Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Huyu Prime Minister wa Ethiopia sio poa aisee. Leo nilikuwa naangalia hii video inaonesha jinsi Addis Ababa inavyokua kwa kasi in just short time Watu wanahamishwa uswazi wanapelekwa kwenye...
18 Reactions
148 Replies
3K Views
Watu wengi wanaota kuwa na biashara yao wenyewe, lakini mara nyingi wanaahirisha kwa sababu wanaamini wanahitaji mtaji mkubwa sana ili kuanza. Mama Catherine naye alianza akiwa mama wa nyumbani...
0 Reactions
1 Replies
166 Views
Naombeni ushauri kwa wawekezaji kwenye hii sekta mikataba kwa siku dereva analeta kiasi gani kwa boss kwa gari ambayo ni mpya ,mikataba inaenda kwa miaka mingapi maintainance nzima za magari na...
5 Reactions
40 Replies
1K Views
Anonymous
Mikopo si jambo rahisi kama watu wengi wanavyofikiria. Nilichukua mkopo na kuanzisha biashara nikiwa na matumaini makubwa. Hata hivyo, nilitumia fedha nyingi kwenye maandalizi, biashara...
32 Reactions
115 Replies
3K Views
Kufikia mwezi wa 4 2025, vituo 10 vya CNG vilianza kujengwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro. Kampuni ya PUMA Energy Tanzania Limited ilianza kujenga vituo Tegeta, Ubungo...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari, mimi nimeanzisha kampuni ya kutoa huduma za ki ICT. Ofisi ya kampuni ipo Dar es Salaam, kuna vifaa vya kazi kama Computer 5, printer 2, ofisi kubwa yenye AC, mashine nyingine kama mashine...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanajamvi Salaams Naomba wazo zuri la biashara ndogo ndogo ambalo lina faida ya chapchap kwa kuanzia nina mtajo wa 2M Nasoma comment Asanteni
6 Reactions
17 Replies
409 Views
Habari za wakati huu wadau, Tangu enzi na enzi, binadamu amekuwa akitafuta njia mbalimbali za kuboresha maisha yake. Katika jitihada hizo, tumeweza kubuni bidhaa na huduma mbalimbali kama njia ya...
4 Reactions
16 Replies
336 Views
Sehemu flani hivi chaka kimtindo, Kando ya kimfareji flani ambacho hakikauki mwaka mzima, Naenda kupiga kambi nitaishi hapo hapo Nitalima tu mboga mboga twa fasta kama mchicha na spinachi mixer...
2 Reactions
8 Replies
181 Views
Habari Wana JF. Mimi nikijana wa miaka 23 nilipambana kutafta mtaji na Sasa nimepata million nne My plan nikufungua car wash ndogo. Mkoa niliopo nimefanya uchunguzi wa pressure washer machine...
7 Reactions
14 Replies
503 Views
Mkataba wa Ujenzi wa Meli Tatu za Bahari Kuu: Tanzania Yafungua Mlango Mpya wa Uchumi wa Buluu na Ajira kwa Vijana Na GULATONE MASIGA Bahari ya Tanzania ni rasilimali kubwa ya kiuchumi ambayo...
1 Reactions
2 Replies
339 Views
CHAKULA CHAKO • FORMULA YAKO • BRAND YAKO • SISI TUNACHANGANYA NA KUPELLETIZE. FRANA7WAYS FEEDS inakupa huduma ya kuchanganya na kutengeneza pellets (Punje) kwa kutumia malighafi na formula yako...
0 Reactions
3 Replies
105 Views
Wakuu kwema, Ukirejea kichwa cha uzi kama kinavyosomeka... nahitaji tarifa kamili za wasambazaji wa bei zajumla wa hizo bidhaa hapo. Napataje namba zao.. Kama ni muuzajinwa jumla naomba uje...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuongea jambo… na kufanya watu wakusikilize. Unaweza kuwa na biashara nzuri. Unaweza kuwa na bidhaa bora. Lakini kama ujumbe wako haujawafikia watu kwa sauti...
0 Reactions
0 Replies
75 Views
Huenda tatizo si vifaa vya gym yako. Huenda tatizo ni kwamba bado hujaielewa vizuri biashara unayoifanya. Watu wengi wanapofikiria kuanzisha gym, mawazo yao huenda moja kwa moja kwenye kununua...
1 Reactions
3 Replies
137 Views
Katika biashara ya kuuza bando, baada ya laini za Corp na Super Corp zilizokuwa tegemeo la wauza bando kuzuiwa mwezi May, laini za Faith zimekuwa kama tegemeo lililobaki kwa baadhi ya wauzaji kwa...
0 Reactions
1 Replies
215 Views
Wakuu, Jamani mkianzisha biashara muwe mnaangalia na wateja, Kuna mwanangu kaanzisha biashara ya smoothies na juice. Alivyoanza biashara yake kiuana nikawa naenda kununua, nikitoka ofisini...
28 Reactions
84 Replies
1K Views
kwa wenye uhitaji wa housegirls, shambaboys,wenye utiifu na uwajibikajikuanzia miaka 18 nakuendelea , contact us delivery ni Tanzania yote kwa uaminifu mkubwa!!
2 Reactions
6 Replies
108 Views
Ndani ya hii miaka sita 6 tokea niamue kuachana rasmi na ajira, kuna kitu nimejifunza kuhusu ujasiriamali ambacho ningependa vijana wengi wakijue mapema na I hope wengine wengi wamekifahamu pia...
10 Reactions
26 Replies
299 Views
  • Redirect
NYUMBA ya KUBOMOA 🔥INAUZWA🔥 Ipo KAWE karibu na MAGHOROFA ya SAMIA hapo Inatazama OLD BAGAMOYO Ipo MAIN ROAD Umiliki L/MAKAZI ENEO. (SQM 732) Price Mill 700 maongezi 🇹🇿Call/WhatsApp...
0 Reactions
– Replies
– Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…