Habari wadau za juma pili.
kama kichwa cha habari hapo juu.
mimi nime wai kutumia simu za aina nyingingi sana ila kiukweli nilii kuwa mgonjwa na simu za nokia na huaweii.
tokea maisha yangu...
Katika siku ambazo tumeshindwa kupumua ni leo mana tumechanganywa na vitu vingi kama watu walipangana
1. Mond na Kiba kumekucha
2. Aunt Ezekiel kufungiwa bar yake baada ya kurudiana na timu WCB...
SWALI: Nini maana ya matatizo..?
JIBU: matatizo ni pale unapopewa adhabu na mwanajeshi then akakuruhusu uondoke, lakini ukarukia pikipiki yako halafu ukapayuka..!!!!! Mwanajeshi, wee boya Tu...
Wanasemaga kuimba vizuri kanisani ni sawa na kuimba mara mbili...imagine wewe ni Mungu afu hawa watu wanakuimbia hivi utajisikia vipi mmhh.... Hawa watu wanajiita Mormon tarbenacles Choir wanaimba...
Mu hali gani wanajf,
Awali ya yote nimeonelea niandike kitu hichi ili kuwaweka katika utayari wa maisha yenu/ yetu, sijamkusudia mtu yeyote kumwandika hapa bali kutokana na hali yangu...
wakuu msaada wenu nataka nianze gym ila mwili wangu ni mwembamba saana nataka nijae kama brown. nahitaji supplment nzuri ya bei rahisi au dawa zozote nazoweza kutumia. naombeni msaada kwa...
Nimekaa hapa nakunywa chai yangu na kiporo, ghafla kaja shoga yangu hatujaonana miaka mingi. Anasukuma mgari, kapendeza huyo. Full kujidai!
Nikijiangalia basi nliivyopuyanga, full kupauka...
Amani iwe juu yenu wakuu
Nuru ya MUNGU iwaangaze
Naseseleka nayo
Jf kuna kila aina ya watu wapo wapole na wakorofi sana
Sitaki kuwazungumzia wengine Leo namuongelea mama yetu mpendwa...
Naomba nishauri na pia nitoe dukuduku
Wanaume/ wakaka wa chuo wambea sana em punguzeni umbea yani utakuta wanaume wamekaa kama watatu au wanne wanamsema mdada adi unanona aibu kama vile umesemwa...
Wanasema Mji umehamia Tabata,bar zote kali (executive) zipo Tabata.watu wanatoka kila kona ya Mji huu wa dar wanakuja kula bata Tabata.saa nane usiku hapo 40/40 bar hupati hata nafasi ya kusogeza...
Wanazengo, nasikia kuna balaa zito mnazi mmoja, nyuki kama wote na kuna tetesi kua mmoja chini. Hali si hali wazee wenye ndumba au tutumie moshi tukaline asali kabisa?? Daah ila wanaume wa dar...
Habari..
Hivi ushawahi kusafiri kwenda safari za mikoani au nje ya nchi au hapa na pale mfano Kariakoo au Tandika au Mwenge alafu ndani ya bus au gari ukakutana na kitu cha ajabu au cha kutisha...
Aman iwe nanyi
Leo mtaan kulikuwa na mada iliyokuwa inahusu neno akili, aisee kilinuka mazee
Kuna jamaa alidai marehemu Ruge alikuwa na akili sana
Ndo mimi nikadakia nikasema bro akili ni nini...
Aman iwe nanyi.
Mimi naomba kujua ni kwanini Wamarekani wengi wanaitwa akina Carter. Au Carter ni jina la kiasili kama ilivyo huku kwetu majina kama Masawe, Masanja, Mayala au Mabula?
Maana...
Yafuatayo ni Mawasiliano ‘ Kiduchu ‘ kwa njia ya Meseji ( SMS ) kati ya Mchezaji Mwandamizi wa Simba SC Hassan Dilinga ( HD ) na Kiungo wa Timu Masikini na inayoenda Kushuka daraja nchini kwa...