Katika watu ambao nimekutananao na kuwakuta wana maktaba kubwa za kushangaza, nitawataja watatu wengine nitawabakisha kwa siku nyingine In Shaa Allah.
Marehemu Sheikh Mohamed Ayoub wa Tanga siku...
PICHA HIZI ZA JENGO LA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA ZINASEMA MANENO ELFU MOJA
Picha hizo hapo chini za majengo mawili ya Al Islamiyya fi Tanganyika zimekuwa ndani ya Maktaba kwa zaidi ya...
MUDDYB MWANAHARAKATI MWANDISHI KIJANA ALIYE NA KALAMU INAYOSEMA
Kawaida ya kalamu kama itasikika basi mlio wake ni nibu inakwaruza karatasi.
Lakini si kalamu ya Muddyb.
Hii "b" ambayo...
Ka kuna mtu humsikia akitajwa Mara nyingi zaidi ya lundo, Nn huyo bingwa hapo.
Ila ndo sijawahi pata mjuzi aliejuzwa barabara taarifa zake Ila nae aniambukizie kiaina.
Kwa yeyote mzalendo...
Sheikh Ilunga akiendesha darsa Thakafa Mwanza 2010
Sheikh Ilunga alikuja Tanga katika miaka ya katika ya 2000 na alikuwa anafanya mihadhara yake katika msikiti mmoja mdogo kwani viongozi wa...
Historia ya Tanzania ilianza na wakoloni wa Ulaya. Karne ya 18 ilikuwa na dola ndogo za miji katika mwambao baada ya kukaliwa na waarabu kutoka Oman. Ilikuwa karne 7 baadae mwaka 1499 wakati...
Historia ya Tanganyika na kwa makusudi nataka nianze na hii kwa kuwa mimeitafiti na kuandika kitabu ambacho naamini sote tunakifahamu.
Umuhimu wa historia hii unasimama kwenye historia ya kudai...
Kijue kisa cha bwana Josef Fritzl, baba mzazi aliyemshikilia bintiye mateka kwa miaka 24, bila kuona jua wala mwanga wake, akambaka zaidi ya mara 3000 na kumzalisha watoto 7 huko nchini Austria...
TUTEMBEE KWENYE BARABARA YA KUMBUKUMBU KUTOKA USUKUMANI KWA CHIEF MAKWAIA MOHAMED MWANDU (1905 - 1945) HADI KARIAKOO KWA ABDULWAHID KLEIST SYKES (1924 -1968)
Chief Makwaia Mohamed Mwandu ndiye...
Wakuu habari za asubuhi! ningependa jua huyu aliyeko katikati ya Nyerere na huyo mzee mwingine ni nani huyu? Kwa sasa yuko wapi? ningependa sana mjua huyu jamaa..asanteni
Habari wadau!
Tuko kwenye mjadala hapa!
Wapo wanaodai ni mwalimu nyerere wengine wanasema ni Mboma, wengine wanasema ni Rais Moi!
Je, ni nani aliyetunga wimbo huo uliosikika kwa maneno "Iddi...
KALAMU YA IRVING WALLACE ''THE MAN'' INAPOGEUKA JINAMIZI
Huyu Irving Wallace alikuwa akiandika riwaya ambazo zina mengi ya ukweli kiasi unaweza ukachukua ''plot'' ya kitabu chake ukabandika...
STAN LAUREL NA OLIVER HARDY
Hii nimeikuta kwenye group moja.
Imenirudisha nyuma zaidi ya miaka 60 utotoni.
Tukiwaita hawa wachekeshaji Chale Mnene na Chale Mwembamba.
Chale Mnene Oliver Hardy...
AKILI INAPOKATAA KUAMINI UKWELI
Dickens alianza kitabu chake, ''A Tale of Two Cities.'' na maneno haya:
''It was the best of times, it was the worst of times, it was the age of wisdom, it was...
Ganvie ni kijiji kilichopo kwenye ziwa huko nchini Benin ambacho kiko katika Ziwa Nokoué, karibu na Cotonou. Kikiwa na idadi ya watu karibu 20,000, kikielezwa kuwa huenda kikawa ndio kijiji...
Utangulizi
HISTORIA MPYA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA
Utangulizi
Nami nasubiri patulie In Shaa Allah nataka niandike jinsi Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alivyochaguliwa...
Ndilo jina la mama mzazi wa pilot alieipiga miji ya Hiroshima na Nagasaki mwaka1945.
Alipopewa heshima ya kupendekeza jina la ndege ile iitweje alichukua maka pen akaenda kuandikwa enola Gay ndio...
TUTEMBEE KATIKA BARABARA YA KUMBUKUMBU...VINGINEVYO ITAOTA MAJANI
Siasa za kikoloni zilikuwa zikibadilika na kwa hivyo zilihitaji damu changa zenye mawazo na mbinu mpya ili kuongoza harakati za...
Kabla ya wakati wetu wa kawaida, Mwaka 399BC Socrates Mgiriki alihukumiwa kunywa kikombe cha sumu aina ya Hemlock kwa kosa la kuwafundisha vijana uasi dhidi ya dini na serikali.
Kimsingi hukumu...
GUMZO LA HARITH GHASSANI: MOHAMED SAID ANAMWELEZA ABDUL SYKES KUTOKEA BURMA INFANTRY 1945, DOCKWORKERS UNION 1949 HADI TAA 1950 NA KUUNDA CHAMA CHA TANU 1954
Baada ya Kipindi Cha Kwanza...