Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations)...
1 Reactions
2 Replies
449 Views
Wafanyabiashara wengi Tanzania kukuta wamebandika bei ili kuondoa usumbufu hawapendi. Na kitendo cha kuuliza tu bei hapo unatengenezewa bei nyingine kwa vile na wewe mnunuzi unapenda punguzo.
3 Reactions
5 Replies
367 Views
Habari za muda huu wapendwa, Nalipanda jukwaa la JamiiForums kwa kutaka kunena na wafanyabiashara wa hardware, kama kichwa kinavyosema hapo. Ninatoa huduma za kuagiza cement aina ya Bamburi na...
1 Reactions
15 Replies
817 Views
Habari za leo wadau wote wa Jamii Forum Duka letu maarufu kwa biashara ya vitenge lililoko soko kuu kasulu mjini, kigoma, Tanzania Tuna furaha kuwatangazia kuwa tunazo aina zote za vitenge...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajamvi nataka kufungua biashara eneo la wazi biashara itahusisha chips,mihogo yakukaanga,nyama choma,supu nk nafikiria kununua projector itakayo nipa nch 100 ama zaid iwe moja ya kivutio...
3 Reactions
10 Replies
878 Views
Eneo lina ukubwa wa 1200 Sq Meter Huduma zote muhimu zipo, ni jirani kabisa na stand ya SGR DODOMA. Eneo ni la kwangu binafsi, sio dalali. 15,000,000 (Milion kumi na tano), maongezi yapo...
3 Reactions
13 Replies
771 Views
Likizo inayokuja nataka kufanya kitu tofauti kwa watoto wangu. Pamoja na kujisomea nyumbani ila nitaweka nguvu kuwafundisha biashara kwa vitendo. Nataka niwafungulie biashara ya kufanya kila mtu...
14 Reactions
40 Replies
6K Views
Well, Habari wakuu, Nina kijiwe changu cha kuuza movies zilizotafsiriwa kiswahili na ma DJ wa bongo. Sasa na struggle sana kupata movies aisee. Kuna mwamba ananiuziaga ila ananiuzia ghali sana...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Karibu Tunapatikana Ilala Amana Karibia na Hospital Ya amana. Wakazi wa dsm tunaweza kukufata wa mikoani unatuma kwetu. Malipo Baada ya Kazi. 0715331233 Piga au sms au whatsapp
2 Reactions
5 Replies
596 Views
Habari zenu ndigu.zangu Kuna yoyote anaefahamu iwapo kuna chimbo la hawa wachina ambao wanauza mabalo ya mitumba kwa jumla ukiachana na wamatumbi wenzetu ilala?
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Niongee na graduates: ni biashara bora na rahisi ambayo unaweza ukafanya online 2025. Hii ni fursa ambayo unaweza kufanya kwa mtaji mdogo sana. Gharama pekee utakayoweka ni muda wako. Kwanza...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hizi sehemu mbili mazoea na urafiki ziogopeni sana na ndio zina haribu biashara za walio wengi. Biashara ikishakwenda kwenye mazoea wengi hawa badiliki wanaona poa tu na mwisho wa siku ujikuta...
3 Reactions
2 Replies
403 Views
Ndugu wa tz habari zenu, Leo naomba mnisaidie mawazo na nyie km nipo sawa au na mm nakosea, Kaka angu alieniachia kuzaliwa ni muajiriwa serikalini sekta ya afya, Aliniomba ushauri kua anataka...
4 Reactions
3 Replies
478 Views
1/ 📢 KWA WAMILIKI WA MAKAMPUNI YOTE TANZANIA! BRELA imetoa tamko rasmi kuwa kampuni zote zinapaswa kuwasilisha taarifa za umiliki wa mwisho wa faida katika kampuni (Beneficial Ownership...
2 Reactions
5 Replies
856 Views
Salaam ndugu zangu. Nawatafuta jamaa wanaosafirisha bidhaa za shambani, hassan viazi mviringo kwenda nchini Comoros, kwa anayejua naomba anipe information zao. Ninatanguliza shukran.
4 Reactions
1 Replies
229 Views
Wasalaam! Tumsifu Yesu Kristu Asalaaam Aleykum... Sina mengi, natafuta dalali mwenye konekshen kubwa na matajiri haswa wanaopenda kuwekeza ama wenye USHAWISHI mkubwa kwa matajiri hao katika...
4 Reactions
12 Replies
466 Views
Soko limekaa vipi kwa jiji la Dar? Mabonge ya barafu kwa wauza maji wauza samaki n.k. Kuna jamaa anataka kufunga machine za kufyatulia barafu.
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Habarini wana JF poleni na majukumu ya kila siku. Moja kwa moja ningependa kwenda kwenye maada kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mwenye familia ya mke na mtoto mmoja...
8 Reactions
67 Replies
3K Views
Kampuni ya TUKUZA (Tuenzi na Kutunza Rasilimali Zetu Adimu), inahusika na uchakataji na usambazaji wa bidhaa mbalimbali za chakula, vipodozi asili, na kuendesha MAFUNZO mbalimbali. Kampuni...
2 Reactions
4 Replies
844 Views
Wakuu je ile hela Tshs 55000 nayotoa ili nipate ACH account. naweza kui withdraw nikitaka kutowa Salio.
0 Reactions
0 Replies
191 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…