Wiki ya mwisho wa mwezi wa Saba nilikua namsaidia mteja wangu kufanya process za kuuza Kampuni yake, haya ni mambo ya kuzingatia ukitaka Kuuza Kampuni;
1. Elewa unauza Nini
Kuna mambo kadhaa...
Kama kuna mtu ana uzoefu na biashara ya uuzaji wa nguo za kike za ndani kama vile chupi, sidiria, tight etc naomba anifungue natamani kuijua hii biashara imekua ni biashara nlokua naiwaza siku...
๐ฑ Ewe Mtumishi, Wekeza Leo kwa Ajili ya Kesho Yako!
Kila mwezi unapopokea mshahara wako, jiulize: Je, sehemu ya mshahara huu inafanya kazi kwa ajili ya maisha yangu ya baadaye?
Watumishi wengi...
Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi.
===============
Nafanya usimamizi wa Mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na TikTok kwa gharama ya 150,000 kwa mwezi. Karibu...
Kama unataka kuuza pombe au vinywaji vingine kwa rejareja (retail), jumla (wholesale), kuanzisha bar au kwenye grocery, ni lazima uwe na leseni halali inayokubalika kisheria.
Bila leseni hiyo...
KAMA UNA WI-FI UNLIMITED INTERNET NIITE NIKUWEKEE APPLICATION KWENYE TV YAKO UTAKAYOWEZA KUANGALIA CHANNEL ZOTE DUNIANI za michezo na burudani NA SITE ZOTE ZA MOVIE NA SERIES LATEST KWA GHARAMA...
Nina ishi Japani
Nataka kuleta baadhi ya mizigo Tanzania (haifiki kontena).
Nahitaji kampuni itakayo nisafirishia na ku clear mizigo yangu bandarini.
Kama kuna mtu mwenye kampuni yupo humu
Au...
Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi?
Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu...
Wakuu za Usiku huu
Leo katika Harakati za Kilimo wakati Jembe la Trekta linapita kuna sehemu likakutana na Jiwe gumu sanaa na kuna alama ya zege la kutisha baada ya Kuuliza wazee wakaniambia Hapa...
Hii kifaa inaitwa VR BOX,
Nimeitafuta kwa mda mrefu sasa bila mafanikio. Leo nipo darasalama tena nipo mjini kabisa. Mwenye dukani kwake anauza anipe taarifa.
Igweeeee
Nimekaa nimewaza na kuwazua nifingue biashara gani ili maisha yasonge mbele hapa jijini
Wazo pekee ambalo naona linaweza kuwa tofauti kidogo na zile biashara za kuigana mwishowe kuanza...
A House to Call Home โ For Sale!
๐ Location: Iyumbu , Dodoma
๐ Plot Size: 1,500 SQM
๐ Structure:
5 Spacious Bedrooms
Servant Quarters (Self-contained)
Large Living Room
Dining Area...
Wateja ndio damu ya biashara bila wao hakuna mauzo, hakuna faida, hakuna ukuaji. Ikiwa unataka kuipanua biashara yako na kuongeza mapato, kuna njia kuu nne za msingi ambazo kila mfanyabiashara...
RAIS SAMIA: MRADI WA MKUJU KUIWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA URANI DUNIANI
โ ๏ธ Azindua Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Urani Namtumbo- Ruvuma
โ ๏ธ Asema Tanzania kuwa miongoni mwa nchi 10...
Hebu tuchambue vipi "MADE IN CHINA" imeleta taharuki na dhana potofu hadi watu wanahangaika bila sababu na kupoteza pesa Nyingi. ๐ค
1. Mfano mzuri ni vingโamuzi vya Azam TV! Vingโamuzi vya Azam...