Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari za wakati huu ndugu zangu wa JF, tukiendelea na mapambano ya kila siku Kwenye harakati za mapambano nimefikiria kutafuta eneo kwa ajili ya kuuza maziwa ikibidi kuongeza na bites na vitu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwenye industry ya forex sio lazima utrade huku Kuna fursa nyingi nje ya kutrade na ukapiga pesa Safi 1. Unaweza kuwa agent wa malipo ya pesa , Hawa ni watu wanaowasaidia traders katika kudeposit...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba mnishauri ni maeneo gani hapa Dar yanafaa kuanzisha biashara ya nafaka na mafuta ya kupikia kwa jumla na Rejareja? Nimepata mtaji 10M nataka nianzishe store ya kuuza nafaka but naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu wengi hawaelewi namna ya kuendesha Business Online Kipengele muhimu usifanye kujaribisha Zingatia sana Jifunze mbinu za dominate sphere ulio ichagua Bila kujifunza huwezi kufanya Kwa usahihi...
2 Reactions
4 Replies
458 Views
  • Poll Poll
Money management ni moja ya life skills muhimu sana unayotakiwa kuiboresha, lakini bahati mbaya sio kitu ambacho kinafundishwa shuleni. Wapo tayari kutufundisha Kiundani zaidi historia ya akina...
10 Reactions
7 Replies
1K Views
WAZIRI MAVUNDE AAGIZA LESENI ZA UTAFITI 45 MKOANI RUKWA KUREJESHWA SERIKALINI -Ni Leseni ambazo hazifanyiwi kazi na kuzuia maelfu ya wachimbaji kuchimba -Eneo lililorejeshwa la ekari 812,383 ni...
0 Reactions
1 Replies
355 Views
Habar wanajf naimani mko powa Sana Leo nataka tujadili kuhusuu hii idea siyo ngeni maana maduka kazaa nishawah ona so ntaka mnishauriii kidogo.. Nataka kufungua duka la vifaa vifaa vya...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Rwandair wanatua destinations za mashiko kibiashara 1. London Heathrow, 2. Brussels, 3. Paris, 4. Dubai, 5. Doha, 6. Mumbai, 7. Lagos, 8. Douala, 9. Libreville, 10. Accra, 11. Dar, 12...
4 Reactions
8 Replies
875 Views
Nimewahi kuziona Baa kadhaa ambazo sikuwahi kudhania kabisa zitakuja kupoteza wateja, Wateja walihama kwa style za kimafia sana, yani vuuup!! ghafla bar inaanza kuwa tupu !! sio kwamba bar...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Wasaalam ndugu na jamaa Naomba kuuliza, je biashara ya electronic transactions kama mpesa, tigopesa, Airtel money na halopesa ,faida yake inapatikanaje? Na je kwa hapa dsm, biashara ipi inatoa...
4 Reactions
3 Replies
650 Views
Mara nyingi huwa nakutana na matangazo Mtandaoni yanatangaza bidhaa na kunadi ofa ... Unakutana na Tangazo linasema OFA OFA OFA jipatie ......kwa bei ya ofa ,lakini ukiangalia sababu za yeye...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello wana Jf habari za wakati huu sikuyajana nimejaribu kupitia katika app ya alibaba na nikaanza kujaribu kuagiza kamzogo lakini changamoto niliyokutana nayo ilikuwa ni estimated shipping fee...
2 Reactions
7 Replies
653 Views
Habari zenu, wakuu naomba Msaada ulikuwa ni tareh 27 mwezi wa 7 mwaka Huu 2021, nilikwenda Tra kuchukua TIN number nikafanikiwa kupata Biashara yangu ni playstation Nina TV moja chogo na moja flat...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Will come soon (anonymous content to anonymous members)
7 Reactions
148 Replies
25K Views
Jinsi Watu Wanavyojiajiri Kupitia Blog Blog ni Nini na Inapatikanaje? Blog ni tovuti au sehemu ya tovuti inayosimamiwa na mtu binafsi au kikundi, ambapo taarifa, mawazo, na habari zinachapishwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Teknolojia na mitandao ya kijamii zimeleta mapinduzi makubwa katika sekta ya biashara ulimwenguni, na Tanzania siyo tofauti. Kwa kutumia teknolojia ipasavyo, wafanyabiashara wanaweza kuongeza...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nawishi kuchukua loan kozi life limekua likinichapa sana, wataalamu nipeni uzoefu sana. Je, nitaweza kopesheka shingapi kwa benki ya CRDB kwa hio salary?
13 Reactions
193 Replies
19K Views
Sijui hata nani kawaloga. Unaweka maelezo yote kamili bei na njia ya mawasiliano etc. Anakuja mtu anakuuliza maswali ambayo majibu yake kwenye maelezo ulishaweka. Yaani mwisho wa siku ni usumbufu...
28 Reactions
243 Replies
16K Views
Wapendwa kwa unyenyekevu natanguliza salamu kwenu nyote. Nimeamua kuanza kununua bidhaa kama mikoba na pochi za wanawake moja kwa moja kutoka China kupitia Alibaba na Aliexpress na kuzileta hapa...
13 Reactions
63 Replies
22K Views
Wakuu, Kila mara ninapolipia bidhaa toka hizi supermarkets, napewa option ya kujaza nambari yangu ya mlipa kodi, maarufu kama TIN number kwenye receipts. Swali: Je, kuna faida yoyote...
0 Reactions
0 Replies
400 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…