Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Hii picha inatupa funzo usidharau maamuzi ya mtu wala usimlaumu badala yake wewe bariki tu maamuzi yeyote anayetaka kuchukua mtu 🤣 Yule jamaa yetu wa hisa za milion 60 nadhani saivi anaitafuta 300M
5 Reactions
14 Replies
692 Views
Wakuu habari za mda huu. Hivi Benk zetu wameshindwa kabisa kubuni mfumo wa kutoa huduma kwa uharaka? Imagine leo nimeenda bank kwa ajili tu huduma za mkononi. Lakini unatumia almost masaa matatu...
1 Reactions
4 Replies
171 Views
Jinsi Rostam Aziz Alivyoingiza Zaidi ya TSh Bilioni 7 Ndani ya Siku Mbili Kupitia Hisa Bila Kuuza chochote Kama humjui Rostam Aziz, ni mmoja wa wafanyabiashara wakubwa na wawekezaji wenye...
1 Reactions
1 Replies
323 Views
Kusajili Kampuni ya Construction Kuna procedures zake ambazo hazijaachana sana na Kampuni ya kawaida, ila hapa nitakuandikia in details procedures hizo; 1/5 Company Registration Hapa utafuata...
1 Reactions
7 Replies
739 Views
Habari wakuu. Katika harakati za kutafuta maisha kuna mbinu na mikakati ya kushinda soko lako,haswa kwa sisi Wafanyabiashara kuna mbinu za kijeshi ambazo huwezi kuzipata popote,ila humu jamii...
6 Reactions
52 Replies
2K Views
"Mnaolalamika hakuna ajira muende mkajiajiri msisubiri kuajiariwa" Hizi si kauli ngeni mjini ila ni kauli ambazo husemwa na watu ambao aidha hawajawahi pitia msoto wa mtaani au wana watu wa...
5 Reactions
25 Replies
829 Views
Habari za muda huu, Leo sina maelezo mengi nimekuwekea mkeka wa bei za jumla za mbao size zote kwa wilaya ya Njombe kwa wafanyabiashara wanaotaka kujumua na kwenda kuuza mikoa mingine kama Dar es...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
.Uliwahi kwenda maeneo ya Soko kama karikoo au mnadani kufanya Manunuzi ya Bidhaa tofauti Tofauti LAKINI .Wakati unafanya matembezi maeneo tofauti tofauti ya soko kusafishia macho ukiwa huna...
2 Reactions
4 Replies
404 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Wakuu Habari,naomba niende moja kwa moja kwenye mada nahitaji kumiliki piki piki ila naomba nipate ushauri ni piki piki gani nzuri ya kununua kati ya hizi Sinoray SR250 & XR650 Or xr250 Hasa...
0 Reactions
4 Replies
233 Views
Wadau kwema nijuzeni Hivi ni wapi Mwanza jijini naweza kupata viungo vya pilau na chai kwa bei ya jumla? Pia ubuyu wa mbegu, vipande na mifuko ya jumla jumla kwa bei nafuu? Nijuzeni tafadhali...
1 Reactions
8 Replies
452 Views
🚗 AIR ALERT TIRE VALVE CAP Angalia presha ya tairi lako kwa urahisi bila kifaa maalum! 🟢 Kijani – Presha ya tairi iko sawa 🟡 Njano – Presha inapungua 🔴 Nyekundu – Presha ndogo, ongeza hewa Inafaa...
1 Reactions
4 Replies
158 Views
LETE RAM ZA LAPTOP DDR4 8GB 16GB 32GB Bei maelewano, nipo ilala - Dsm 0718290779
1 Reactions
0 Replies
128 Views
Nataka kufanya trading Zanzibar. B2B Trading. Wajuzi naomba mnisaidie idea za bidhaa ambazo ni nzuri kwa B2B na ni scalable. Kwa kuanzia nataka kutoa bidhaa Tanganyika na kupeleka Zanzibar...
1 Reactions
4 Replies
205 Views
Boring businesses zina pesa nyingi sana. Sababu? Competition ni ndogo na watu wengi wanazidharau kwa sababu “hazipendezi” Leo nakupa mifano ya biashara za “kukera machoni pa watu” lakini...
14 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari mjasiriamali, Kama wewe ni mmiliki wa Kampuni nikukumbushe kua kila mwaka unatakiwa ku file annual returns. Sasa hizi ni Documents Tatu unazohitaji kuwa nazo wakati wa ku file annual...
2 Reactions
0 Replies
257 Views
Habari mjasiriamali, Last week nimepata watu watatu walioniuliza swali Moja, "nawezaje kubadili TIN yangu iwe TIN ya biashara?" For collective good nimeona nikuandikie hapa na wewe. Kuna hatua...
12 Reactions
9 Replies
663 Views
Kwema Wakuu, Za weekend? Nipo nachanganua hapa. Mfano nikiwa na labda 20,000,000/- nikazitia UTT Kwa riba ya 12% naweza kupata roughly 2,400,000 faida baada ya mwaka mmoja. Alternatively hizi...
5 Reactions
57 Replies
9K Views
Habari wanaJF, Natuamini kuwa mnaendelea vizuri. Mungu amekuwa mwema sana sana kwangu. Nimepotea siku 2, 3 hizi (nlikuwa nahudumia jamii na kumalizia msiba wa ndugu mmoja hivi). Sasa nimerudi...
8 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…