LETS BE SMART IN OUR WAY OF THINKING -tuwe wajaja kufikiria katika mambo ya maisha na biashara

Herr muller

JF-Expert Member
May 28, 2018
1,018
2,000
Natumaini mko salama wana JF, nitaenda moja kwa moja kweye hoja, kama kichwa kinavyosema tuweni na ability to think and articulate issues in a better way, yaani tuwe na fikira bora za tujua na kuchambua mambo(swahili sio lugha yangu so kaa nitakosea poleni).Jana niliandika na kutoa taarifa kama nilivyoahidi hapo nyuma ya kuwa nitaleta taarifa kuhusu biashara hapo comoros, Nashukuru kabisa kwa wale waliona nimefanya jambo bora, na pia wale waliniuliza maswali, asante sana, naona taarifa yangu at least ilisaindia wengine, Lakini kuna kundi lingine lilinishangaza kabisa, wengine waliniita conman, wengine wakaniita tapeli na maneno ingine, wengine wakasema hio sio kweli, nataka niaze kwa kusema kwamba ile kitu nilifanya ni kitu tunaita kwa wale wamesomea economics, GENERAL OVERVIEW OF IMPORTS FROM TANZANIA TO COMOROS ISLANDS PERIOD. kwa kifupi nilitoa tu taarifa ya vile mambo yako kibiashara ya kuingiza vitu comoros toka kwetu tz,Na hii taarifa ilipaswa mtu kuitumia kaa mwanzo wa kufikiria kaa anaweza aza biashara na comoros, na ndio nikataja vitu ambazo hutoka bongo paka comoros, Sasa nilitarajia yeyote ambae ako na uwezo wa kufikiria sawa, au ako na ile kitu tunaita ABSTACT REASONING, hio taarifa aichukulie kaa vile naweza kukupa mana ya kutoka dar mpaka kigoma,, nikwambie kigoma iko wapi, unaweza kutumia ndege, railway, au bus au personal car, uamuzi ni wako, namaanisha nini, ilikuwa ni yeyote ambae atajisikia ako na nia ya kufanya hio biashara na comoros aaze kufanya MORE RESEARCH AND ANALYSIS, ndio ajue vitu kaa usafirisaji wa bidhaa uko vipi, bei ya bidhaa na atapata faida gani, na mambo kaa hayo , atatumia usafiri gani na kadhalika, lakini pale unaponiita tapeli ila hali hujasema mimi ni tapeli kivipi, unaposema mimi nimuongo ila hujasema mimi ni muongo kivipi, inanifanya nione wewe ni watu ambae uelewa wako ni mdogo sana au hata shule hujaenda,mimi sikuitisha mtu hata centi moja, vile nilisema kaa unataka taarifa zaidi nitakupa hio taaifa bure coz niko na watu najua katika idara ya biashara, na hata sitaki kukuona LA, nitakupa adress ya hao au hio idara kisa wewe weyewe utawasiliana nao,na kaa ni wale walikuwa wanasema mimi muongo kwani ni lazima mtu aende hapo, swali langu kuu ni hili, kwani mimi nimekukataza kuchukua usafiri mpaka comoros ukajue mambo wewe weyewe? Bottom line is this,LETS LEARN TO USE OUR COMMON SENSE THO COMMONSENSE IS NOT SO COMMON, lakini yeyote ambae ako na swali la comoros, feel free i will give you the answer to the best of the info i will get from there, enjoy your sunday.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom