Habari zenu. Kwa wenye uzoefu katika sekta ya madini, kwa mtu anayetaka kuanzisha mgodiwa saizi ya kati, ni madini ya aina gani hayana gharama kubwa kuchimba na processing?
Jamani mimi nafkiria kununua shamba ili nihamie Arusha nikaishi kama farmer/settler kule kama wale wa Zimbabwe au Kenya
Je kuna maoni gani? Maeneo gani? nafkiria kununua shamba la eka kama 500 au...
WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza, amebaini wizi katika zao la korosho mkoani Pwani unaofanywa na watendaji wa vyama vya ushirika na ngazi nyingine, ikiwamo wizara...
Hii sheria ma bank yameshindwa kuitafsiri na hata BOT wenyewe ukiuliza compliance department wanailezea sivyo inasema
....... any matured or expired outstanding loan should not be extended...
jamani naombeni ushauri kidogo nataka kuanzisha biashara ya kuku sasa ni kuku wapi wanafaida sana na wanalipa sana na kama unataka kuanza na kuku mia moja unatakiwa kuwa na mtaji wa kiasi gani?
Bandugu kuna hili tatizo la noti zetu mpya za shilingi 500, 1000 na 2000 kutokuwa durable, hili tatizo ni kubwa sana hasa kwenye maeneo yenye transactions nyingi. hizi noti zinachakaa mapema sana...
Wana jamvi,
Kuna mchezo nauona takribani mwezi mzima sasa kwenye hii mitandao ya simu, yani wamewaunganisha wateja wotekwa lazima kwenye huduma ya VOICE MAIL endapo utampigia mtu simu kama...
Jamani naombe msaada wenu kuhusu hili,mimi ni mfanya biashara ndogo ndogo,nina ofisini yangu nimeisajili tra na nina leseni ya biashara,nina huwezo wa kuingiza laki nne hadi sita kwa mwezi je ni...
Jamvini Oyee
Jamani msaada kidogo hivi mnaweza kuniambia Process za kuanzisha Construction company mpaka kupata license na kiasi gani inaweza kughalimu
Kwa kifupi kampuni yangu nataka Real estate...
Habari wanajamvi!
kupitia jukwaa hili nimeamua kuanza kufuga kuku wa mayai na kwa kuanzia nimeanza na vifaranga 250 naomba nipeni ushauri jinsi nilivyoanza kuwalisha hao vifaranga kama picha...
Juzi nimejiunga nikakuta kumbe zile dk 300 si kwa mitandao yote kama wanavyotangaza. Ukishajiunga unaambiwa dk150 ni tigo/tigo tu, na zilizobaki 150 ndo za mitandao mingine.
Hii ni kupotosha...
Wanajamvi samahani lakini naomba mnijuze. Eti kati ya mashirika hayo matatu lipi linaongoza kwa kulipa mshahara mnono kwa begginers na marupurupu mengine. Akhsanteni
Habari zenu wakuu,
baada ya mafanikio na ushirikiano mkubwa mliounyesha hapa jamvini juu ya kijana wenu, Leo ningependa kuja na swala jingine kidogo ambalo nataka niwashirikishe. Naitaji ushauri...
FAHAMU HAKI ZAKO KABLA YA KULIPA KODI TANGAZO CHAMA CHA WAFANYABIASHARA (TCCIA) KINAKUKARIBISHA KWENYE MKUTANO KUHUSU MATUMIZI YA MASHINE ZA KODI ZA KIELETRONIKI (EFD) NA MASUALA MBALIMBALI...
Tukiwa tunapiga cm kwenda kwa ndgu zetu waliko nchini Uganda wakipokea cm walikuwa hawachajiwi,ila sasa ngoma imebadilika makato alafu yanakuwa makubwa zaidi ya yule aliyepiga.Aliyepigiwa gharama...
Wasalaam wakuu!
Kama headline inavyojieleza hapo juu na hizo bahari ni za ukweli kabisa nanimafanikio ya safari ya Kinana na viongozi wengine wa ccm ndani ya Uchina.
Kaswahili kangu mie: Kwa...
Feasible Resources Limited is a Private company Limited with its headquarter in Mwanza and its branch office in Kibondo District in Kigoma Region. Currently the company is looking an agribusiness...