Habari wadau wote wa JF ni matumaini yangu mko salama Kwa uwezo wake Mwenyezi mungu, heshima kwenu wote.
Naomba kuwasilisha swala hili mahali hapa kwani nafahamu humu Kuna watu walio yapitia...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Neutral
This pair has consolidated so far this month. Price has been ranging between the support line at 1.2250 and the...
Mshauri mdau huyu aliyeamua kujiajiri , alipata fedha kidogo akapanga fremu na fremu haikua kwenye hali nzuri akafanya marekebisho kidogo(hela kidogo ikatumika), akanunua na samani chache kama...
Zanzibar ni watumiaji wazuri Wa sukari pengine kuliko bara, hivi Zanzibar wanazalisha sukari nyingi sana wasioweza kuinywa wenyewe ikaisha kiasi cha kulilia iletwe bara kuuzwa?
Au kuna sababu...
Habari zenu wadau, nilikua nauliza km kuna mtu humu ndani anafahamu upatikanaji wa machine za kusaga na kukobolea nafaka, tafadhali naomba anijuze..
Alafu Kama wewe ni [Mbongo]
Mtanzania na...
Assalam alaykum viongozi. Hope mko vizuri na mnaendelea vizuri na shughuli za ujenzi wa taifa.
Hizi kelele za kuelekea uchumi wa viwanda, tumezielewa vizuri tu, sasa kinachonipa maswali ni hatua...
Kwa wale waliowahi kufanya hii biashara naombeni kujua ni jinsi gani wameweza kupanua wigo wao na njia gani walitumia
Kikubwa natamani sana kufahamu jinsi walivyofanikiwa since nimetokea kutamani...
Huu ni utafiti tu ambao sio rasmi kuwa Singida ndio kati ya mikoa ambayo ni sawa na jangwa yaani kama umeenda kutafuta maisha jiandae kurudi kwenu na gari la msiba,kuna uhaba wa pesa hata vichaa...
TRL mbona hambadiliki bado mnafanya biashara kizamani wakati Mkurugenzi ni wa kisasa?Hizi ratiba zenu za abiria kunapokuwa na mabadiliko labda ya ajali na ratiba ikavurugika hamtangazii...
With the oil and gas sector growing at alarming rates in Tanzania and many new oil and gas projects are coming online, a lot of individuals and International companies are coming in Tanzania to...
Habari wanachama wenzangu wa JF.
Baada ya Salamu nilikuwa nataka kujua awamu zijazo za mabasi yaendayo kasi zitahusisha barabara zipi maana nilisikia kuna awamu mpaka 5 je utekeezaji wa ujenzi...
Wakuu, nikiwa maonyesho ya dar property mwaka huu Diamond Jubilee, nilipita banda la PPF nikakuta matangazo ya mradi wa mji mpya katika fukwe ya kijiji cha uvivu Ununio. Niliambiwa kama ujenzi...
Tangu niijue hii biashara ya forex kupitia Uzi wa Ontario, ni takribani miezi 7. Sikuwahi kusoma wala kupitia mafunzo yoyote Yale. Wala sinaga mentor.
Nilipoona Uzi wa jamaa na nikajua kuna...
Mamilioni ya watu kote dunani tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu wamekuwa na ndoto kila mtu na za kwake. Wapo walioweza kuzitimiza ndoto zao na vilevile wengi walikufa na kuzikwa na ndoto zao kabla...
Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa majina ya haya mawe lakini pia naomba kujuzwa kama yana thamani yoyote endapo nitayauza.
Soko lake ama wanunuzi wake wanapatikana wapi kama yanauzika!
Naomba...
hello JF,
kuelekea uchumi wa kati......
ningependa kuona wizara ya kilimo,biashara na science/technology....
wanakua na watu wao,
wa kusaidia watu,wanaotaka kuanzisha biashara zao kwenye hizo...
Kwa kiasi kikubwa nimeepuka kujihusisha na huu mjadala lakini nimeona nitoe haya madini ili kuwasaidia hasa wale wenye nia ya kuingia lakini wanapotoshwa na either usiri wa wanaoipromote au...
Things I’ve Learned from Rich People
1) Delay Gratification
I talk about it all the time.
In order to accumulate wealth, you need to learn how to delay gratification.
You can’t afford to be...
Wakuu kweli mtaji ni serious problem world wide.
Wadau hivi itakuwaje endapo vijana kama kumi mukaungana na kuamua kujitoa sadaka( risk taking) kwa pamoja na kuamua kila mmoja atoe 500,000/=...