Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wadau! Ni biashara gani ya bidhaa au huduma ambayo unaweza kuanzisha kwa Kiasi cha Tsh 2,000,000/=? Naombeni mawazo, ushauri, mbinu na michango bunifu katika hili!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hawa jamaa wana website lakini contact us haifanyi kazi sijui hua hawaangalii hizi website zao ama designer wao ,hawa madeveloper ndio hawatufai katika jamii....hebu kwanza nipatieni hizo contact...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
EA’s oil and gas faces grim future as Uganda and Tullow lock horns over tax disputeBy In2EastAfrica Reporter As political leaders and experts gathered in Arusha, Tanzania, last week to confer...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
According to an Indian Guru (enlighten person), a businessman and an entrepreneur is the best president that will fit to solve economic problems of the poor in developing countries. Naunga mkono...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana wameshambulia mahoteli mawili ya Kitalii katika Mkoa Kaskazini Unguja, na kila wiki hoteli japo moja ya Kitalii inaingiliwa kwa silaha. jana waliteka watalii kwa kwenda na mwenye hoteli...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni kijana niliyehitimu masomo yangu mwaka 2011 katika ngazi ya shahada. Baada ya kutuma maombi ya kazi mwaka mzima pasipo mafanikio.. Nimetafakari sana juu ya kujiajiri mwenyewe! Binafsi...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
KATIKA PITA PITA HUKU NA KULE MTANDAONI, NIMEKUTANA NA HABARI KUCHALLENGE VITABU VYA HUYU MTU MASHUURI KWA KUHAMASISHA MAENDELEO YA MTU BINAFSI NA UHURU WA KIFEDHA (FINANCIAL FREEDOM). LENGO LANGU...
1 Reactions
25 Replies
7K Views
Wakuu nimeshindwa mahali pa kupata list ya mashine au aina ya Mashine za kilmo zenye msamaha wa Kodi endapo unaagiza kutoka Nje, lengo langu nilitaka kujua kama Mashine ya Vifaranga incubators imo...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Kutokana na fulsa zilizotakiwa watanzania waweze kusoma masuala ya gesi na mafuta lakini mpaka sasa nafasi hizi kwenye website ya wizara ya madini zimefungwa na wajanja wachache hili zisifunguke...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam wakuu. Nahitaji kuingia business venture na mtu yeyote kwenye trading. Order-ipo na guaranteed by 100%. Initial capital TZS 10M: Ninayo TZS 5M.na nahitaji mtu mwenye TZS 5M,atakayekuja wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari wanajf Awali ya yote ninaomba mkopo kwa mwanajf yeyote wa Tsh 1,200,000/= wenye riba kuanzia 15% kwani nina biashara yangu ambayo imesimama kwa kwa muda sasa nataka niifufue ili iendelee...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu, Nina mpango wa kuanzisha biashara ya M-Pesa na Tigo Pesa. Kutokana na ugumu wa kupata hizo till inakulazimu kutumia till zenye majina ya watu wengine. Naomba kujua kama kuna risk...
0 Reactions
14 Replies
14K Views
Nina wazo la biashara ambayo itahusisha kununua kuku, kuwachinja, kuhifadhi nyama ya kuku kwenye freezer na hatimaye kusambaza kwa walaji hasa wachoma chips, migahawani, mahotelini na sehemu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kampuni ya airtel imetuma msg hii kwa wateja wake, "Habari njema kutoka Airtel,kuanzia tarehe 10 Feb kifurushi cha 400MB kitakuwa 500MB kwa sh 3500 tu kitakachotumia kwa siku 10.Furahia kuperuzi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamiiforum! Nilikuwa Dar hivi karibuni nikakutuma na vigari vya mizigo vingi sana, hasa maeneo yetu ya Mbagala. Nami nikapata hamasa ya kumnunulia bi. mkubwa nikitegemea kuwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
am working for an industrial concern and i want to develop their industrial products help me to find the best way.:happy:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wasalaam naombeni uzoefu kidogo kama cif imeanzia usd 4300 kuna uwezekano wa kubagain nae mpaka ngapi?kama ni gari ya mwaka 97 (rav 4 ile ya zamani),cc 1980 mileage km 80000 mpaka inatembea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Milembe Insurance Company is recruiting Insurance agenciesfrom all Tanzania regions. Qualifications; Principal Officer should hold (a) Secondary EducationCertificate with at least five passes...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa wale wataalamu wa kodi, hivi mfanyakazi wa serikali mwenye mshahara wa daraja TGHS G, anaweza akasamehewa kodi kiasi gani kwa gari hii Lexus RX300 ya 2006 yenye cc 3000? NB: Misamaha ya kodi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna mtu anataka kuniuziya kiwanja maeneo ya pugu naomba kujuwa taratibu za kufuata nisijee kutapeliwa hatua ya kwanza hadi nilipe pesa nakaribisha ushauri wenu wakuu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…