Ndugu zanngu mambo vip?
Kumekuwa na upigaji mwingi sana kwenye biashara za mafriji hasa mafriza. Wengi tunauziwa mafriza tunaambiwa freezer hilo ni ujazo fulani kumbe sio. Mfano unaweza kuambiwa...
BANDARI YAHUDUMIA TANI MILIONI 32 KUTOKA TANI MILIONI 18
Kufuatia maboresho, Bandari ya Dar es Salaam imehudumia tani milioni 32 kutoka milioni 18 mwaka 2021.
Hayo yameelezwa Agosti 26, 2025...
Amani kwenu, nina ufugaji wa kuku wa kienyeji ambao ninao. Nilianza kidogo kidogo tokea 2019, kufikia 2021nilikuwa na kuku zaidi ya 100.
Miaka yote hiyo natumia chanjo ya tatu moja, kwa mana...
Habari za wakati huu ndugu, nawasalimu!
Somo la Biashara ya spea linaonekana limekaa vizuri. Kuna mambo matatu tu leo naomba niwajulishe;
1. Elimu inayotolewa mtandaoni ni msaada, ukitaka ziada...
Ni wazi kwamba kipindi hiki cha Mfungo wa Ramadhani biashara ya kitimoto imedorora. Jana na leo bucha nyingi hazina wateja kabisa, nyama zimenin'g'inia tu bila mnunuzi. Hali hii inatufanya sisi...
KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA
☑️ Waziri Mavunde aweka Jiwe la Msingi Kiwanda cha Kusindika na Kuyeyusha Nikeli na Shaba - Dodoma
☑️ Ni...
Dunia inaenda kwa kasi sana, watu wanazidi kuongezeka na uzalishaji wa chakula unazidi kupungua. In fact gharama ya chakula inazidi kupanda siku hadi siku.
Kama haitoshi, tatizo la ajira linazidi...
hata ukiwa na bidhaa bora, biashara nyingi hufa mapema kwa sababu ya changamoto chache zinazojirudia mara kwa mara.
Changamoto hizi zimeua biashara nyingi Tanzania. Zinafanya watu wakate tamaa...
kitabu cha kiswahili cha Mtu tajiri zaidi katika Babeli kitakusaidia kuwa tajiri (The richest man in babylon) kinauzwa kwa bei ya 10,000 Tsh. nicheki 0756704145.
-> zijue kanuni fedha kiundani
->...
Nimepambana nimepata mtaji wa million nane nahitaji kufungua duka la nafaka DAR lakini mimi mi mgeni katika biashara, sijui nafaka gani ni za kuanza nazo ambazo zinauzika sana hapa Dar na...
Ningependa kujua kwa nini leseni yangu ya biashara ya vifaa vya ujenzi (hardware) katika Jiji la Arusha (CBD) inahitaji kibali cha BASATA na kwa nini nalipishwa shilingi 50,000/= za ziada?”
Maboss zangu shelves za madukani izo apo.. kwa wauzaji wa maduka ya dawa, vipodozi, pochi, viatu ..
Boss nipe oda unahitaji shelves ngapi nkikutengenezea..
Shelves nzur na zakuvutia Zinafanya ata...
Niko mkoani Mwanza, nina kama tani 200 za mchele, kwa sasa ninafanya biashara ya kawaida hapa hapa Mwanza
Ninahitaji kupanua soko langu na kuanza kusafirisha kupeleka nchi jirani.
Ninaomba...
Habarini wakuu, nataka nianze Biashara ya kuuza Vitabu vinavyohusu Maisha....inspirational na mahusiano.
Ni sehemu gani naweza pata kwa bei ya jumla? Na Biashara hii ikoje kwa ujumla?
Wandugu habari kuna kitu katika uwekezaji ( investment portifolio) kinashauriwa kuwa nacho ni kuwekeza katika channel mbalimbali zinazoweza kukuletea kipato (Positive Cashflow).
Katika kuangalia...
Kama inavyoonekana hapo,ndani ni kama imechoka lakini ni gari ambalo toka linunuliwe halijawahi piga ruti sana,ruti zake zilikuwa za sokoni na stand kusindikiza wageni
Je, unalenga nini katika uwekezaji wako: Ongezeko la mtaji (Capital Gain) au Gawio (Dividends)?
Watu wengi huingia kwenye soko la hisa bila kuwa na malengo ya wazi. Lakini ukweli ni kwamba...