Wakuu heshima kwenu ndg zangu, wakubwa shikamooni lika langu habari zenu.
Baada ya salamu naomba niwape pole kwa majukumu mbali mbali na hongera kwa utekerezaji wa majukumu hayo.
Kilichonileta...
Habari ya Jumapili wakuu...naulizia kama kuna member anaejua upatikanaji wa dhahabu kule msumbiji maana kuna mdau alinambia kuna watanzania wengi kule na pia kodi zao sio kubwa sana
Huyu kijana yupo Tanzania sahvi. Amejizolea umaarufu mkubwa kupitia channel yake ya Youtube ambapo ameweka juhudi za kutangaza nchi za Afrika kwa dunia ili kuondoa picha mbaya iliyozoeleka huko...
Natumaini mko salama wana JF, nitaenda moja kwa moja kweye hoja, kama kichwa kinavyosema tuweni na ability to think and articulate issues in a better way, yaani tuwe na fikira bora za tujua na...
Ni jambo la aibu kukatwa wakati unafanya malipo kwa LIPA ya vodacom wakati MASTERPASS ni bure kabisa.
Sijui vodacom mlifikiria vizuri hasa wakati huu ambao tunaenda kuondokana na hela za...
Kuna siku moja nilikuwa ofisini kwangu akaja bwana mmoja akiwa na shida ya kiofisi baada ya kutatua shida yake akanieleza kwamba anavitambulisho vya kutosha nifike ofisini kwake na picha nijaze...
Nimeskia kutoka kwa mdau mmoja TRA Mwanza wameipiga marufuku kampuni ya Mwanza Quality Wine Ltd wanatengezaji wa pombe maarufu mkoani Mwanza ya Power Banana wine kusitisha uzalishaji hadi wawe na...
I know that most of us are afraid of being scammed of our fortunes. It is true even I had been of a kind in the past. I also had been scammed several times before I became brave and knew how to...
Closely monitor falling of shilling, experts caution
Saturday February 23 2019
In Summary
Tanzanians will now have to dig deeper into their pockets to pay for...
Jamani mimi mwanafunzi hapa Arusha lakini nimeona kuna fursa hapa kwenye metal works workshop yaani kuunda maget, metal beds, majiko ya chuma yaani tuwe madesigner fulani wa vitu vya kisasa...
Naomba msaada wadau kuna ndg yangu amekua akitumia Efd machine kwa miaka mitatu... Juzi Kati machine ikapata shot na Mother board ameambiwa imekufa na suplier amedai Hana spare... Je afanye nini ...
Kwa wale tulio soma somo la ujasiriamali chuoni nadhani wengi mnafahamu jinsi ujasiriamali unafundiahwa chuo yaani hakuna vitendo
Awali ya yote nilikuwa naomba watu wenye ufahamu wa kuandaa...
Wadau habari za mchana,
Naomba kuuliza,
Kuna akaunti ipo kwenye ukurasa wa Facebook unahusina na mikopo hii ni kweli au matapeli tu wa Tz.
Msaada wa maelezo kwa yoyote anayefahamu ukweli.
Sent...
Aisee kuna mambo yatia kinyaaa sana na kuchekesha.. sasa huyu mzee hapa anasema eti watu hawawezi kutupangia thamani ya hela yetu??? Serious kabisa yani msomi mzima unakaa kuamini Exchange rate ni...
Wadau,
Mara ya mwisho kuapa kutopanda bus za Abood ni mwezi wa pili mwanzoni, na hii ilitokana na mara kadhaa unapanda basi Dar na utakuta pale mbele kwa dereva wanajazwa watu kibao.
Na mkifika...
Hello, Im young(16 to be exact)and Im thinking about making a small t-shirt business. Just spray paint and blank shirts pretty much. Punk looking if you want a better picture of it. I want to sell...
Nina miaka mitatu kazini, ninapata mshahara mzuri sana ila sielewi mshahara wangu unaishaje, siwezi kutunza fedha kabisa, mshahara ukiingia utafikiri napandwa na wazimu kila kitu nitataka ninunue...
Kama unajua vizuri kuendesha gari nanunayo gari au unaweza kuikodi basi karibu inbox tufanye biashara.
Ndani ya week moja hadi mbili zitoshe mtu kufahamu kuendesha.
Tafadhali karibu
Sent using...
Jipatie taarifa na maarifa mbalimbali kuhusu sekta ya miliki kuu kupita jarida hili.
Soma Jarida la The Darproperty bure, fuata link hii The Magazine(March 2019)
Hatua zipi ili (Muuza) aweze kufikia wa wadau kwa kutumia jukwaa la "Mitandao?
Je! ipo kampuni rasmi inayopokea, kuandaa, na kuweka matangazo kwenye Mitandao?
Sent using Jamii Forums mobile app