MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA: SALUM ZAHORO (1936 - 2020) NA KIKO KIDS JAZZ
Haikupata kunipitikia hata siku moja kuwa jina langu litatokeza hadharani na kwenye cover ya muziki wa Salum Zahoro...
Ile katiba iliyotokana na tume ya Warioba, watu wengi wanakubaliana nayo na ilitumia gharama kubwa kwenye tume kukusanya maoni na kuiandika. hivi kwanini tusiadopt tu ile katiba iwe ndio katiba...
MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: ALL MUSLIM NATIONAL UNION OF TANGANYIKA (AMNUT)
Uchaguzi wa Kura Tatu ulisababisha farka ndani ya TANU na wa kwanza kujitoa katika chama alikuwa Zuberi...
On this day in 1783, George Washington, then commanding general of the Continental Army, summons his military officers to a tavern in New York City to inform them that he’ll be resigning his...
Ili kumaliza mkanganyiko huu mara moja na kwa wote: KUNA GUINEA NNE (4) KWA UJUMLA
[emoji3502]Tatu katika Afrika Magharibi:
Guinea, Guinea-Bissau, na Guinea ya Ikweta
[emoji3502]Na moja katika...
Muigizaji Rami Malek ameshinda Oscar kwa kucheza nafasi ya Freddie Mercury katika filamu inayoitwa, "Bohemian Rhapsody."
Nashangaa si watu wengi wameguswa na ushindi huu unaohusu filamu hii ya...
Leo katika kupekua kwangu mtandaoni, nimekutana na historia mbili tofauti zinazomzungumzia Kinjekitile. Kilichonivutia hadi kuamua kuwashirkikisha wasomaji wa kibaraza hiki ili tutafakari kwa...
MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA: HOTUBA YA BAJETI YA WAZIRI WA FEDHA PROF. KIGHOMA ALI MALIMA ILIPOIBIWA WIZARANI 1994
Ndani ya Bunge kulikuwa na kundi la wabunge ambao wao walijijumuisha kwa...
Robert Pershing Wadlow Kuzaliwa (Februari 22, 1918 Kufariki 15 Julai 1940), anayejulikana pia kama Jitu la Alton na Jitu la Illinois, alikuwa mwanamume wa Marekani ambaye alikuwa mtu mrefu zaidi...
Wazungu walikibeba hiki kitanda na kukiweka kwenye museum zao. Afrika ilikua na technolojia kabla ya ujio wa Wazungu.
Hiki kitanda kilibebwa katika msafara wa Mfalme na alipopumzika aliwekewa...
November 30, 1874: "Winston Leonard Spencer Churchill, the British leader who guided Great Britain and the Allies through the crisis of World War II, is born at Blenheim Palace in Oxfordshire...
GAUDENSIA KABAKA MWENYEKITI WA UWT?
Mwenyekiti wa UWT Gaudensia Kabaka ndiye aliyehusika kuwafukuza Waislam 11 Chuo Kikuu cha Dodoma na kusimamisha ujenzi wa msikiti hapo chuoni ambao ujenzi wake...
BURIANI SHEIKH ISSA BIN NASSER AL-ISMAILY
MWANDISHI WA KITABU: ZANZIBAR KINYANG’ANYIRO NA UTUMWA
Siwezi kujidai kuwa nilifahamiana kwa karibu sana na Sheikh Issa bin Nasser Al-Ismaily kwa kiwango...
They started talking after the king wore a fancy dress costume
When one thinks of British royalty, one might think of Queen Elizabeth II, Buckingham Palace, or Harry’s red hair.
One won’t...