Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Husika na kichwa taja chajieleza Naomba Mnipe Strategic Areas, ambalo naweza kufungua Kituo Cha Afya, isipokuwa ndani ya Mkoa Wa Dar Es Salaam.
5 Reactions
54 Replies
7K Views
Wanajukwaa wenzangu tunaopenda kufanya kazi za online na watukutoka nje ya nchi nilikua naomba kuulize hivi payoneer inaruhu kupokea pesa toka nje ya nchi??
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari. Sina ujuzi ktk project Napenda kuelimishwa kwa lugha nyepesi. 1. Terms of reference ni nini unapotaka kuanzisha project. Project yangu inafocus kuanzisha kamati itayo organizing...
0 Reactions
3 Replies
616 Views
Wanajf mimi pamoja na kuwa muumini mzuri wa kulipa kodi hali inazidi kuwa mbaya.Mwezi julai wakati naanza kuuza haka kagenge nilikuwa nauza hadi sh.80000/= kwa siku nikaenda TRA wakanipa tin...
0 Reactions
29 Replies
21K Views
Niliziea kukuona ukiuza chupi (boxer) sox na singland(carwash) sijui kwa nini huitwa hivi. Nimekuona toka 2017 ukiuza hivi vitu kwa kupita kwenye bar na migahawa mikubwa. But hivi karibuni...
2 Reactions
4 Replies
532 Views
Kwema wakuu. Maisha yetu yanakuwa magumu, fedha yetu inakosa thamani. Hivi kama taifa likatelekeza shilingi na kuanza kutumia dolar ya Marekani tataathirika ama kufaidika na nini?
2 Reactions
46 Replies
2K Views
Nimejaribu kufikiri. Kutokana na changamoto ya ajira nchini ambapo serikali imeajiri watu wasiozidi milioni moja kati ya watanzania milioni sitini ambapo nguvu kazi ni zaidi ya watu milioni...
1 Reactions
1 Replies
536 Views
Je, umekua ukisikia tuu swala la kuwa na website lakini hujaelewa kwanini haswa uwe na website kwa ajili ya biashara au asasi yako isiyo ya kiserikali (NGO)? Au unayo website lakini haujaona bado...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimekaa nikawaza nchi Kama marekani ugoro unauzwa supermarket lakini huku watu wananua kwa kujificha utazani kwamba ni kitu haramu. Hatua ya kupackage ugoro kwenye small can tins ika create ajira...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu habari. Naomba niende straight kwenye mada. Nakumbuka miaka imepita kidogo, niliwahi kusoma mahala pameandikwa kuwa Auditing Firms azitakiwi kujitangaza kama aina nyengine za biashara...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za wakati huu; Kwanza nianze kwa kuwapa pongezi wale wote ambao wamejitosa na kuamua kuanzisha biashara zao ndogo na za kati.Changamoto ni nyingi na muda ni mchache na Fursa nazo ni...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Jukwaa la Uchumi limesema licha ya kuwepo kwa dalili za kupungua kwa Mfumuko wa Bei, Mataifa ya Afrika yataendelea kukabiliwa na mwaka mgumu kwa sababu ya agizaji Bidhaa nje na Mishahara Duni ya...
1 Reactions
3 Replies
854 Views
Aisee bank wezi sana. Mwezi wa 7 nlikopa CRDB milion 20 kwa mkopo wa miezi 36 ambapo kuna riba ya 4 miln. Nikaenda kufanya ujenzi Mwanza. Sasa bana nikapata dharura inayohitaji hela kama 3 miln...
6 Reactions
31 Replies
7K Views
Hello jamaa zangu, Tumaini langu mnaendelea vizuri. Nahitaji kupata pikipiki Kwa ajiri ya biashara ila pesa yangu ni kidogo sana. Ningependa kujua kama Kuna wadau wanayajua makampuni...
1 Reactions
9 Replies
9K Views
Habari zenu wadau, Ninaomba kufahamu bei za mafuta ya alizeti, nahitaji kwa wingi.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Naomba kujua process za kusafirisha nafaka kuingiza Zanzibar na vibali vyake vikoje pia ushuru umekaaje.
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Here is the man who makes 161 million FCFA of turnover per day, His name is Obasanjo the former president of Nigeria nicknamed the king of livestock in Africa. The man indirectly employs 7,000...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Kwa sisi wa maisha ya kawaida, fursa hupatikana pale mtu anapohama au kuuza vitu kwa bei ndogo kwa ajili ya kutaka kununua kingine. Especially wakipatikana wale wageni ambao...
0 Reactions
3 Replies
645 Views
Habari wakuu nasogeza hoja mbele yenu nahitaji msaada na muongozo nina goli langu la uwakala sasa nataka nijiongeze sababu ofisi imepwaya na uzuri namshukuru Mungu uwakala umeitika vya kutosha...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau, nina 200 million TZS, je niweke fixed account benk ipi yenye interest nzuri ya mwaka? Asante Michango ========== Mkuu salute! Seriously fanya haya kwa pamoja baada ya miaka 5 utakuja...
3 Reactions
94 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…