Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza , huu ni Uzi wetu maalum kabisa mapacha ( Twin's) tusambaziane upendo.
Lengo lingine ni kukukumbushana visa na matukio yaliyotukumba na yanayotukumba katika...
Mambozzz
.
Ivi ulishawahi kumchukia members yeyote wa jf. Kutokana na mijadala,mabishano yanayoendelea humu.mimi binafsi sijawahi mchukia members yoyote humu jf. Hata anikashifu vipi.
Ila.
Nimekuwa nikisoma post za Lara1 muda sasa. Nimegundua anauwezo mkubwa wa kupambanua mambo ingawa stori zake nyingi ni za mapenzi. Kibongo bongo anafaa kuwa Ophrah Winfrey.
Uzi huu ni maalumu kabisa kwa wale wenye msongo wa mawazo ambao njia zao za kuutoa ni kwa matusi au lugha yoyote ya kejeli.
Pitia sasa haya mambo matano upate kutoa stress a.k.a povu a.k.a...
Daaah aisee mimi nampenda sana huyu mwanamke Scarlett Johansson
Ni muigizaji wa filamu kama vile
Avengers 1&2
Avengers_Age of ultron.
Lucy etc.
Nakapenda sana haka kabibie hasa ile sauti yake ya...
Aisee nimeona sehemu moja celebrity kaiba maada iliyokua posted huku na mwana jf machachari Demiss cha mdeko na kuipost kwenye page yake as if ni yake bila ku acknowledge source.Hii si sawa kabisa...
Jumapili na iwe njema kwenu wakuu.
Unakuta mdada/mmama amekaa na shoga zake anawatambia kuwa mpenzi/mumewe ni mpole na hana mchepuko hata kidogo.........thubutuuu........ si ajabu hao anaowaambia...
Ifikie mahali tuheshiane jamani nimevumilia nimeshindwa nasema hivi mi kwa maoni yangu, na sijaribu kumponda mtu yoyote, baada ya kutafakari sana, na kupima uzito wa pande zote, ninachodhani, na...
Ni saa tano na nusu bado nimejilaza hapa kitandani.Naangaza kila pembe ya chumba changu lakini sioni mabadiliko yoyote chumbani.Moyo unanidunda dunda sana japo najua siumwi.
Mara ''ngo ngo...
Better late than never....
How does it matter whether you are 7 or 8, 17 or 18, 70 or 71? For all of us you're still as dumb and lovable as you always were! Just kidding. Wish you a very Happy...
Wana jf hebu tujikumbushe kidogo wale tuliopitia shule za msingi iringa mjini,binafsi nimesoma sabasaba primary sc nilianza mwaka 1991 namkumbuka sana mwl Danga alinifundisha kusoma na kuandika...