NAOMBA KUJUA GHARAMA ZA USAJILI WA KAMPUNI IKIWA: jina limekubaliwa brela, Memorandum na article of ass. tayari. Naambiwa hizo documents zipitiwe na kusainiwa na mwanasheria, then stampduty, then...
kipato changu kwa shughul mbalimbali sh.800,000 kwa mwezi, mapato kutoka PERFECT APPLICATION au PERFECT INTERNET sh.5,000,000/ kwa mwezi, na inategemea bidii katika kufuata maelekezo, inaweza kuwa...
Habari wadau
Kwa mwenye ufaham na haya magari je yanawezekanika kwa mazingira yetu? spea zinapatikana? Gari kama
2​0​0​4​ ​A​l​f​a​...
Ngorongoro Crater the Largest Volcanic Caldera in the world has many things attractive besides that. You can enjoy the view of the Big Five and 400 Species of Birds plus Black rhinos which form a...
Nataka kununua photocopy machine ambayo itadumu na haitanipa shida
sijawahi kutumia na sijui nzuri ni ipi
ila ninahitaji medium size maana sina hela ya zile kubwa ninazoziona kwenye biashara za...
kwa muda mrefu nimekuwa na shauku ya kufanya biashara, hapa nilipo nina mtaji wa milioni moja. kila nikifikiria biashara gani nifanye nashindwa. naombeni ushauri kwa pesa hii nifanye biashara gani...
Kiwanda kipya cha cement jaman chapa RHINO kimefunguliwa huku mkuranga kijij cha kisemvule,,kinazalisha cement bora yenye viwango vya kimataifa.ila bado maeneo yanyozunguka kiwanda...
Naomba msaada wa kuelewa sheria ya nchi inasemaje kuhusu utaratibu wa kuhamisha hisa za kampuni "incorporate under the companies ordinance (Cap. 212). Kampuni ni Ltd.Naomba msiniambie ulizia...
Kampuni ya Mabasi ya SUMRY iliyotamba miaka ya hivi karibuni baada ya Mheshimiwa kuteuliwa kuwa Kiranja Mkuu sasa yapo hoi baada ya KIRANJA MKUU kutoa hisa zake huko sasa kampuni inapumulia...
Lake Natron is the only breeding ground in East Africa for 2.5 million Lesser Flamingo. The lake is a safe breeding location because its caustic environment is a barrier against predators trying...
Habari wanaJF,
Tafadhali mwenye kuweza kunipa mwongozo wa namna ya kupata used engine katika excellent condition anijuze.
Kwa sasa mwenye taarifa zozote naomba aniPM
Shukrani nyingi...
Grand Inga Hydroelectric Project: An OverviewSchematic of the Grand Inga
The Grand Inga is the worlds largest proposed hydropower scheme. It is the centerpiece of a grand vision to develop a...
Dar es Salaam.Tanzanias reluctance to speedily reform its business environment may cost the country dearly as global reports respected by investors now rank East Africas second largest...
KWA UFUPI
Kwa kauli kama hizi, nachelea kusema kuwa viongozi hawaonyeshi ushirikiano wa kutosha kwa wazawa na badala yake wanawakatisha tamaa.
Ama kwa hakika neema ya kipekee imetufikia...
Mimi ni mtumiaji wa huduma hiyo..Jana mida ya saa 12jioni nilitumia huduma hiyo kuhamisha pesa kutoka account ya Bank kwenda M pesa, pesa bank ilihama, cha ajabu kwenye M pesa account haijafika...
Wadau mimi mshahara wagu total ni 650,000 ukiondoa makto take home ni 540,000.naitaji kampuni yetu ipitishie mishahara yetu benki ya crdb au kcb ili turuhusiwe kuchukua mikopo, hivyo naomba mwenye...
Habari wana jamvi. Naomba mwenye taarifa anijuze Fastjet wanatumia ndege aina gani kwasafari za Africa Kusini? Bei zao ziko poa sana kama wanatumia ndege zakueleweka ntafanya biashara nao...