Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari zenu wapendwa wangu. Naombeni kujua ni wine gani naweza kutumia na zisilete ongezeko la uzito ktk mwil wangu?kama ambavyo bia zinasababsha? Nawatakia usiku mwema
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Jamani nina maumivu makali sana ya jino sijui hospitali nzuri ni ipi mara ya mwisho nilienda tmj ila sikuridhishwa na huduma zao ni jino la juu msaada tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwaka 2003 gego langu la mwishoni juu kushoto lilianza kutoboka taratibu na kuuma. Mpaka 2008 likawa limetoboka kabisa na kuanza maumivu makali.Watu kadhaa wamenishauri nisiling'oe eti laweza...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwenu wanajamvi; Nimekuwa nasumbuliwa na PERIPHERAL NEUROPATHY na huu ni mwaka sasa toka nianze kutumia dawa aina ya NEUROTON pamoja na PHYSIOTHERAPY(mazoezi) pale BUGANDO M.C Nashukuru...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Namshukuru Mungu amenijalia watoto na nikaona kuwa inatosha na kuamua kufunga kizazi. Tatizo kadri siku zinavyoenda napoteza nami ya tendo la ndoa pia nakuwa na stress bila sababu. Je yaweza kuwa...
0 Reactions
15 Replies
14K Views
Habari wanaJF,naomba ushauri wenu! Rafiki yangu ana miaka 30,ndoa yake ina miaka 6 bila mtoto,hajawahi kuzaa wala kutoa mimba. Mzunguko wa siku zake hauko sawa,kuna wakati anawahi kuona siku zake...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Mimi ni kijana nilie ndani ya ndoa takriban mwaka mmoja sasa. Mungu amejaalia Mkewangu ana Ujauzito (mimba) wa miezi miwili, lakini mwenyewe nimeshindwa kuushinda moyo wangu hivyo kila mara...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Jaman wazima nyote me mgeni kbs humu ila naamini ntapata msaada. mama yangu mdogo anasumbuliwa na uvimbe jwa mda sasa ameshauriwa na hospital ya rufaa aende akapime kansa sasa kuna mtu ambaye ni...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
ivi jamani kwa kutumia ivi vipimo vya mimba ambavyo ni common kwenye maduka meng ya madawa je unaweza kuitambua mimba ya wiki tatu
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana jamvi habari za mchana. Wandugu uwanawaheshmu sana kwa ushauri mnaotoa. Kwani nimekwisha nufaika na ushauri wenu. Leo ninajambo ambalo naliona kama si lakawaida kwa mke wangu. Jambo lenyewe...
1 Reactions
32 Replies
7K Views
Naombeni ushauri wa kitaalamu nina shida moja kuwa kila nikifanya mapenzi naharibu ratiba yangu ya kwenda haja kubwa tatizo ambalo lina nipa shida sana kwani ratiba yangu ya kwenda haja kubwa ni...
2 Reactions
72 Replies
7K Views
shalom!! Assalam aleikum! binafsi nimeshidwa kuelewa mzunguko wa siku zangu, kwa miezi 3 hii naombeni wataalam mnisaidie kwa kua kuuliza si ujinga. mwezi wa nane niliona cku zangu tar...
0 Reactions
49 Replies
18K Views
Habari zenu wana jf, mimi nina tatizo moja ambalo naona linataka kuwa addictive kwangu.. mimi kila inapofika mida fulani ya mchana hasa kuanzia saa 8 ama 10, lazima nishikwe na usingizi na macho...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF Nomba msaada rafiki yangu anatatizo la kubadilika mpangilio wa hedhi,mwezi wa nane alikuwa na mzunguko wa siku 27, mwezi wa tisa siku 26, mwezi wa kumi siku24 na period...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nipo natizama star tv, mtu ananadi dawa inaitwa LIFE, intaibu magonjwa lukuki... wakiwemo watu wa "mwezi mchanga"! Hii dawa hainatofauti na kina NGETWA, NGOKA, KIKOMBE CHA BABU nk Watanzania...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu salama ? nimekuwa nikitumia red bull taratibu hasa asubuhi ninapo amka tu kwa kuchanganya na maji baridi kiasi cha lita moja na nusu(jagi moja la mezani) + red bull 1, pol pole hatimaye...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
nisaidieni mwenzenu nina fungus za miguu zinanitesa sana siwez kutoka na kufanya shuhuli zangu nimemeza dawa za antibiotics na kuweka powder lakini wapi ......?mpaka imeniletea mtoki nahisi homa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujua kama huu ugonjwa una tiba au la, kuna ndugu yangu anaumwa hivyo nahitaji kujua tiba yake.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Back
Top Bottom