Jukwaa la Historia

On JF:

Kilimanjaro ni neno maarufu sana miongoni mwa wakaazi wa Afrika na duniani kote. Umaarufu wa jina hili umetokana na Mlima mrefu uliosimama pekee unaoitwa Mlima Kilimanjaro, upatikanao kaskazini...
2 Reactions
8 Replies
12K Views
Mwaka 1845 Warumi walianza kula kifungua kinywa chenye mayai. Kwa mwanaume mwenye uwezo mzuri kiuchumi chai ya asubuhi ilijumlisha mayai manne ya kuchemsha.
6 Reactions
1 Replies
2K Views
BURIANI HASSAN MBASHIR MWANAMJI MPENZI WA SUNDERLAND NA SIMBA Hassan Mbashir katika uhai wake alikuwa mtu maarufu Dar es Salaam ile ambayo wengi wetu tulikulia. Alikuwa mpenzi mkubwa wa...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
MFUNGO WA RAMADHANI KATIKA MJI WA HARARE ZIMBABWE Zamani ilikuwa ukiwa na safari unahitaji vibali kadhaa ili uweze kusafiri, iwe safari ya kikazi au vinginevyo. Kwanza utahitaji kibali cha Benki...
18 Reactions
29 Replies
5K Views
Jamani hiki kitu nimekuwa nikikiwaza kwa muda mrefu sana, hivi kati ya Mwalimu na Mandela nani alitoa mchango mkubwa zaidi? Kwa fikra zangu nijuavyo mimi, Nyerere alitoa mchango mkubwa sana...
3 Reactions
117 Replies
10K Views
Alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Alikuwa ni mchapa kazi sana na miongoni mwa Wakuu wa Mikoa waliokuwa kipenzi cha Baba wa Taifa miaka hiyo. Katika uongozi wake, alipandisha hadhi ya...
5 Reactions
29 Replies
10K Views
Binafsi nimejipa utaratibu kuwa vitabu vinavyohusu uafrika na waafri sitavitilia mkazo sana vile vilivyoandikwa na wazungu bali vilivyoandikwa na Waafrika wenyewe! Mfano ukisoma historia ya Mkwawa...
9 Reactions
83 Replies
13K Views
Darsa hii ya Tafsir ya Qur'an hapa Ujiji kila Mwezi wa Ramadhani iliasisiwa na Sheikh Swedi Bin Abdallah Silanda miaka mingi iliyopita. Sheikh Swedi alikuwa mwanafunzi wa Sheikh Khalfan Zindijali...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau wa historia ya Tanganyika mnisaidie. Mwaka 1958 uchaguzi ulifanyika Tanganyika na TANU kupata viti 29 kati ya 30 huku kiti kimoja cha ubunge yani Legislative Council kikichukuliwa na UTP...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Our ancestors had adopted Arabic culture you can tell from their dress code.
4 Reactions
12 Replies
3K Views
mwandishi; pia hutaki mapadre wajihusishe na siasa ? mobutu; ni swala lisilo kubalika,kama ma padre wakigusisha pua zao kwenye siasa za ubelgiji,ni sawa na ni vizuri lakini kwa hapa [zaire]...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Shida kubwa iliyopo Bara la Africa ni kutokuwa na Viongozi jasiri ambao hawawezi kufanya maamuzi pindi wanapotakiwa kufanya hivyo. Kibaya zaidi Imf na world bank ndio wamekuwa wakitoa ushauri wa...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
MFUNGO WA RAMADHANI MJINI BERLIN UJERUMANI Sijapatapo kuishi mji mgumu duniani kama Berlin na naamini hii ni sawa katika miji yote ya Ujerumani. Kwanza ni Wajerumani wenyewe na sura zao za...
5 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimeiona clip Instagram, sifahamu akiwa wapi lakini ujumbe wake ulisema haya: Vijana ni hazina ya taifa na hazina ya chama. Mnapochaguliwa kuwa viongozi si kwakua mna degree na PhD, si kwakua...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
RAMADHANI MUBARAK Observation of the holy month of Ramadhan in actual fact begins when the moon is sighted at the end of Shaaban. Soon after Magrib prayers all eyes will be in the sky...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
VITA YA KAGERA ILIMNYANYUA YOWERI KAGUTA MUSEVENI NA KUWAANGUSHA YUSUPH LULE, GODFREY BINAISA NA TITO OKELLO. Na.Comred Mbwana Allyamtu Thursday -18/10/2018 Nimeshawishika kuandika makala hii...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
JUVENAL HABYARIMANA: MKOMBOZI ALIYEGEUKA KUWA DIKTETA UCHWARA, KIFO CHAKE CHANZO CHA MAUAJI YA HALAIKI (GENOCIDE) NCHINI RWANDA. Na. Comred Mbwana Allyamtu Wednesday- 18/7/2018 Mbinu za...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
LOUS RUDOVIKO RWAGASORE SHUJAA NA BABA WA TAIFA WA BURUNDI, CHEMBE CHEMBE ZA UKOMINISTI ZILIMFANYA KUWA MTU HATARI MBELE YA MABEPARI NA KUKATISHIWA MAISHA YAKE KWA KILE KILICHOITWA OPERATION...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…