Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wadau habari. Kwa mtu yeyote yule anaifahamu vizuri biashara ya nywele zinazotoka nchini China naomba anifahamishe, sina uelewa kabisa na hii biashara. Ningependa niifahamu vizuri nione kama...
1 Reactions
104 Replies
80K Views
Baada ya maradhi sugu, hakuna kitu kinachokosesha amani kama kuwa na madeni. Hili jambo linatia stress ya hali ya juu mno. Na mbaya zaidi ni kuwa stress hii inakufanya ushindwe ku focus kufanya...
36 Reactions
78 Replies
8K Views
Googe Maps ikionesha ukuaji kiuchumi wa jamaa kuanzia 2007 huko marekani.
1 Reactions
2 Replies
542 Views
Wakuu habari Nataka nimfungulie biashara mdogo wangu nikamuuliza kwanza biashara gani amefikilia kuifanya kwa mtaji wa chini ya 500,000 kaniambia kuuza ndizi mzuzu ,Yani anaenda kuchukua mizogo...
4 Reactions
9 Replies
987 Views
Salaamu wanajamii, napenda kuuliza hivi huu mkopo wa hazina huchukua muda gani mpaka kuingia kwenye account kama ushamaliza process zote za mkopo? Sababu tangazo tangu limetoka ni mwezi wa 11...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu tushirikishane basi hizo biashara au madili ya biashara za kuingizia kiwango hiko cha faida kwa muda tajwa, hivi kweli zipo na kama zipo tushirikishane. Mambo ya kufanya biashara kwa mazoea...
19 Reactions
211 Replies
30K Views
Habari rafiki? Kesho tarehe 11/05/2017 ndiyo mwisho wa kununua hisa za vodacom kwenye soko la awali. Wakati tunaelekea mwisho kabisa wa zoezi hilo, nimeandaa mwongozo huu mfupi kuhusu UWEKEZAJI...
5 Reactions
18 Replies
7K Views
Kila mtu anawaza pesa, kila mtu kichwa chake ina picha ya mafanikio na asilimi 90% ya hawa watu wote wanaowaza pesa na mafanikio na maisha mazuri hufikiri pesa inapatikana kwa kufanya biashara tu...
149 Reactions
282 Replies
62K Views
Habarini Wakuu, Nimekuja na tangazo langu fupi hapa, Nimefungua group la WhatsApp ambalo ni kwaajili ya wateja wangu ambao nitakuwa nachapisha picha na bei za bidhaa mbalimbali za mapamboo ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
mwananchi_official Bodi ya Wadhamini wa Kanisa la Angikana Tanzania pamoja na Askofu Jackson Sostenes wa Dayosisi ya Dar es Salaam, wamewasilisha pingamizi Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mnamo mwezi wa nane mwishoni nilifungua biashara ya kuuza kuku Wa kukaanga pamoja na viungo vyake. Wakati nimeanza mauzo yalikuwa hafifu ikawa hata elfu 5 haifiki ya mauzo, ndo nikaja na Uzi wa...
25 Reactions
91 Replies
37K Views
Ndugu zangu hapa nilipo na mtaji wa laki saba na nipo Arusha. Nilikuwa na wazo la kufungua biashara ya internet cafe ila nikiangalia kwa biashara hii mtaji ni mdogo. Nilikuwa naomba wazo la...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Men who become genuinely There’s a common misconception that success is just for the young guns, but nothing could be further from the truth. Men who achieve genuine success in their 50s and...
12 Reactions
14 Replies
2K Views
MIKOPO YA ASILIMIA 10 KUANZA KUTOLEWA KABLA NOVEMBA 30, 2024. Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Dkt Festo Dugange amesema mikopo ya Halmashauri ya asilimia 10...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, habari za kazi? Samahani kwa usumbufu. Nina biashara ndogo ya vifaa vya simu (phone accessories), lakini ninahitaji kuongeza mtaji ili niweze kuagiza mzigo mwenyewe kutoka China na kuuza...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Mara kadhaa kabla ya ununuzi wa simu imesababisha watu wengi kuamini kuwa RAM kubwa zaidi kama 3GB, 4GB, 8GB na 12GB ndio suluhisho kuu la kuboresha utendaji wa simu. Ingawa bila shaka ni muhimu...
2 Reactions
8 Replies
6K Views
Kuna biashara zinaonekana ndogo lakini kipato chake kimechangamka 1. Miwa- hii inalipa sana 2. Karanga 3. Kahawa- faida X2 4. Fenesi- k/koo&sinza, Niongezeeni nyingine, nahitaji kutoa ajira kwa...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Licha ya kuwa tupo katika ukingo wa bahari lakini magari yapo bei juu sana kiasi kwamba gari za zamani wengi ndo tunatamba nazo
3 Reactions
8 Replies
350 Views
Kwenye biashara iwe ni service provider au manufacturer kuna kujenga brand name lakini pia kuna logo ambayo kazi yake kubwa ni kuitambulisha brand yenyewe. Logo ni sehemu muhimu ya kutangaza...
20 Reactions
40 Replies
3K Views
Mimi ni mtumishi wa Umma wa kawaida. Ndoto yangu ni kumiliki shell kituo cha kuuza mafuta eneo ninalokaa mtaji wa mafuta ni mkubwa na sheli ni moja na kuna wakati anaishiwa mafuta hata kwa week 2...
4 Reactions
19 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…