JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Unanipa siri zako halafu unaniambia nisimwambie mtu,kama kutunza siri rahisi kwanini usikae nazo mwenyewe? hizo ni lawama za bure kabisa!
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwa utafiti ulio fit wenye mantiki nimegundua kua, Wachangiaji wa JF wenye majina mawili wanasifa hizi, 1. Uwezo wa ni mdogo hasa katika uchangiaji 2. Wengi ni wageni/ wapya humu 3. Wanapenda...
4 Reactions
66 Replies
4K Views
Ni kwa Wale tunaomuheshimu Mungu na kumtii kile ambacho ametuagiza kwamba tusizini.Sisi mabikra wa kiume na wa kike tumeamua kusubiri mpaka kwenye ndoa ndo tuanze hako kamchezo tukutane hapa...
6 Reactions
239 Replies
14K Views
NIKWELI SISI SOTE WAKULIMA SHAMBA LA JILANI LIKIPENDEZA UWEZI SHINDWA KUTAZAMA NDIO UTARATIBU MZURI UJUE NI AINA IPI YA MBOLEA KATUMIA NAWAKATI MWINGINE UNAKODI NAWEWE KUJUA KAMA LIKO VIZURI
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika mechi za mwisho mwisho msimu uliopita, yanga walifungwa goli tena zaidi ya hili la Ajibu. Naona hawa jamaa wamejisahaulisha kabisaaaaa as if hakuna kilichowahi kuwatokea. Ningewaelewa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hawa ndo watu ninaowapenda na kuwazimikia. Eti mnakaa mnadanganyana kulike na kureply comment za wabebez ukienda PM watakuelewa ptuuuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]mnajidanganyaaa mxeeew...
38 Reactions
435 Replies
18K Views
ngoja kesho nikapime dna
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nakumbuka nilipoanza kutumia jamiiforum kama guest miaka mitano iliyopita nilikuwa nina mihemko sana. Basi bana vruu nikaingia jukwaa la mahusiano na kukutana na uzi wa dada mmoja anatafuta...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwenye top ten ya nchi zinazoongoza kuwa na condoms zenye urefu na ukubwa duniani, nchi ya Afrika kusini imetia fola duniani kwa kushika namba moja. Wanaofuatia hao kwenye jedwali... Usiniulize...
0 Reactions
14 Replies
16K Views
Most of us hapa tumepitia some form of formal education. So kama mada inavyosema somo gani lilikuwa rahisi kwako shuleni, iwe primary, secondary au chuo...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari zenu wadau nimelimis sana ili jukwa kama kawaida yangu huwa sina cha maana kwenye kuongea ndio mana nalipenda hili jukwaa..... Kwa Pamoja Halelujah...Bwana asifiwe.
0 Reactions
0 Replies
523 Views
Gololi ni mchezo wa watoto wa zamani ambao enzi hizo ulichezwa sana... Gololi kubwa sana iliitwa “Dungu” na Gololi mpya iliitwa “Kinyuli” Gololi iliyokuwa imemeguka iliitwa “Betri”. Shimo la...
10 Reactions
20 Replies
6K Views
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Hodi wana jf chit chat naomba nipokeeni mimi mgeni humu
4 Reactions
99 Replies
6K Views
Habari zenyu Wandugu. Uzi huu ni Maalum kwa kutakiana jumapili njema.Muwe na Jumapili njema wapendwa[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] .
18 Reactions
255 Replies
20K Views
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Shukrani za kipekee kwa Muumba wetu kwa kutuwezesha kuiona siku hii ya leo. Najua ni wengi walitamani kuiona lakini hawajafanikiwa. Nakukaribisha kwa moyo mkunjufu kwenye jamvi letu tujadiliane na...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Shirikisho la soka Tanzania,limetangaza rasmi kumfungia mchezaji wa yanga Ajibu mechi 3 kwa kukiuka maadili ya Tanzania baada ya kufunga goli ambalo haliendani na maadili ya...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wakuu Nipende kuwataarifuugu jamaa na marafiki though taarifa imechelewa Mnakaribishwa saana katika hii siku muhimu na yakihistoria maishani, ni miaka 10 sasa imetimia tangu nilivyoanza...
1 Reactions
3 Replies
809 Views
Back
Top Bottom