Kwa wenye mahitaji ya kusajili kampuni,kuandaa katiba ya kikundi,busness plan ,
- Kwa wanaohitaji msaada wa jinsi ya kusajili kampuni,kuandaa katiba,admission vyuo vya nje ya nchi
- Je...
Yan kwa jinsi ninavokujua wewe apo, ukipewa laki5 500,000 sahiv utaifanyia nin? utafungua biashara gan mda huu?
weng uwa tunamalengo lakin ukizkamataa tu yanaanza mambo ya bata ndefu hatari...
Wanajf, nawasalimia nyote kwa upendo wa hali ya juu.
Ninaulizia, ni maduka gani ya hardware ambayo yana utaratibu wa kukopesha vifaa vya ujenzi kama vile mabati, sementi, gypsum, nondo, tiles...
Nimekusanya mzigo mkubwa wa karatasi zilizotumika ambazo ni maboksi na karatasi za ofisini tani kadhaa. Je ni wapi naweza kuuza mzigo huu na bei yake ikoje?
Heres the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
EURUSD is now a volatile pair, characterized by serious struggles between bear and bull in the context of a downtrend. The...
Kampuni ya Ursus ya Poland imesema ina mkakati wa kujenga kiwanda cha kutengeneza matrekta Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya Suma JKT.
Rais wa Bodi ya Ursus, Karol Zarajczyk alisema hayo...
Je, unahitaji kufanya research ya Gender? Basio wasiliana nami niweze kukufundisha Gender Analysis Tools itakayo kuwezesha kujifunza jinsi ya kufanya research yako. Nimesomea University of Ghana...
A curio and gift shop is up for sale as a going concern. It is inside a Five Star hotel in the city of Arusha. A flourishing tour company is an ideal investor in this business. USD 60,000...
Samahani kwa usumbufu ndugu zangu naomba kupata ushauri kwa hili jambo
Naomba kupata namna ya kupata wahusika au kama Kuna mtu alishenda kutalii bagamoyo maeneo yote au baadhi anipe utaratibu wa...
The point [is] that a trader has to master their psychology to allow him or her to take many small losses, trade through drawdowns, and let winners run beyond expectations. - Markham Gross...
Juzi bhana kuingia Uchumi Supermarket ya pale Quality Center, nimenunua mavitu kedekede, aii kufikia pa kulipa si naambiwa natakiwa nilipie mifuko! Kulipia sio tatizo ila mtoe minembo yenu..:A S...
Huwa najiuliza haya majina mengine yalitokea wapi? Mfano Bodaboda nadhani lilitokea nchi kama Uganda kuwakilisha vyombo vya usafiri wa Pikipiki.
Sasa enzi zetu kulikuwa na Pikipiki-baiskeli...
I need Accounting & Financial Audit services for a very small start up business in it's first year of operation. Intrested CPAs in public practice or audit clerks/officers working with practicing...
Wadau,
Nina rafiki yangu yupo London anahitaji kuagiziwa bidhaa za vinyago kwaajili ya biashara, hivyo kabla sijaenda kununua kwaajili ya kumtumia ningependa kufahamu gharama za kutuma mzigo...
GOLD (XAUUSD)
Dominant Bias: Bearish
Gold fell by over 8000 points last month, testing the support level at 1084.90 before experiencing a pause in the bearish momentum. Price dived significantly...
Kwa yeyote anayetaka kuwekeza katika chuo chenye maono makubwa kina tarajiwa kufunguliwa Arusha kwa ubia awasiliane nami kwa message.
Mchanganuo uko tayari kwa kuanza kazi ufadhili utatolewa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.