Kulala nyakati za mchana ama jioni... Je kuna matatizo yoyote kiafya? Inaweza zuilika hii kweli?

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
19,743
10,069
Habari zenu wana jf,

mimi nina tatizo moja ambalo naona linataka kuwa addictive kwangu..

mimi kila inapofika mida fulani ya mchana hasa kuanzia saa 8 ama 10, lazima nishikwe na usingizi na macho kuwa mazito sana hivyo kunilazimu kulala angalau masaa mawili mpaka matatu.

si kwamba nafanya kazi nzito sana mchana ama nina shifti za usiku, hapana, kuanzia asubuhi mpaka saa nane hivi huwa nina route za kuingia na kutoka madarasani tu na usiku nalala saa nne ama saa tano.

je, kuna madhara yoyote kutokana na katatizo haka ka kulala mida ya mchana ama jioni?

please naombeni njia mbadala ya kuondoa hili tatizo la kulala mchana.

all the best.... 0766924165
 
pole sana.kaka kiafya haitakiwi,maanayake ni hakuna balance ya energy kwenye mwili wako.cha kufanya punguza kiasi cha chakura na usiku usile wanga mwingi (matunda na mboga za majani kwa wingi) ,
 
Back
Top Bottom