JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna wakati nilitaka nibadilishe Id baada Ya baadhi ya wana JF kudai id yangu ni ya kike! Ila kabla sijachukua uamuzi huo nikajiuliza... Kama ni kweli, mbona basi sijawahi kufatwa PM na kidume...
4 Reactions
48 Replies
3K Views
*When you see a poor African man eating chicken it is either he is sick or the chicken was...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Boss asks Mutuku, Mutuku how do you get it right for 30 years of bringing me coffee every morning without spilling it? Mutuku's answer, before I climb up the stairs I take a big sip. As I get...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
jamani kuna yeyote humu amemaliza kidato cha nne katika shule ya sekondari kibaha iliyopo pwani mwaka 2003? nicheki pm tafadhali!!!
0 Reactions
3 Replies
979 Views
kuna yeyote humu yuko mogadishu?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Aloo hakuna wakati mgumu kama kupita kwenye barrier ya polisi wakati umebeba illegal materials like some kgs za mmea,sembe,banned drinks, pembe na ngozi za wanyama ambao ni nyara nk. Aloo hapo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
I came home from work. Was tired. Sat down on the sofa. Put my feet up. Wife brought me a glass of water. Son gave me a sheet of paper [emoji405] English Lang. 17% Biology 35%...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi unadhani upi ni mtandao bora kwa matumizi Na ambao hukupa raha ya kuenjoy maisha! Kwa Mimi huwanikiwa natumia voda napata raha mustarehe kabisa! Tuambie chaguo lako!
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Wanawake <mademu> wa jf bana [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji28] [emoji28] [emoji28] ("mangi embu nipe bapa nishushie kwanza") hizi ni badhi ya threads zilizoniacha na kicheko cha...
7 Reactions
195 Replies
16K Views
Wakuu habari zenu wote kiumjula, bila ya kupoteza muda. Rejea kichwa cha habari hapo juu kinavyosema, nakumbuka mwaka huu mwezi wa 7, nilienda wilayani liwale mkoa wa lindi. Sasa wakati huo nina...
1 Reactions
71 Replies
6K Views
Kuna mambo ambayo kwa harakaharaka kwa akili ya kibinadamu ukijiuliza unakosa majibu!. Ukijaribu kuzunguka almost dunia nzima utagundua kuwa hii falsafa ni pana na bila shaka ina maana pana zaidi...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hachezi shaolin temple wala kunyanyua sijui machuma mmh! Mwanaume wa kweli anakwenda zoo anafungua geti anamchapa simba makofi, halafu anasepa!
0 Reactions
13 Replies
977 Views
Goli la Emmanuel Anold Okwi linaondoa chunusi, harara, utango tango, linarudisha mke aliyepotea pia linaongeza hamu ya kula hata kama una msongo wa mawazo lkn bila kusahau linaweza kutumika ktk...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama heading inavyojieleza ni Ngumu sana kupata like au reply ya CEO wa Jf Ndugu Maxence melo kama Uzi wako hauna Fact Kama wewe umeshawahi kuipata tukutane hapa . ......!
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Nyuzi nyingi za JF huwa mwishoni zinaishia tukutane hapa...hasa jukwaa la elimu na chit chat Utasikia... Wale tuliowahi kupanda daladala..tukutane hapa Wale ambao hatulipi kodi..tukutane hapa...
0 Reactions
15 Replies
780 Views
Wakuu, Kila mtu ana maradhi yake hapa duniani, kiukweli na mimi maradhi yangu ni makinikia kama hizi, huwasipendelei makinikia makubwa.
3 Reactions
35 Replies
5K Views
Mimi naanza nyie fuatieni Kwanini tunaoana?
0 Reactions
55 Replies
3K Views
Kwanini asilimia kubwa ya jinsi ya kikee, kupendelea kuvaa pete kuliko wanaume?
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Mara yangu ya mwisho kupata PM ilikuwa 4 July, Wewe je?
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…