Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Jamani mimi nilkua naomba kufahamishwa kuhusu madaraja na alama zitakazotumika kupanga matokeo kwa form six wa mwaka 2014.Je ni alama gan zita range kutoka A,B,C,D,E,S na F.Na nakumbuka hotuba ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Walimu wapya wa shule za sekondari katika manispaa ya Bukoba wamekusanyika hapa kwa mkuu wa mkoa wa Kagera katika harakati za kudai fedha zao za kujikimu na nauli baada ya manispaa ya Bukoba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Majina ya waalim wapya yamewekwa kwenye website ya Tamisemi ila ni kwa SJUT bado hawajaweka wa diploma na certificate ambao hawajapangiwa .
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Samahani wakuu nipo mbulu manyara kwa ajira mpya nataka kurudi dodoma.naomba kubadilishana contact 0788628489 au nipm.
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Ni jambo la kustaajabu kuwa tangu kuripoti katika halmashauri ya manispaa ya Bukoba mkoani Kagera tarehe1.04.2014 hadi leo hii walimu wapya hatujalipwa fedha yoyote na uongozi wa manispaa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inakuajeeeeeeeeeeeee! Samahani sana wana jf kwa hili manake kichwa kinauma. Swali langu ni Wanachuo wote wa vyuo vya private wanaosomea faculty za Afya eti huwa wakimaliza masomo either kwa...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Muhas wametoa nafasi za second application kwa diploma na advanced diploma..kupata form hizo ingia www.muhas.ac.tz.
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Jamani naomba kujua kama Faculty hii ni ngumu kwa wale ambao hatujasoma Book keepng Olevel wala Adv level.. Kuna ugumu wowote kuikwaa faculty hii.. 2po IFM pamoja..
1 Reactions
53 Replies
6K Views
Naongea jambo hili kwa uchungu mkubwa sana.Takribani siku ya tatu sasa tangu majina ya walimu wapya yatangazwe,cha ajabu majina yetu ya sjut-dom(shahada) hayapo kwenye orodha kama 300 na...
0 Reactions
58 Replies
8K Views
mi nilitaka kujua ni vitabu gan ni vizur kutumia advance kwenye hiki kipindi kwani vitabu vingne vpo ila havko relevant na mtaala wa advance ,nisaidieni kama ukinipatia title na mtunz wa hicho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndg walimu ifikapo mwakani mwezi wa 8,madeni mengi ya walimu yatakuwa yamelipwa wakati hyo pesa imeshuka dhamani.Zinduka mwalimu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Eti jamani naonba kama unaelewa unifahamishe. Je kuna uwezekano wa kubadilika tarehe na miezi ya kuingia vyuoni??? Au itakuwa ni vilevilw mwezi wa 10.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naona tumetawala karibia ktk majukwaa yote.Ila walimu wapya wa ILALA,nawataarifu kuwa hapa huwa hatupewi vitambulisho vya kazi.Nilipoanza kaz nikawauliza walimu wakongwe,wakasema hata wao hawajui.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Msaada kwa anayejua wapi kuna chuo cha Muziki kama kupiga keyboard, gitaa, drums, na vyote vinavyohusu muziki. Vilevile napenda kujua ada ni kiasi gani, muda, na eneo chuo kilipo. Asanteni
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Daaah! Hatimaye nimemaliza michakato .Aisee!! kweli ualimu kazi! Vitambulisho telee yani hapa inabidi niongeze wallet ...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Hawa jamaa watatoa lini fomu za maombi kwa ordinary diploma!?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Njoo SONGEA VIJIJIN nije LINDI au MTWARA 0714005193 ukinikosa mcheck my brother 0714582524
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ndugu walimu wapya, ikiwa leo ndio siku ya kwanza ya kuripoti katika wilaya uliyopangiwa, tuambie ni changamoto au matatizo yapi umekumbana nayo wakati huu wa kuripoti? Karibuni ndugu walimu
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Heshima kwenu wana jamvi. Kama mnavyojua kuwa jumapili iliyopita serikali kupitia wizara ya TAMISEMI ilitangaza ajira kwa walimu.lakini kuna watu waliokosa ajira. Mwanzo wa wiki hii kuna watu...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
vipi wadau hakuna mwenye update kuhusu walimu ambao walihitimu mwaka jana na hawajapangiwa vituo vya kazi kwamba ni lini watapangiwa!?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…