JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Enzi hizo ukikamatwa, Mwl anachukua hicho kibuti ana ki attach kwenye mtihani wako kisha hata kama dk hazijaisha unatolewa nnje Wangapi mpo makazini kwa msaada wa chabo a.k.a kibuti
0 Reactions
0 Replies
508 Views
nauliza uyu jamaa anaitwa invisible ndo nani? afu nami nataka kua invisible
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari JF.. Naomba msaada wenu ndugu zangu nataka kwenda South Africa kutafuta maisha, naomba kufahamu gharama mpaka kufika huko iwe kihalali au kwa njia za panya (hasa hasa hii). Nauli mpaka...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Jina la uzi juu lahusika Naombakurejeshewa uzi wangu wa "Maisha ya Ban yasikie tu"
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Habarini wana JF. Poleni na majukumu makubwa ya kujenga taifa, nina suala nataka niwasilishe kwenu japo ni suala la mtu binafsi. Neno langu siyo sheria hivyo sina maana kwamba nataka watu...
5 Reactions
312 Replies
14K Views
Tafadhari, kama kichwa kinavyosema. Nina kitabulisho cha taifa nilijiandikishia Dar ila kwa sasa nipo mkoani. Lakini nilipochukua niliangalia picha na majina juu juu na kuweka sahihi na kuondoka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Yaan sawa na kusema Jukwaa la MMU ni tawi la facebook. MMU members wanapenda sana mambo ya pampunchi!
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Kumbe bado nahitaji kozi ya miaka maana Jana usiku wa manane nilisikia kwa jirani miguno ya mahaba Mara mvunjiko wa chaga!! Kisha nikasikia baby panda tena dirishani fanya Kama unaidondokea!!!!!!
2 Reactions
9 Replies
3K Views
1-Kula hovyo barabarani. 2-Kujipulizia marashi . 3-Kubishana na wanawake. 4-Kukaa sehemu moja na wanawake wengi. 5-Kuvuta sigara barabarani na huu ni ulimbukeni. 6-Kulewa kijinga hadi ubebwe...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Ni wimbo gani ungependa dj aupige kwenye party hii
0 Reactions
3 Replies
744 Views
Natafta marafik wakuchat kupoteza mawazo ila wawe wakiume tu....haswa waliopo mwanza ili sometime tunakuwa tunatembeleana
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kuna misemo inasaambaa whatsappk kila siku, ikisisisitiza kuwa ni wise quote from Mugabe? Mimi binafsi napatwa na mashaka na hiyo misemo kama ni kweli inatoka kwa huyo mzee. Je wenzangu mnaweza...
4 Reactions
36 Replies
15K Views
Nasema hivi mchumba hasomeshwi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Japo kuna watu wengi tu humu wanasomesha wachumba zao na kuna wengine walisomesha na kipindi hiki wanajuuuta na wengine...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina Laptop yangu aina ya HP nilikuwa nimeiacha chaji nimerudi nakuta Kioo kinaonyesha Rangi nyeupe tu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Nimejaribu kuirekebisha nimeshindwa Wataalamu...
0 Reactions
4 Replies
938 Views
Habari zenu, Mimi ni mfugaji nafuga kuku leo asubuhi kuna kuku wangu nimemvumilia kwa siku 5 kutokana na ugonjwa wake nikidhani angepona maana ana vifaranga vya wiki moja ila kadri muda...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Nchi huwa kuna mahali wanaita 'she' or 'her'. Sasa tuseme kwa mfano: Tanzania ingekuwa na shape gani labda? Au Kenya ingekuwa na sura gani labda?
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Baada yakuona malalamiko mengi nikaona bora nipite jukwaa la jamii intelligence nimelipenda maana limeniongezea ufahamu wa baadhi ya vitu.
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…