Habari wana Jamii Forums,.
Kwa wale ndugu zetu mliopata wasaa wa kufika katika viwanja vya Sabasaba kwa ajili ya maonyesho tunaomba mtujuze japo kwa uchache kuna jambo gani Jipya limejiri pande...
Nataka kuanzisha shule ya Chekechea ambayo itakuwa darasa 1 la watoto wasiozidi 40! nahitaji kama shilingi ngapi kuanza hii project? na usajili ni lazima? process yake ikoje?
Tangu Haruna Masebu astaafu bei elekezi ya mafuta ya petroli zimekuwa zikipanda kila mwezi licha ya bei ya mafuta kwenye msoko ya dunia kushuka.
Je, hii ina maana kwamba waliobaki wanafahamu tu...
Habari Za Mchana Wana Jamvi,
Kwa Kifupi Tu Mimi Ni Mkazi Wa Mbezi-Msuguri, Miez 3 Imepita Toka Nilipoamua Kufunga Ofisi Yangu Ya Biashara Ya Uwakala (M-pesa na Tigo pesa).
Kilichonisababisha...
Nauza pia natafuta uzabun wa ku supply sembe safi kabisa kwenye mashule na mashirika mbali mbali na watu binafsi pia,unga ni mzuri na umesagwa kwa mashne za kisasa kabisa.npo songea karbu na...
Wadau. Mtapenda kufahamu kuwa SHIVACOM na ALPHATEL ni wakala wa VODACOM kwa kuchapisha na kusambaza vocha na bidhaa za simu za viganjani. Wamiliki wa SHIVACOM na ALPHATEL ndio waasisi wa dili ya...
Gazeti moja leo limemnukuu gavana wa benki kuu [BOT] Beno Ndullu akisema kuwa kwavile mabenki ya biashara ndio yanayoshuhulika na upelekaji wa fedha nje ya nchi, benki kuu haina uwezo wa kuzuia...
Kwa hiyo milioni 1.5 naweza kufungua kisaloon cha kawaida au ninunue bodaboda naombeni ushauri wenu wanajamii kipi ni bora zaidi kukifanya maana hela nyenyewe ndio hiyo hiyo naitegemea initoe.
Anaejua umuhim wa kujiajiri leo, amechelewa,
Pamoja na bei ya bidhaa, jana na leo kuonyesha things are serious, na kuwa juu kuanzia maji na kila kitu, achilia mbali simu ya mkononi, mshahara...
Niliwahi kuuliza na hata baadhi ya uzi juu ya hili suala.
Ningeomba Mods waweke wazi bei ya matangazo kwenye hii Forum.
Humu wapo wajasiriamali wa aina mbali mbali na wengi wachanga,sasa...
Bithaa mpya toka USA iitwayo XTREME FUEL TREATMENT ni bidhaa itumikayo kwenye vyombo vyote vitumiavyo petrol au diesel kama GARI,PIKIPIKI,GENERATOR,BOAT,TRENI,MITAMBO YA MIGODINI N.K.
Bidha hi...
If u agree, it is a rising diaper market in Tanzania, isn't it? But it is quite underdeveloped. Chances are coming, no doubt!
1. Update YOU on fresh information and latest market trend as we...
Mimi ni mjasiriamali nahitaji kufungua fixed account ila sijui faida yake hivyo mwenye uelewa zaidi anijuze:
pia ni benki gani yenye faida kubwa?
pato langu kwa mwezi laki 1,
Wadau nina uwezo wa kupata Zabibu za kutosha tu kutoka Dodoma ila sijapata acces ya soko lake either kwa Dar au mkoa wowote, kwahyo km kuna mdau yeyote ana acces ya soko anicheki tufanye mchakato...
Ama kweli elimu ya darasani nitofauti ma elimu ya kitaa.
Nmesoma ktk maisha ya chini sana ukijumlisha kiasi cha ada toka primary mpaka form six hakifiki laki sita; wakati leo mtoto wa kindergaten...
Kuna Sintofahamu kubwa kwa maofisa wa TRA juu ya uchakavu wa magari kuwa miaka kumi kama Bunge lilivyoridhia tarehe 28/6/2014 au kuwa miaka nane kama ilivyopendekezwa na waziri wa fedha na...
Salaam wanajamii
naombeni msaada wa kunichambulia magari kama fuel,durability,handle and spare.
Nissan march & suzuki swift all 2005.
Nmetokea kuvipenda...