Jina langu lipo tena nimekosa chuo wakati nimefaulu vizuri tu inabidi niapply 3rd round nimechanganyikiwa na kila nikichek web yao naambia couldnt locate server siku zinaenda tu naombe msaada wenu...
msaada kwa wale wazoefu wa st. Joseph university campus ya mbezi naombeni msaada ni vipi nitapata hostel au chumba na gharama zao zipoje? Eneo la karibu na chuo kuwe na maji full. Kama unaweza...
kwa wale 2lojichek through airtel about selection za tcu ni uongo maana most of us 2liona 2mechaguliwa katika 1st choice zetu, tatizo ni kwamba kuna mshikaj kachaguliwa DUCE(airtel) vilevile jina...
NI HIVI ,, UMEMALIZA COURSE WORK KTK LEVEL YA POSTGRADUATE.
UNAPEWA SUPERVISOR, HAKUTAFUTI WE NDO UNAMTAFUTA ,BAADA YA MUDA UNAGUNDUA NI MVIVU,
SIJUI ANA MAMBO MENGI,,,SASA NATAKA MTOE USHAURI...
Jaman wakuu naomba mnijuze kuusu chuo cha makumila kipo Arusha kitaaluma , mazingira yake, na vp kuusu maisha yahapo chuo kwa ujumla tafadhalini naomba msaada
jamani mimi nina ndugu yangu wa kike alimaliza shule miaka ya nyuma ila si sana. alipomaliza alkuwa na bahati kweli maana alikuwa na div 4 ya 26 lakini kwa kuwa combination ilibalance basi alipata...
Notice to Applicants who have not been selected during the first round of application due to various reasons.
1. Overview
TCU informs all applicants (Form six and applicants with foreign...