: Comred Mbwana Allyamtu.
Somalia ni moja ya nchi inayopatikana katika bara la Afrika. Katika bara la Afrika Somalia inapatikana upande wa kaskazini-mashariki...
ROBERT GABRIEL MUGABE BABA WA AFRIKA PEKEE ALIOBAKI MADARAKANI.
"Tokea kuwa Mwalimu mpaka mpigania Uhuru, sasa rais wa nyakati mpya Afrika"
Na Comred Mbwana Allyamtu.
20/8/2017
MAKALA hii ni...
WADIGO ni kabila linalopatikana katika mikoa ya Tanga na Pwani nchini Tanzania. Wao ni sehemuya jamii ya wabantu na lugha yao inaitwa Kidigo.
Lugha hiyo, Kidigo, ina uhusiano wa karibu na lugha...
Naomba mwenye kujua historia ya watu niliowasoma kwenye maandiko ya kale kama wafilisti, je ndio wa palestina wa leo au?
Pia ningependa kujua wale wafarisayo na wasadukayo ndio watu gani katika...
Kuna mambo yanafanyika leo ukiyafuatilia yalipoanzia utashangaa sana. Sisi tumekuwa tumewawakuta trafiki polisi barabarani na sare zao nyeupe hata wakati barabara zilipokuwa za vumbi na vumbi la...
SEHEMU YA KWANZA
Naomba nianze kwa kusema kuwa, kwa asilimia kubwa watu wanaamini kuwa Waafrika weusi walifika Amerika mara baada ya Christopher Colunbus kugundua bara la Amerika kwenye miaka ya...
HUWEZI kuilezea na kuikamilisha historia ya vita ya Majimaji na ukombozi wa nchi yetu bila kumtaja shujaa wa kabila la wangoni Nduna Songea Mbano ambaye jinalake lilipewa hadhi ya kuuita mji wa...
Chirau Ali Mwakwere na Rais Jakaya Kikwete nyuma ni Balozi Mohamed Maharage Juma Mdigo wa Gombero.
[9:45 PM, 2/13/2017] +255 687 500 699: Huyu Ali Mwakwere ni Mdigo wa Kwale.
Siku alipokutana...
Katika pitapita zangu nimesikia kuwa wachagga wa Tanzania na wakikuyu wa kikenya ni kabila MOJA.......
Lakini upande wa pili tunaambiwa mchagga akiwa Kenya anaitwa mkikuyu na mkikuyu akiaa uku...