Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Khabari za mida hii waungwana!! Kwa mliooa Naomba nisaidiwe Barua ya posa inaandikwa vp na inapelekwa na nani?? Na maanisha nani anaebidi aandike? Mshenga au ww?? Wakati wakupeleka posa mhusika...
2 Reactions
3 Replies
623 Views
Chukulia unafanya biashara ambayo sio muda wote unakuwepo hapo wewe mwenyewe ila umeajili watu wengine ndio wapo hapo muda wote kuhudumia wateja. Unafanyaje ili staff uliowaajili kusimamia...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Kueleza umuhimu wa kuonesha heshima kwenye mazungumzo kuhusu utalii wa ndani ni jambo la maana. Ni kweli kuwa utalii wa ndani ni sehemu muhimu ya maisha yetu na ni suala la hiari kwa kila mtu...
1 Reactions
1 Replies
339 Views
Naiomba TRA ishughulikie hili, hivi ni kwanini mashine za ATM mfano NMB, CRDB n.k hazitoi risiti pasipo kuuliza? Ilihali akifanya hivyo mfanya biashara kariakoo anakamatwa . Kwanini risiti za ATM...
10 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni mgeni kabisa katika ishu za Taxmtandao, hususan BOLT, Nataka kutumia chombo changu bajaj kujipatia riziki, na tayari nina akaunti, lakini sasa nasikia kuna hali ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Je ni sahihi kondakta wa daladala kupiga kelele za kuita abiria? Au abiria hawajui wanakokwenda? Je abiria wanakuwa hawaoni usafiri? Hii tabia ya kondata kuita abiria na kutangaza vituo daladala...
10 Reactions
37 Replies
2K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu humu !! Siku nyingine tena tumshukuru Mungu tumeamka wazima, tukiendelea na harakati za utafutaji ridhiki za halali. Leo nina habari njema kwa wale wenzangu ambao...
26 Reactions
68 Replies
6K Views
Linapokuja suala la umiliki wa pesa basi tunazungumzia hisia ziletwazo na pesa ambavyo kwa namna yoyote unatakiwa hisia hizo zisikushinde bali uzitawale.Wengi hatutafuti pesa kama zilivyo...
1 Reactions
2 Replies
584 Views
HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA YATOA MIKOPO YA THAMANI YA SHILINGI MILIONI MIA NNE (Tsh 400m) Jana, Ijumaa, tarehe 3 Jan 2025, Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Musoma DC) ilitoa mikopo isiyokuwa...
0 Reactions
2 Replies
306 Views
Habari zenu wakuu, Nina rafiki yangu yupo Uturuki (Turkey) anapenda tufanye biashara, either kuchukua bidhaa kutoka Uturuki kuja Tanzania au kutoka Tanzania kwenda Uturuki. Naombeni mawazo yenu...
1 Reactions
21 Replies
11K Views
Wataalam wa aina hiyo wanapatikana Tanzania? Nafahamu kuwa Tanzania kuna watu waliosomea masuala ya FINANCIAL PLANNING, lakini sikumbuki kama nimeshawasikia Watanzania wakishuhudia jinsi ushauri...
3 Reactions
22 Replies
976 Views
Kwa umri wangu huu mdogo nimepata fursa ya kutembelea baadhi ya nchi hapa Afrika,ktk fursa hii nimebahatika kwenda nchi ya Morocco. Nilienda Morocco kupitia Mali kwa Tombouctou Airport ya Mali to...
27 Reactions
125 Replies
7K Views
Nchi ya Thailand ni kama unavyoona china imepiga hatua kubwa kwa viwanda na leo nitawaonyesha fursa ili kusaidiana hasa kwa wale wajasiriamali. Kwanza kabisa wana hotel nyingi na nzuri na kwa...
77 Reactions
341 Replies
77K Views
Miaka mitano iliopita nilifungua website ya kuagiza bidhaa mbalimbali kwanjia ya mtandao bahatimbaya sikupata wateja wakutosha nilikutana na changamoto nyingi sana 1. Watu wengi niwaoga kutapeliwa...
11 Reactions
137 Replies
11K Views
NI NMB bonus account, mil 15 kama akiba ukatupia huko unavuna sh. Ngap kwa Kila miezi 3?
10 Reactions
81 Replies
4K Views
Wakubwa nina mtaji wa shilingi milioni mbili na nataka nifanye biashara. Je, biashara gani ninaweza kufanya kulingana na pesa hiyo? Nimetafakari sana ila nakosa kujua kwa usahihi biashara gani...
26 Reactions
3K Replies
916K Views
Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million Maisha ya siku hizi njia za kupata mikopo zipo nyingi na tofauti Wapo watu wanaokopeshana wenyewe pasipo kuhusisha taasisi za...
2 Reactions
12 Replies
945 Views
Habari, Kuna bidhaa nataka kuagiza (mini projector 📽️) kutoka Amazon. pakuanzia kuhusu Amazon najua ila swali langu ni:- Je, nikiagiza bidhaa Amazon, nitatakiwa kuichukulia wapi(destination)...
0 Reactions
11 Replies
927 Views
Naitwa Gebiherd Gebe Millinga, Mzaliwa wa Mkoa wa Ruvuma Wilaya ya Nyasa kijiji Lituhi. Ni MTANZANIA Fani yangu ni Fundi Magali. Garage yangu ipo Tabata Segerea Dar-es-Salaam. Makazi yangu ni...
8 Reactions
33 Replies
10K Views
Ndugu zangu naomba yeyote mwenye uzoefu na bidhaa za stationary kutoka China anijuze, nina millioni kumi, na kuna mtu kaniambia naweza fanya hiyo biashara na nikapata faida kubwa zaidi.Nimeshapata...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…