Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Si mmeona ! Hakuna kupata ziro tena. Ukipata alama 0 kwenye mtihani ni< Ufaulu usioridhisha. BIG RESULT NOW iko kazini. Soma, fuata link Mabadiliko makubwa mitihani ya sekondari - Kitaifa -...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vp wanajukwaa General Agric Vs Agronomy ipi ni nzuri na ukisoma waweza angalau kucema science inafaida.Ni mdogo wenu naomba ushauri mwakani naaply.Be blessed!!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana Jf na Watanzania wote walio mstari wa mbele katika harakati mbalimbali za kuiendeleza nchi yetu,poleni na uchovu wa kazi. Kuna hiki kitu kinaitwa 'Statement of Results' ambacho huwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu. Nina cheti cha Form IV kina jina la Benas Masalu, Form VI zimeongezwa initials EM na kuwa Benas EM Masalu na Diploma ni Other names: Benas E.M. Surname name: Masalu. Hizo initials...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hv matokeo bado tu?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Akizungumza na walimu walioudhulia semina ya Matokeo makubwa sasa inayofanyika katika shule ya sekondari Iyunga Afisa Elimu wa Jiji Mbeya."Alisema BRN ilianzia kwa Mawazili wakaikubali,Ikaletwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
salaam zenu wakuu humu ndani.naombeni msaada wenu juu ya ni muda gani toka chuo kifungue kama hujaripoti hautakubaliwa kujiunga na chuo?nauliza sababu nilichaguliwa st francis this year but...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
unakumbuka "MOTTO" wa shule yako au shule yoyote ambao ulikuvutia zaidi????? Weka hapa tukumbushane "enzi zetu" mimi sitasahau "education is an invissible asset" wa "Maendeleo primary school"
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nasubiri join wizara ya afya hawajatuma? mwenye kufahamu anijulishe katka rahmanguzo87@gmail.com or 0713527645 plz ......aliepangiwa kcmc nursing dploma tujulishane....:amen:
0 Reactions
1 Replies
836 Views
habari zenu wadau! ebu nisaidieni kuna mtu anatumia vyeti visivyo vyake na ana majigambo saana. so taarifa zake nipeleke wapi kwa hatua zaidi za kisheria?
0 Reactions
26 Replies
3K Views
4m 4 weng cjui wanazungumziaj kuhusu new systm?au bad tunahitaj:help: il tufaulu vzr
0 Reactions
0 Replies
794 Views
laptop nilazma kuwa nayo ..... naenda kusoma diploma ya nursing!! nahitaji ushauri plz????
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasaalam wakuu..heshima....baada ya kudunda kidato cha nne miaka kadhaa iliyopita, nikaona nikaona niingie mtaani kufukuzana na shilingi...lakini miaka yote hiyo pesa nayo imeota miguu na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
..naomben msaada..kwa yeyote anayejua DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE MARKET ilipo naomba anijuze..nashukuru kwa ushirikiano wenu.
0 Reactions
1 Replies
994 Views
Wanahitajika vijana 30 watakaokuwa tayari kufanya kazi ndani na nje ya Dar. Sifa za mwombaji awe na div 5 na kuendelea, wenye vyeti vya Bongo Movie na Bongo Flavor watapewa kipaumbele. Tuma maombi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Oy wadau aje..... kama kawaida yangu kuweka historia ya kuzindua kitu kipyaa kila ninakobahatika kusoma ili one day libaki kuwa boongeee la historia kwa madogo.... ndo kwanza nipo mwanzo wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu Wanajamii Wasomi Na Wale Wenzangu Na Mie Wa Kukimbia Umande Nawasalimuni Nyoooote. Leo Napenda Kuwashirikisha Langu Toka Moyoni. Kipindi Kirefu Nimekuwa Najiuliza Hv Elimu Ya Bongo Ina...
0 Reactions
1 Replies
892 Views
Idara ya elimu sekondari Bagamoyo ina kila uozo wa rushwa katika maeneo mbalimbali. Rushwa hizo zimejidhihirisha katika maeneo yafuatayo: 1.Kupangiwa kituo cha kazi: Ili mwalimu apangiwe...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
CHUO CHA MZUMBE WAANZISHA SHAHADA YA UZAMILI YA AFYA UTAFITI NA UFUATILIAJI WAKISHIRIKIANA NA CHUO CHA CALFONIA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu wadau?.Mimi ni mwalimu wa idara ya sekondari wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza,nahitaji kubadilishana na mwalimu aliye katika mikoa ya Pwani,Tanga,Arusha na Morogoro.kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…