Due to the nature of the Transatlantic Slave Trade and the practices of American slave owners, enslaved Africans brought to the U.S. lost much of their connection to the West African cultures from...
Burundi nchi ndogo iliopo katika Ukanda wa Afrika Mashariki, ilikaliwa na wakoloni wa Kibeligiji na kujikuta ikipita kwenye jangwa la harubu na misukosuko mingi ikiwamo ya umwagaji wa damu...
Na ,
Mwanshinga Jr.
Wasafwa ni kabila toka jamii ya wabantu wanaozungumza lugha yenye uhusiano wa moja kwa moja na kibantu yaani lugha ya kisafwa.
Kwanza tuangalie nini au chanzo cha neno Safwa...
KWENYE PICHA
Kwenye picha hii kuna watu Wanne.
Hao wanaume Weusi
Mmoja ni Susi
Na mwingine ni Chuma Wakiwa Nchini Uingereza Kwenye Mazishi.
Chuma na Susi ndio Waafrika Pekee waliobeba Mwili wa...
JULIUS NYERERE ALIPOSIMAMA JUKWAANI KUDAI UHURU WA TANGANYIKA 1955
Nimezungumza na Maggid Mjengwa kuhusu historia ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kama ilivyoandikwa.
Hebu...
PICHA MBILI ZA WAASISI 17 WA TANU MWAKA WA 1954
Kuna picha mbili za waasisi 17 wa chama cha TANU tarehe 17 Julai 1954.
Picha ya kwanza ambao hawaonekani katika picha ni ni Ally Sykes, Tewa Said...
Historia imehukumu.ikiwa imepita miaka takribani 16 hivi! WAZEE ,KINA MAMA NA VIJANA,WAMKUMBUKA NALAILA KIULA JIMBONI IRAMBA MAGHARIBI.
Wewe kijana sijui kama ulikuwa umezaliwa,tulikuwa na...
hebu tujadili hili kidogo kwanini nchi nyingi za kiafrika kiongozi akishapewa mamlaka makubwa anajikuta yeye ndio ana akili nyingi na uelewa mpana kuliko yoyote je hiyi hali inatokana na nini? na...
Mzee Popo au Baba Popo wa Isevya Mtaa wa Kanoni ndiyo babu yangu mzaa baba.
Jina lake ni Salum Abdallah ingawa jina lake alilopewa na baba yake ni Rashid.
Alibadilisha jina baada ya kufungwa kwa...
Makala: Haile Selassie, ‘Masiha’ Aliyeuawa na Kutupwa Chooni, Kutukuzwa na Kupingwa
6 hours ago
[https://4]
Machi Mosi 1896, Kibanga alimshushia mkoloni kipigo cha mbwa koko katika ardhi ya...
Hastings Kamuzu Banda
Joyce Banda
Wiki iliyopita nilijaribu kuwapa historia fupi ya Rais wa kwanza wa Malawi Mh Kamuzu Banda. Leo ninataka niwapitishe kidogo kwenye historia ya Joyce Banda moja...
Kwa mara ya kwanza picha hii ilionekana Indiana US augost 5, 1948 ikionyesha kuna watoto wanne wamekaa mbele ya bango lenye maandishi '4 children for sale' yaani 'watoto wanne wanauzwa' na pembeni...
Bacon ni nyama iliyowekwa chumvi, mara nyingi nyama hii hutoka tumboni au mgongoni mwa nguruwe. Huliwa kama chakula cha nyongeza hasa katika kifungua kinywa
Utaratibu wa kuhufadhi nyama hasa ya...
MOJA YA PICHA ADIMU ZA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Iko siku miaka michache iliyopita nilikwenda kumtembelea nyumbani kwake Magomeni Mikumi Kisiwani, rafiki yangu toka udogoni...
WASIFU WA JULIUS NYERERE: COMBINED DANCING CLUB TABORA 1945
Katika Wasifu wa Julius Nyerere mwandishi kaeleza uhusiano wa Mwalimu Nyerere na Maulidi Kivuruga mmoja wa wanachama wa Combined Club...
MASIJALA YA KITUME YA VATIKANI - Vatican Apostle Archive.
Imekuwepo zaidi ya karne 3 sasa, ni KIINI cha SIRI za Kanisa KATOLIKI Duniani. Mwanzoni iliitwa MASIJALA YA SIRI ikabadilishwa jina...
Kabla ya Mwaka 1920 Hakukuweko na nchi ikiitwa Tanganyika Kwa kuwa chini ya utawala wa Kijerumani Tanzania Bara iliitwa Deustche Ost-Afrika, ilikuwa lazima Waingereza kutafuta jina lingine mara...
VIPI ILIUNDWA TANU NA NANI WALIUNDA TANU 1954?
Nimeulizwa swali hilo hapo juu katika group moja.
Swali nimelifanyia uhariri kidogo ili mada ikae vyema.
Jibu la swali hili ni hili hapa chini...
Katika Maisha Kuna Milima Mabonde, Na Yote Tumeumbiwa Binaadamu Hatuna Budi Kuyavuka.
Kwenye Maisha Feli,Kosea, Anguka Mara 100 Ili Ufaulu Mara Moja
Ben Carson Alibaguliwa Sana Kutokana Na Rangi...