Jukwaa la Historia

On JF:

WILLIAM MILLER (MHUBIRI) UTANGULIZI William Miller (Februari 15, 1782 - Desemba 20, 1849) alikuwa mhubiri wa Kibaptisti wa Amerika ambaye anapewa sifa ya kuanza harakati ya kidini ya Amerika...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu, Hili ni bandiko la ushauri kwa mam;laka husika lakini kuwekwa kwenye mjadala kuhusu jiwe kubwa la aina yake ambalo linatumika kama utambulisho wa jiji la Mwanza. Jiwe hili liko pembezoni...
4 Reactions
26 Replies
8K Views
Kwa wale wadau ambao mshawahi kuishi na kukaa Usukumani mtakuwa mnatambua ndani ya usukuma kuna jamii karibia tano na wote wanajiita Wasukuma. Lakini ndani ya Usukuma wenyewe kwa wenyewe wamekuwa...
8 Reactions
187 Replies
57K Views
Ikiwa bado Dakika chache kufikia madhimisho ya siku kuku ya Uhuru, Ningependa tuwakumbuke kidogo kwa kuwaelezea, kwa uchache kati ya watu ambao huenda historia haijawataja kabisa ama wametajwa kwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa miaka mingi sana nimekuwa nikitafuta picha ya Bi. Halima Selengia wa Moshi mmoja wa akina mama waliokuwa waasisi wa TANU na wapigania uhuru wa Tanganyika. Leo asubuhi nimepokea picha yake...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna historia ya raisi wa mwanzo wa Zanzibar marehemu Abeid Amani Karume inayosimuliwa na Dennis Mpagaze na Ananieli. Hii historia inamwita Karume ndiye aliyewatoa wazanzibari utumwani. Na kila...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
analysis By Valentine Oforo Mvumi Makulu — There is an old Egyptian proverb which says, 'Once you drink from the Nile you are destined to return'. It describes the 'inevitable bond' between Cairo...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Tunakizungumza kitabu cha maisha ya Baba wa Taifa:
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Akili ya binadamu kila unapoifikirisha itakupeleka mbele katika kujua na kuongeza uwezo wa akili yako katika utambuzi na kujua mengi ambayo kabla hukuwa unayajua. Akili ya binadamu ukiacha...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
MAMBOLEO RASHID MAKOKO MWANATANU WA TANGA LONDON YA 1958 Ukitaka kumweleza Rashid Mamboleo Makoko lazima kwanza uanze na baba yake Mzee Makoko Rashid. Tanga kuna barabara inaitwa Makoko Road hii...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya matatizo yaliyoniandama katika vitabu hivyo viwili nilivyoandika siku moja mwaka wa 2008 nikapokea email kutoka kwa Prof. Emmanuel Akyeampong kutoka Harvard akaniomba niwe mmoja wa...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Watu wanapozongwa na dhahma za wanasiasa hutafuta mambo ya kuwachekesha. Vichekesho hivi wanavitengeneza kutoka kwa wanasiasa wenyewe kiasi kwamba wenyewe wanasiasa vichekesho hivi vinapowafikia...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Rafiki yangu Fredy Nyaluchi kaweka hapa barzani picha ya Lucy Lameck na maelezo kidogo ya maisha yake katika siasa za Tanzania. Nataka kumuunga mkono kwa kuongeza kidogo katika maisha ya Lucy...
1 Reactions
24 Replies
10K Views
Baada ya kuhangaika kwa miaka mingi sana leo nimejaaliwa kupata picha ya Mzee bin Sudi na picha hii kanipatia mjukuu wake Bi. Subira Mohamed Sudi. Rafiki yangu na mzungumzaji wangu marehemu...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa miaka mingi sana nimekuwa nikitafuta picha ya Bi. Halima Selengia wa Moshi mmoja wa akina mama waliokuwa waasisi wa TANU na wapigania uhuru wa Tanganyika. Leo asubuhi nimepokea picha yake...
1 Reactions
0 Replies
825 Views
Unapokumbuka juu ya viongozi wazalendo na wa kupigiwa mfano nchini lazima umtaje Sheik Abeid Amani Karume. Huyu alikubali kwa ujasiri mkubwa kuungana na Tanganyika na kuzaa Tanzania. Busara...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu baada ya kitabu hiki "The Torch on Kilimanjaro," kuhujumiwa nikajituliza. OUP wakanirudishia kwa masikitiko makubwa mswada wangu mpya niliowapa wakaniambia kuwa inaelekea sipendeki...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
MJEE/MZEE WA MUSOMA. Katika wilaya ya Musoma kuna eneo mashuhuri kwa uvuvi na shughuli za kilimo linaitwa Majita,hili ni eneo linalokaliwa na Wajita kwa sehemu kubwa na Wakwaya ambao pia ni jamii...
4 Reactions
31 Replies
9K Views
Hakuna kitu hunipa furaha kama niandikapo historia ya mtu kisha akatokea msomaji akaniandikia kuniambia huyo uliyemtaja ni babu au bibi yangu. Hivi karibuni niliandikiwa na Adam Ahmed kuhusu...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…