Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nina mdogo wangu kamaliza form four na kapata ziro kipindi chote nilichokaa nae nimejaribu kumchunguza hana kitu kabisa kichwani hadi nimekubali kuwa ziro aliyopata inamstahili kabisa sasa kituko...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
  • Poll Poll
Imezoeleka kuwa waalimu wa kiume ndiyo huwapachika wanafunzi wa kike mimba,lakini hali imekuwa tofauti kwa mwalimu huyu (jina limehifadhiwa)wa shule ya secondary Mwakibete hapa jijini Mbeya.huyu...
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Ningependa kupata ushauri kwa wenye watoto kwenye shule hizi.Kiafya,kisaikolojia na kiakili Nitaongelea kuhusu a)Muda wa shule (b)Muda wa kupumzika(c)Home works (d)Weekend works(Holiday...
2 Reactions
28 Replies
7K Views
wanajamvi naombeni msaada wenu jinsi ya ku apply chuo kikuu kupitia NACTE. nasikia kuna kulipia unajaza fomu then izo fomu unapeleka wapi, msaada
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nasoma mechanical engineering natafuta sehemu ya kufanyia field ambapo wanalipa posho nzuri
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarina za asubuhi ningependa kufahamishwa jini ya kujiunga na vyuo vikuu kupitia tcu wanaangalia vigezo gani na nafsi wanatoa lini msaada pls
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimepewa swali binafsi hapa chuoni linlotaka niandike insha isiyopungua kurasa mbili kuhusu ushairi wa kiswahili,tafadhari naomba ushirikiano na email yangu ni ntakilowakumulaga@gmail.com
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie kuhusu ufaulu unaohitajika ualimu ngaz ya chet
0 Reactions
6 Replies
3K Views
nauliza ivi, kna walimu wapya wa shahada amepangw vituo vya kaz na wanasap kwenye masomo yao vip inakuaje wakati wanaripoti? Naomba kujua kwa mwenye ufahamu wa hili.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
nilifanya maombi ya scholarship nchini japan npo katika hatua nzuri ya kuweza kupata sasa kama kuna mtu amewahi kupata hzi scholarship anipe ABC ZA maisha nchini japan.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
taarifa niliyonayo ni kwamba chuo kikuu cha kumbukumbu ya sebastiani kolowa(sekomu), wamepandisha pesa ya usajili wa course ili kusajiliwa kwa ajili ya kuanza muhula, yaani semester kutoka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hi wadau, Natamani kujiunga na special course ya ualimu wa disabled people ambayo ni special needs.Sasa Vipi kuhusu vigezo kwa wale walimu wazoefu na ajira zake Vipi pia, Tubonge live
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mada yajieleza.Naomba kufahamu kati ya kozi hizo:accountancy na procurement yenye kulipa zaidi kwa misingi ya mazingira kazi yenye kutoa mwanya wa kutengeneza pesa zaidi ya nyingine.Kalibuni.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
???
jamani kuna mtu kaniambia kuwa eti mbali na walimu wa shahada serikal pia haijaajiri walimu wote wa cheti na diploma.kama ni kweli naomba kujua?..
0 Reactions
1 Replies
708 Views
Salaam Wana jukwaa, Mie Mwl.John Power nimepangwa shule moja ya sekondari mkoani dodoma sehemu inaitwa MVUMI..kama una info zozote kuhusu mazingira,watu,biashara,maji,umeme n.k naomba ufunguke...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie, Nataka kujua post za fiv 2013 zinatoka lini!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za leo wana jukwaa, nahitaji kufahamu chuo kilichopo mjini arusha kinachofindisha kozi za jioni baada ya kazi Kwan bachelor degree ya economics, kuhusu matokeo ya kidato cha Sita hakuna shaka
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mkuu wa shule ya sekondary igoma iliyoko jijini mwanza bwana bregrey j. nyakyuma hana sifa za kuongoza shule. hii imethibitika wazi kutoka kwa watu wake anaowaongoja. imesemekana kuwa mkuu huyu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
samahani naomba mnisaidie kunijibu swali langu.ivi kupata kaz pccb unatakiwa uwe umesoma corse gani chuo na ni masomo gani ya elimu ya A-leval uwe umesoma na mshahara wao ni kiasi gani na kama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Smahann wanajf nmemalza form4 nataka niapply dit ss cjui facaulty nzur kwa v2 vyote kwa ujuml ni ip
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…