Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

1. Benki Pendwa ya Wanawake imefia wapi? Malkia wa Nguvu on fleek! 2. Watu wamepiga mahela wamesiz kitaa Sasa wanawaza kupiga hela za faraja tena
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu. Ni siku nyingine tena kwenye chini ya JUA. Baada ya kuzurula sana kutafuta gari ya Uber na bolt bila mafanikio huku nikiwa napiga Domo (Dalali) Kuna jamaa humu alinichek...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Our comprehensive range of services is designed to help your business stand out, engage visitors, and drive results. Custom Landing Pages: Beautifully designed and optimized to match your brand...
0 Reactions
0 Replies
262 Views
Our comprehensive range of services is designed to help your business stand out, engage visitors, and drive results. Custom Landing Pages: Beautifully designed and optimized to match your brand...
0 Reactions
0 Replies
285 Views
Mimi ni kijana mjasiriamali naombeni ushauri wenu nauza nguo za mtumba za watoto nikitembeza wapi naweza nikapata soko kirahisi nipo dar es salaam
3 Reactions
9 Replies
839 Views
Wadau nataka kufungua akaunti ya nmb bank kwaajili ya kutunza hela zangu je ni akaunti gani nzuri?
1 Reactions
18 Replies
12K Views
Habari wana Jamvi. Natumai mu wazima. Lengo la uzi huu ni kuomba kujua kwa mwenye uzoefu juu ya Biashara ya Ufuaji nguo na upigaji pasi (Laundry & Dry Cleaning Business). Ukiwa katika Jiji la Dar...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari Kiukweli tunatoka sehem mbali mbali tunakutana na watu mbali mbali.Naomba toa fursa kwa waTz wenzio biashara gan umesikia au unamjua mtu imemtajirisha cku za karibu hz
10 Reactions
81 Replies
5K Views
Habari zenu wananzengo. Mi sio mwandishi mzuri naomba tu mnivumilie ningependa kujua kama kuna mtu anafaham juu ya biashara ya kunenepesha ng'ombe na kuwauza. Naomba tushee utaalam ili nijue...
3 Reactions
80 Replies
50K Views
Wakuu habari za Wakati huu Wale wa kwetu jamakanza. Moja Kwa Moja kwenye mada naiamini sana company ya Silverland Tanzania kwa uzalishaji wa vifaranga bora wa Sasso na nimekuwa nikilipia na...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Hello Natumaini mnaendelea vyema na harakati za kutafuta maisha nimeona leo niwaibie siri jinsi hii biashara ya sandals na viatu inaweza kukutajirisha kwa haraka. Historia Mimi kwa majina ya...
21 Reactions
252 Replies
88K Views
Kwa wale wote wanao hitaji fremu Kariakoo karibuni sana. Hakuna kulipia kilemba wala ujanja ujanja mwingine hivyo msijali kabisa kabisa. MFANO Hii ipo mtaa wa msimbazi/muhonda jirani na makao...
8 Reactions
90 Replies
4K Views
Habari zenu wana JamiiForums na wadau wa madini kwa ujumla, Naomba kufahamu ukweli kuhusu bei ya amethyst kwa hapa kwetu Tanzania (soko la ndani) kwa zile zilizo safi ,rangi omekolea na ukubwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu Wanajamii; Tafadhaki naomba msaada wenu wa kujua jinsi ya kufungua shirika lisilo la kiserikali au kituo cha kusaidia jamii ijulikanayo kama "NGO, Trust Fund au Foundation". Ningependa...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Kama una kipato kiasi, na una ndoto ya kuja kumiliki kiwanda cha ukubwa wowote lakini hujui pa kuanzia; Jaribu kutembelea mitandao mbalimbali inayouza mashine, unaweza kuanza na alibaba na...
7 Reactions
29 Replies
5K Views
Nimeleta huu uzi ili tupate kidogo maarifa na tunaweza kusaidiana kimawazo Mimi ni mzaliwa wa kanda ya ziwa huko ila nimebahatika kusoma chuo Dar moja ya chuo maarufu mjini Dar n hata baada ya...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Habari zenu jamani? Nauza korosho nina kilo 20 wapi naweza nikapata soko? Naombeni mwenye connection anipe, nipo DSM 0742548727 nicheki Whatsapp
1 Reactions
3 Replies
462 Views
Hizi ndo hints; 1. Wengi wao wanahali mbaya 2. Wengi wao hawana ela 3. Wengi wao huwa wanahisi wanataka kuibiwa muda wote ingawa hawana cha kuibiwa 4. Wengi wao ni walalamishi. 5. Wengi wao mpaka...
1 Reactions
3 Replies
508 Views
Habari, Kwa wale wadau wanaojihusisha na biashara ya madini leo nina jambo hapa nahitaji tuliangalie. Kumekuwa na uhaba au kutokuwa wazi kwa biashara hii ya madini na vito vya thamani mpaka...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilikua nina biashara ya uwakala na Kaduka kadogo ka vyakula hapa mtaani na nilikua napata Riziki ya kulisha watoto na kulipa kodi si haba, basi kuna watu wawili wakafungua biashara kama yangu kwa...
17 Reactions
28 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…