Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu nimeagiza zana fulani hivi za kijasiriamali toka nje ya nchi. Mzigo umeishaingia bandarini siku nyingi (hii wiki ya 2 sasa) ila sijafanikiwa kuutoa kwasababu ya vikwazo ninavyokumbana navyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Friday, August 30, 2013 The largest European oil producer, Royal Dutch Shell plc ("Shell") and the Revolutionary Government of Zanzibar have signed a Memorandum of Understanding (MoU) on...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
http://twitter.com/ Beach born co.Ltd"]http://facebook.com/ BeachbornCompanyLtd http://twitter.com/ Beach born co.Ltd[/URL]
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kampuni ya Fast Jet inategemea kuanza kuruka kutoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya kuanzia mwezi Novemba tarehe moja. Hii ina maanisha kuwa, Precision Air watakuwa kwenye kipindi kigumu zaidi kwani...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Wadau, habari zenu? Ni bank gani hapa Tz inaweza kumkopesha mtu kupitia salary yake ambayo inapitia bank nyingine ambako mtu ana mkopo? Mfano: Salary inapitia bank A Net salary ni 8M Loan...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya pitapita zangu katika mitandao ya wauza magari nimeambulia kuipenda hii gari Registration Year / Month1998/07Odometer111,120 kmDisplacement1,500...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi TRA wanawezaje kukadiria kodi kulingana na biashara yako? Utajuaje kam wanakuumiza sana au la? Na kama ni start-up, wataanzaje kunikata kodi na huku mapato yangu siyajui? Am waiting for...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nimeanza kufuga kwa mara ya kwanza kuku wa kienyeji! kwa kuanza nimenunua kuku 9 kati ya hao jogoo ni moja ambaye namwona bado ndama . nina siku ya tatu tangia nianze na leo nimeamka nimeona kuku...
8 Reactions
34 Replies
10K Views
Na Eliphace Marwa - MAELEZO SERIKALI kupitia Wakala wa Uchimbaji Visima na Ujenzi wa Mabwawa (DDCA) iko katika mpango wa kuchimba visima virefu 300 vya maji katika mwaka wa fedha wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
A PROMINENT international business and finance magazine, Euromoney has named the National Microfinance Bank PLC (NMB) "the Best Bank in Tanzania for 2013." A statement issued in Dar es Salaam...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Nimetapeliwa na hii kampuni kirahisi sana.Eti wanatoa mkopo ndani ya dak 45 jamani! Mbaya zaid watu wengi wanatapeliwa,huku na kurudishana nyuma,kampuni hii idhibitiwe mapema
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mi ni kijana umri miaka 23 nina aidia ya kufungua duka la vyakula rejareja maeneo ya Kigambon ila sina uzoefu na biashara na nikiazio kipi cha mkwanja wa kuazia hadi sasa nina 60,0000. NAOMBA...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Ndugu wadau na wanajamvi. Hii imekaaje? Sheria ya fedha ya mwaka 2013 ina kipengele cha Excise Duty. Baadhi yetu tumetaarifiwa kuwa kuanzia sasa benki zitakuwa zinakusanya 0.15% kama Excise duty...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa Tanzania imepokea msaada wa Sh. bilioni 101 kwa ajili ya kuboresha miradi ya msingi katika mpango wa Millenia wa kukuza na kupunguza umaskini (Mkukuta)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu natumia htc hd7 ni window phone ila toka juzi jumamosi inanisumbua inazima na nikiwasha haiwaki yote mean inaishia tu kwenye htc halafu haiwaki yote.nikajua labda imezidiwa na mzigo maake ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
According to jaji bomani kampuni kubwa ya madini ya barrick gold inadai aijawai pata faida toka ianze kufanya shughuri za kuchimba madini apa Tanzania na ivyo aijawai kulipa corporate...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Kwa wale wazoefu, naomba msaada wa kujua yafuatayo ili kunisaidia katika nikusudiayo kuyatekeleza. 1. Ni benki gani nzuri Tanzania kwa huduma za kampuni binafsi, kwa huduma za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Maoni Binafsi: Wengi hawajui kinachowasubiri mbeleni. Wangejua leo, Dar ingekuwa makazi rasmi na ngome ya upinzani. Sijui kama ni vema kuwaacha waendelee kutojua mpaka pale watakapojua kwa ghalama...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau wapenzi Naomba kusaidiwa juu ya hii kampuni ambayo imetangazwa leo mchana na kua inahusika na mikopo isiyo kua na riba. SOCIAL CREDIT COMPANY
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…