JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ujinga ni pale mke wako anapopost picha ya mchepuko Wa in Facebook na kuandika RIP. Na ww unatoa pole zako ukifikir anamaanisha Rest In Peace kumbe ni Relationship In Progress[emoji23] [emoji23]...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Poleni na majukumu jana bwana niko kazini akatokea rafiki yangu simu yake imeharibika akaniomba akasome yanayojiri jamii forum na huwa si log out mm sikuwa mchoyo basi alivyomaliza akanirejeshea...
3 Reactions
100 Replies
5K Views
Mdada alipata danga, danga hili lilimtatfutia chumba, likaweka furniture na kodi ya mwaka alilipa. Kwa kuogopa heshima take mjini meeting zote zilikuwa hotelini. Hakutaka shingo feni za nyumba ya...
2 Reactions
6 Replies
916 Views
*Did you know that veterinary doctors are the only people that eat their patients...?*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Medical doctors what are u waiting for?? [emoji39][emoji39]
1 Reactions
1 Replies
801 Views
ahsalamu kwenu wapendwa wa mtandao wetu pendwa jf,,,,,, katika kukaa na kufikiri nikapata wazo zuri na lenye tija kwa kila mtu humu ndani kama tuki litekeleza na kulifanyia kazi kwani lita...
2 Reactions
101 Replies
6K Views
Jana nilienda mlimani city, katika kufanya shopping, nilipomaliza wakati natoka nikaona kuna Restaurant, nikaagiza chakula wali kwa samaki "change"na juice ya ukwaju ila kosa nililofanya...
44 Reactions
143 Replies
15K Views
Hi jf, weekend yangu nipo hapa pub na mafrends zangu,nimekuta kuna kuku wa ukweli,je hapa arusha kuna sehem gani nyingine panakuku wa kienyeji wa kuchoma kama hapa big l?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu habari za muda huu, Kama ambavyo kichwa chajieleza,tupieni hapa maneno ya kinyume nyume tupate kufurahi. Mfano, ......mbona unaumwa unakonda nini? ......mapigo ya mbio yanaenda moyo
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Laiti ningepewa walau sekunde moja ningekuambia vile nakuhusudu toka nikujue hapa jf!!! Nitahitaji wino wa wingi wa bahari kukueleza mahaba yangu kwako! Unanijia ndotoni nilalapo niamkapo...
7 Reactions
247 Replies
11K Views
Licha ya hii kazi kua na ujira mdogo, Pia ina changamoto kubwa sana... Mimi pamoja na Elimu yangu ya chuo kikuu(science) nafanya kazi hii..
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni nini unafikiria, unapanga kufanya au kumiliki kwa wakati was baadae? Kwa kuanza, mm nafikiria/ Nina ndoto zifuatazo. @ before age of 26 yrs old -shamba/ mashamba jumla ya ekari zisizopungua...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mpendwa ******* MUSHI, HERI YA SIKU YA KUZALIWA. Vodacom imekupatia DK 2 voda-voda na 20MB za bure ufurahie SIKU YAKO YA KUZALIWA. Sipo katk promo....ila niwape heko vodacom kwa kujaribu kuwa...
0 Reactions
5 Replies
950 Views
1 Reactions
3 Replies
3K Views
*At least she's honest* [emoji485] *Man* offers a drink to a woman. *Woman*: No thanks, I don't take whisky. It's bad for my legs! *Man*: Legs? Thats strange!! Do they swell or hurt? *Woman*...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Mpendwa ******* MUSHI, HERI YA SIKU YA KUZALIWA. Vodacom imekupatia DK 2 voda-voda na 20MB za bure ufurahie SIKU YAKO YA KUZALIWA. Sipo katk promo....ila niwape heko vodacom kwa kujaribu kuwa...
0 Reactions
0 Replies
523 Views
Katika maisha watu huwa na wakati wana hamu ya kufuatilia habari fulani fulani za mtu ambazo ni za "gossip" Na gossip huwa inavuta watu hasa kuifuatilia. Ila kwa tathmini yangu nimebaini kuwa watu...
0 Reactions
5 Replies
971 Views
Nina ofa kwa wadada wenzangu wa JF, nina mzigo wa nywele originally nywele za peruvian hair na brazilian hairs. Mzigo uliobakia mpaka sasa grade 8a na 9a peruvian na brazilian. bei ni chee...
3 Reactions
66 Replies
5K Views
Okwi anakua kama mzee mwenye hadithi nzuri za kusisimua huchoki kukaa nae.
1 Reactions
4 Replies
717 Views
Jamani, naombeni orodha ya wana JF ambao wanadeka kupita kiasi. Yani wao ishu ndogo tu ya kuweza kuisolve offline lazima wailete huku kuomba msaada... Weka hapa majina yao tuwajue ili tuwadekeze...
2 Reactions
114 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu, Humu Jf kuna threads za kila aina kutoka majukwaa tofauti tofauti. Sio mbaya tukihabarishana kwa kutaja jina au link ya thread yako au thread ya member mwingine iliyokuvutia ili...
0 Reactions
54 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…