Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari za mda huu! Kwa wale wanaojua wapi ntapata mayai ya kuangulisha vifaranga nipo mbeya mjin. 0758996747 namba hii tuwasiliane. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
408 Views
Habari wakuu, Ninayo furaha kutangaza kurejea kwa series yetu pendwa ya mafunzo ya Digital marketing kwa lugha ya Kiswahili. Nilikuwa active sana humu mwaka 2020 na mwaka jana mwanzoni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Utangulizi. Kwa maisha ya kawaida tunapozungumzia Uchumi ni shighuli zote za binadamu zinazolenga kutekeleza mahitaji ya binadamu ya Kila siku. Dictionary ya Economist's imefafanua Uchumi...
0 Reactions
0 Replies
605 Views
UTANGULIZI NDOTO NI NINI? Ndoto ni taaswira, mawazo, tamaa au hisia ambazo zinapita katika akili yako. Mara nyingi Sana ndoto ni kitu unachoweza kukitengeneza katika taaswira yako kulingana na...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Mambo ni byuti byuti huko kwenye maasiliano. Sasa MB 1 ni Tsh 2.50 kutoka 1.50 na hiyo ni TTCL tu sijui huko kwingine
6 Reactions
56 Replies
6K Views
Nimeanzisha biashara ya bisi(popcorn) kwa packaging lakini inaenda wiki mbili sasa inatoka taratibu sana na siku nyingine haitoki kabisa. Nichukue hatua gani maana nategemea nipate faida ili...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavosema wakuuu,mdaa huu saa 12 na dk 16 Eur moja ni sawa na 0.99 usd hii inaweza kuwa inachangiwa na nini hasa?
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Kahawa maarufu tunayotumia hapa Tz ni Africafe. Kale kakopo, 50mg kanauzwa Tsh 4000. Maana yake kilo moja ya kahawa ile ni Tsh 80,000. Na kahawa hii ni ile ya quality ya chini tu. Ndiyo maana...
4 Reactions
2 Replies
831 Views
Greeting, hustler..[emoji110] Kama kijana lazima ulijuwe hili, thread.. Sometimes utaona kama bahati mbaya ama Mungu kafanya makosa kukuleta tz ila naomba kuongea na wewe leo. Ikiwa bado kijana...
2 Reactions
6 Replies
796 Views
Habari wakuu, Nina wazo la kufanya biashara ya kusafirisha abiria kwa kutumia basi ndogo aina ya Costa ambayo nategema kufanyia mkoani lakini bado nafanya utafiti nijue ni route ipi nzuri hasa...
6 Reactions
86 Replies
23K Views
Mwenye address ya hiyo taasisi na ya Mh. Nape Nauye anipatie. Ukipiga simu hawapokei, nataka niwape kimaandishi nakala kwa Waziri
1 Reactions
2 Replies
987 Views
Barcelona, Uhispania, Februari 28, 2022 - Wakati wa toleo la hivi karibuni zaidi la Kongamano la Dunia la Simu (MWC 2022), moja ya matukio makuu katika ulimwengu wa teknolojia ya simu, TECNO...
3 Reactions
84 Replies
7K Views
Je, Kama Kijana umejipanga vipi kuyaandaa hayo maisha_ au imekuwa Ni Kama simulizi kwa vijana wenzio bila kuwa na mipango_. Vijana tujiajiri! Vijana tujitume_! Tuwe wabunifu, wapo vijana wanafuga...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Yaan mshanikera to maxmum. Si muondoe namba zenu za customer care. Maana nina siku ya pili sasa nawapigia kubadilisha tarehe ya safari hamchukui simu zangu. And sina muda wa kuja kwa ofisi...
0 Reactions
2 Replies
830 Views
Cut
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau naomba muongozo kwa nwenye kujua hi Biashara vizuri Mtaji Bei gani!? ubora wa vifuu vinavyohitajika wapi wananunua (vikishakusanywa) Bei wanazonunulia Ahsanteni
1 Reactions
1 Replies
465 Views
Ukweli tuuseme tu, jahazi limeanza kumshinda mama. Sio kwa ugumu wa maisha huu! Yaani Watanzania wanatozwa tozo ambazo hata mkoloni na roho yake mbaya asingethubutu kuwatendea namna hiyo. Wengi...
31 Reactions
66 Replies
4K Views
Wakubwa shikamooni, madogo mambo vipi, poleni wote na makali ya tozo. Mimi ni kijana wa kiume miaka 30 makazi yangu kwa sasa yapo Iringa Twende moja kwa moja kwenye point., katika kuchanganyika...
0 Reactions
0 Replies
625 Views
Ndugu zangu hivi unatakiwa kulipia costom fee before ata hujaona parcel yako au unapaswa lipia baada ya kuuona?
0 Reactions
1 Replies
512 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…