Jukwaa la Historia

On JF:

Alexander Alexandrovich Prokhorenko ni kijana mdogo aliyekuwa Komandoo katika Kikosi cha Kazi Maalum cha Jeshi la Urusi kiitwacho SPETSNAZ akiwa na cheo cha Luteni Mwandamizi (Senior Lieutenant)...
2 Reactions
12 Replies
8K Views
. Kwa anaejua background ya huyu mbunge wa Kiteto naomba anijuze tafadhali, kuhusu taaluma, kazi, na eneo la kuzaliwa kwake "Emmanuel Papian John" Nitashukuru kwa mchango wenu.
0 Reactions
31 Replies
10K Views
IDI AMIN He killed as many as half a million people during his eight-year Ugandan dictatorship. Is it possible to distinguish the man from the monster? Idi Amin Dada was born on 16 May 1925 in...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
SIASA ZA UJERUMANI (ADOLF HITLER NA WANAZI) Jina la Hitler limepata umaarufu mkubwa sana ulimwenguni kuliko majina ya madikteta wote waliopata kutokea ulimwenguni! Huyu alikuwa na uwezo wa juu...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Zanzibar kuna wenyeji wengi hasa Kaskazini Unguja, Tanga, angani, Mombasa nk. hujinasibu kuwa wao ni washirazi.Kuna wakati kule mombasa walikuwa wanaitwa wageni na wengi ilibidi wajichanganye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yameongewa mengi sana khs kuishambuliwa kwa Tundu Lisu na wengi wao wameelekeza lawama zao upande mmoja tu, yaani kwamba Tundu Lisu ni ,,innocent“ na watu walitaka kumdhuru! Lkn wote wanaohukunu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Vifuvu katika Shule ya Kiufundi ya Murambi, nchini Rwanda Mauaji ya Kimbari ya Rwanda yalikuwa mauaji ya halaiki nchini Rwanda mnamo mwaka wa 1994 ambapo Watutsi , Watwa na baadhi ya watu wa...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Kwanini kuna miezi kumi na mbili katika mwaka?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
"Wananchi bado wanaridhika na sisi kwa hiyo njia pekee watakayofanya labda watumie mabavu na kwa kutumia mabavu CCM Mbeya wanajua, Kikwete anajua, Magufuli anajua kwamba kwa mabavu kwa Mbeya uwezo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MABILIONI ya shilingi ya umma yamechotwa kutoka hazina ya taifa kinyemela na kuelekezwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Hamisi Mguta. Taarifa kutoka wizara ya fedha, Ikulu na ofisi kuu...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Mood naomba unipeleke kwenye jukwaa husika lkn usiutoe ili to jadili kabla hatujaufunga mwaka 2017 Humu leta tukio la aina yoyote ile iliyotikisa jamii ya kitanzania na kama itakuwa ya nje basi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwalimu Mathew Douglas Ramadhani (1915-1961). Alizaliwa Zanzibar Septemba 1915. Mwalimu Mathew alikuwa Mtanganyika wa kwanza kuhitimu elimu ya chuo kikuu Uingereza, afisa elimu na mkuu wa shule...
8 Reactions
12 Replies
5K Views
Historia ya Krismasi Wakati wa zama za kale, siku ya mwisho ya majira ya baridi huko sehemu za Kusini kulisherehekewa mfano wa usiku ambao mungu wa Mama Watakatifu alijifungua mtoto akijulikana...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
SHEIKH PONDA ISSA KASHINDA RUFAA Mohamed Said December 18, 2017 0 ''Allah ni Mjuzi Allah na ni Mbora wa kulipa. Sheikh Ponda utayakuta malipo yako kwa Allah yakiwa makubwa kwa subra na...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Huyu Askofu aliuawa na Idd Amin kwa kumkosoa na kupinga mateso aliyokuwa akiwapa waganda. Alifia mikononi mwa Id Amin kwa kum shoot mwenyewe. Calm before the storm. Archbishop Luwum (left)...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari za weekend wanajamvi. Kunako miaka ya 1990s kulikuwa na gazeti pendwa lililokuwa likijihusisha na masuala ya sayansi na saikolojia ya binadamu likifahamika kwa jina la JITAMBUE. Hili...
1 Reactions
20 Replies
9K Views
Wakuu naombeni msaada wa wagunduzi waliogundua kusoma saa kwa maana ya kuanza kuhesabu masaa, siku, miezi na mwaka.
0 Reactions
12 Replies
5K Views
> Mojawapo ya tamaduni ninayochukia katika kabila letu la wamasai ni kulazimishwa kuoa au kuolewa na mtu usiyempenda. Kwa imani zao potofu wanaamini kuwa mkipendana kabla ya ndoa, mkioana...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Mohamed Said: MAHOJIANO SWAHIBA FM - MIAKA 55 YA UHURU WA TANGANYIKA WASHIRIKI ENZI TALIB NA MOHAMED SAID WAKIHOJIWA NA SULEIMAN SHABAN
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau mm naomba kuuliza hivi haya mashindano ya cecafa kwann tusitumie tanganyika na zanzibar kwa maana Tanzania ni nchi ya muungano au wenzetu tanganyika hawana nchi
0 Reactions
0 Replies
660 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…