Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kuna wateja ukiwaandikia bei yoyote hawajawahi kubisha. Wao huiitaji jumla tu walipie. Wateja wengi vijana wenye hela hawapendezi sana. Wengi huvaa kawaida. Ukiona ameng'aa sana jua hamna hela...
12 Reactions
47 Replies
3K Views
Habari za muda huu! Niko kwenye eneo linalozalisha zao la dengu na miezi ya mavuno imekaribia. Nimevutiwa na kufanya biashara ya kununua dengu kutoka kwa wakulima moja kwa moja. Ninaomba kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwenye ujuzi kuhusu kuanzisha kampuni naomba maelezo
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Kama kichwa cha habari hapo juu mwenye ujuzi na haya mdini soko lake likoje na mnunuaji pia ni nani na yanauzwa kwa tone au kg? Karibuni wenye ujuzi na kutoa darasa
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, Mimi ni kijana mpambanaji, ndio naanza maisha ya utafutaji wa ridhki kiukweli sina asseti yeyote ya maana labda kitanda, godoro, feni na pasi ndo nilivyonavyo. Naomba kuuliza kuwa...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari Nimewaza kuanza biashara ya kuuza mboga ya kisamvu Naombeni mawazo yenu juu ya changamoto zabiashara hii,..mfano kujua tofauti ya kisamvu na kisamvu-mpira, uhifadhi wa kisamvu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari za sasa hivi. Naomba kufahamu wapi pa kuanzia ikiwa nataka kufungua microfinance, na je, kuna kima cha chini cha kuanzia kwa mjibu wa sheria? Majanga yatokanayo na hiyo biashara ni...
3 Reactions
38 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu, Najua fika kua jukwaa hili limejaa watu werevu na wenye uzoefu tofaut tofaut kwenye sekta ya ujasiriamali, hivyo ndugu zanguni nimekuja kuomba mawazo yenu ili niwezepata...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
MAENDELEO YA UJENZI WA SGR: "Vituo vya Reli hii ni vya kisasa na siyo kwaajili ya kushusha na kupandisha abiria pekee bali itakua ni sehemu ya biashara na huduma za kijamii zikiwemo za kibenki na...
15 Reactions
141 Replies
18K Views
Wadau naomba msaada wenu kidogo kwenye hii biashara ya malori ya kubeba mchanga na kokoto , hesabu kwa siku kwa lorry la tonne 7, 18 na 32 ni kiasi gani ? Katika hayo yapi yana demand sana ...
2 Reactions
76 Replies
44K Views
Yan unaend sheli kununua mafuta ya 45k, unapewa lita6.62 x3019=45000?, Yani leo moto pamechimbika
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wana jf Natamani sana kufanya biashara yoyote ile ambayo itakua hivi, kwa mfano: unaichukua biashara bongo unaipeleka iwe Congo, Zambia, Zimbabwe, Malawi, kisha unaichukua huko biashara...
0 Reactions
0 Replies
480 Views
Wadau nimenunua mitambo ya kuanza kuzalisha maji ya kunywa (used), nimepanga kuanza kutengeneza maji ya kunywa na kuyauza. Nahitaji wadau wabobezi wanishauri hatua za kuanza biashara hii, pia kwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari Wanajamii Wa JF, Nafikiria Kufungua Biashara Maeneo Ya Magomeni Mikumi Au Usalama Dar Es salaam. Naomba Kusaidiwa Kujua Bei Ya Frame Ya Chumba Cha Biashara Ina Range Bei Gani kwa Mwezi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo nawaibia kidogo kuhusu uwekezaji kwenye nyumba za kupangisha hii ní biashara nzuri sana ambayo utaishi bila kuwa na mashaka yoyote yale katika mzunguko wako kipesa na família. Iko hivi mfano...
13 Reactions
288 Replies
31K Views
Nilikuwa naomba mwenye elimu kidogo juu ya utengenezaji wa vifungashio vya karatasi anisaidie.
1 Reactions
4 Replies
3K Views
HABARI.ZENU WADAU. Natarajia kuvuna vitungu vyangu kuanzia tar 25 mwezi huu naomba kujua hali ya masoko kwa Dar. Asanteni
1 Reactions
2 Replies
508 Views
Jamani naombeni msaada, Kwa yeyote aliyewahi kuagiza kifaa chichote au kitu chochote kutoka China chenye uzito wa 30 kg gharama za usafirishaji zikoje?
2 Reactions
32 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…