Limekuwa ni tatizo sugu hususan kwa taasisi za serikali kuita wasaka ajira masikini kutoka maeneo mbalimbali ya nchi bila kuzingatia haki za binadamu kwa kuwalipa gharama za usafiri, malazi na...
Habari ndugu zangu wa JF nimekuja tena hapa kwenye safu hii kuwakumbusha kwamba viwanja bado ninavyo na bei zetu bado ziko chini kulingana na mahitaji yako. Viwanja 20* 25 bei ml 4 kilomita toka...
Mwanza.Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele amewataka wachimbaji wadogo kutumia vizuri fursa iliyotolewa na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kukopa mitaji ili kununua mitambo...
Wanabodi,
Ingetrex Tanzania, 2014, ni fursa za kushiriki biashara za kimataifa kwa bidhaa na huduma ambapo sasa kwa mara ya kwanza, fursa hii, imeletwa Tanzania ambapo itaanza kwa maonyesho ya...
KIWANJA CHENYE HATI KINAUZWA...., kina ukubwa wa sq. 1,113 kipo Longido mjini karibu na H/Wilaya ya Longido-ARUSHA kipo mita chache sana kutoka barabara ya Arusha Namanga, Kimepimwa na Kina Hati...
Salaam wana Jamvi,
Katika hali ya kushangaza, picha hapo chini ni kitasa chamlango wangu nilionunua wiki 2 zilizopita. Kariakoo, risiti ninazo (TZS 100@230,000=2.3million). Cha kushangaza ni...
Habari Wanajamvi,
Tunapenda kuwataarifu wote wenye mahitaji ya uchunguzi hasa kwenye makampuni binafsi kama mabenki, NGO, Logistics,Clearing, na mengineyo ambapo wizi(Fraud) inaweza kutokea kuwa...
Kumekuwepo na ongezeko la bei ya vyumba vya kupangisha kila mara, wamiliki wa majumba wamekuwa wakipandisha kodi kila mwaka jinsi wanavyopenda wao maana hakuna sheria yeyote inayowabana. Mfano...
Wana jamii nataka nijikite kwenye uagizaji wa dawa baridi kutoka nchi mbalimbali je mtu wa kawaida anaruhusiwa kuagiza dawa baridi kutoka nje na kuna process zipi za kuingiza dawa?na vipi kuhusu...
Habari za kazi wakuu. Kumekuwa na mtiririko mkubwa sana wa Watanzania kuelekea Msumbiji, wanasema oportunities ziko nyingi kule, binafsi nimevutiwa sana lakini sijapata kuzungumza na Watanzania...
Kuna gari aina ya VITZ nataka kuinunua kutoka Japan wiki hii.
Engine capacity-1000cc
Year/Month-2001/03
CIF U$1,900
Kwa anayejua gharama za pale bandarini pamoja na registration ya gari na...
mwenye kujua kanuni ya kukokotoa mkopo wa nmb na benk nyingine naomba aitupie hapa
mfano take home ya 950000 anaweza kukopa maximum kiasigani? au akikopa 15m atalipa kiasi gani kwa 5yr
Ni taarifa kwa wanfanya biashara za Tigo Pesa, M-Pesa na Airtel Money kuwa kuna vijana wanaotengeza mifumo ya wizi kwa mfano wanakuja kutoa pesa katika simu ya wakala inaingia sms yakuonyesaha...
Habari waungwana ! Ningependa niijue kwa undani biashara hii kwani huku niliko kuna uwezekano wa kuvipata kutoka kongo na wenyeji wa kigoma wa mji wa kihistoria wa ujiji wanavyo vingi...