Eneo gani zuri kwa biashara ya game kama vile playstation kwa Arusha? Napenda nije Arusha nichanganye mazingira mapya, sasa sijajua ni sehemu gani ambayo ni nzuri kwa game na makazi pia
Naomba ushauri wenu wa kinaga ubaga nataka kuanzisha biashara hii ....!
Je
Biashara hii inalipa ?
Zipi faida na hasara zake ?
Na nyongeza nyingine nyingi karibuni katika jukwaa tena
Nakaribisha
Wapendwa, habarini zakwenu? ninatoa utabiri wa equity bank kua bank itayokuja kuongoza kwa kutoa huduma bora tanzania, kua na mateja wengi tanzania, kwa ukuaji wa kasi, kwa ubunifu wa huduma...
Uongozi wa juu katika kampuni (executive leadership) ni dira katika kuhakikisha kampuni inafikia malengo yake (corporate objectives). Uono wa kimkakati (strategic vision) ni ufafanuzi juu ya wapi...
Habarini wadau. Nahitaji mkopo kukuzia biashara. Ninaishi kwangu, nina saluni ya kike yenye draya mbili mpya, kioo kikubwa cha saluni, na kabati kubwa LA kioo. Kwa aliye tayari kunikopesha kwa...
MeTL to Start Tanzanian Bank After Abandoning Barclays Plans
Tanzania’s MeTL Group, one of the country’s largest privately owned diversified manufacturing companies, plans to open a commercial...
Kwanza ukikutana nae hivyo anavyojua kuilaumu serikali ya awamu ya tano, we acha tu!
Atalalamikia mauzo hakuna, atalakamika wateja wamepungua, atalalamikia kodi, atalalamika miundombinu yaani...
Wasalaam!
Kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu usalama wa idea ya kibiashara ambayo sijaisajil rasmi kua property yangu kwenye mamlaka husika, naomba anisaidie kunihakikishie usalama in percentage...
Kuna mdau mmoja kanidokeza na kulalamikia maisha ya mtwara kuwa yapo juu hasa upande wa vyakula tofauti na sehemu yoyote tz.
Wenyeji haya ni ya kweli, kwa jicho la ujasiriamali nahisi kuna fursa.
Habari za jioni wapendwa,
Mimi niko Shinyanga nataka kuanza kuuza madaftari, kalamu na ream papers kwa jumla nataka kuagiza mzigo moja kwa moja toka viwandani lakini sijui hivi viwanda vipo wapi...
Wakuu, habari za muda huu...
Naomba kuelekezwa sehemu yeyote Dar es Salaam ninayoweza kupata mafunzo ya kutengeneza sandals za kimasai. Ikiwa maeneo ya Kimara na Mbezi ya kimara nitafurahi zaidi
Tafadhali rejea hapo juu nataka kukopa kama milioni 10 nimalizie NYUMBA niliyoianza kuijenga mwaka Jana Kwa mkopo mwingine kwa sasa nikipata hiyo m10 nitamaliza bati NA MADIRISHA
Salaam wana jukwaa
Naomba mnijuze/kushauri je kwa utawala huu wa Magufuli ni biashara gani ukiifanya inaweza kukulipa hata kama sio kwa faida kubwa lakini mzunguko wa bidhaa unakua nzuri
Hasa...
My take:
Hapa porojo ya ccm haitoweza, despite Dar es Saalam's passing of law that criminalises questioning of statistics where the government truth is considered absolute; a seriously matoke...
Kaimu Mkurugenzi wa Ulaya na Marekani kutoka Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ndugu Jestas Nyamanga amesema Mwekezaji kutoka Ubelgiji atafungua Kiwanda cha cha kubangua...