JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mahali ninapofanyia shuguli zangu kuna mkaka kapita na baiskeli ni hawa wanaouza sumu za panya "habari, kuna dada nimepishana nae hapo nyuma kaniambia nikuletee sumu ya panya" me nikashangaa sana...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimeshangaa kuona JF humu kuna watu wanafahamiana na wanajuliana hali Mara kwa mara. Hata ukipita kwa kutaja jina lako la JF na jukwaa unalopendelea na kwanini sio mbaya Je, wamejuana vipi...
0 Reactions
11 Replies
822 Views
Tupost maendeleo yetu ili mturoge hapa ni USWAHILI kwenda mbele alisikika mswahili mmoja akiteta na waswahili wenzake🤣🤣🤣 basi tuendeleze uswahili
1 Reactions
6 Replies
2K Views
As the Chit Chat says Talk about anything that falls under no category.. Now Let us have a simple Competition here. You just need to Choose one language either Swahili Or English... Basically...
0 Reactions
38 Replies
2K Views
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Hii ni list ya mikoa kumi inayoongoza kwa uchawi Tanzania. Kama warning ukielekea huko kuwa na tahadhari. 1. Shinyanga 2. Rukwa 3. Kigoma 4. Mtwara 5. Tanga 6. Simiyu 7. Lindi 8. Tabora 9. Ruvuma...
5 Reactions
120 Replies
39K Views
Wazee mmeiona katuni ya kipanya leo kwenye gazeti la mwananchi ukurasa wa 6,ipo safi sana! Eti CHADUMAA wanazika tu watu kwa siasa zao zinazofanikiwa sana kwa sasa za umwagaji damu ya watanzania...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Is the word man in the bible or in the Quran used only to denote 'ADAM'? It seems most people do not know that it can also be used to denote Humankind or Humans or Human beings or even be used to...
1 Reactions
2 Replies
455 Views
Niliwah kushiriki kwenye kamati ya harusi ya mtu Wang wa karibu, ilikua ni Mara ya kwanza kwangu kushiriki ktk kamati ya maandalizi ya harusi nilijifunza Mambo mengi lakin kitu kilichoniacha mdomo...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Kwenye maisha kuna vitu vingi vinatokea kila siku vingine vinafurahisha na vingine vinakera au vinakuchukiza sema hutakagi kusema tu. Kwa mfano vitu vinavyonikera Mimi Ni pale unapoenda kanisani...
2 Reactions
14 Replies
874 Views
1. Ukifika Sehemu... *Salimia* 2. Ukiondoka Sehemu..... *Aga* 3. Ukisaidiwa....... *Shukuru* 4. Ukiahidi...... *Tekeleza* 5. Ukikosea.... *Omba Msamaha* 6. Kama Hujaelewa..... *Uliza* 7. Unacho...
20 Reactions
51 Replies
5K Views
1. Usizungumze na mtu aliyevaa earphones Kimsingi unapoteza wakati wako. 2. Usizungumze wakati wa kutafuna au kula. 3.Usiweke picha zako kwenye mitandao ya kijamii wakati umetoa ombi la...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kuuliza!!nina marafiki zangu wawili!! Miaka iliyopita walienda kupima ukimwi kwenye haya magari yanayopita mitaani!!! Mmoja baada ya kupimwa alipewa condom bila kuomba?! Huyu mwengine...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Tujaribu kitu hapa. Kama kamchezo flani nahisi mtakapenda baadae DO YOU ACCEPT THE CHALLENGE? Kuwe na timu mbili timu moja ichague kiingereza timu nyingine ichague Kiswahili. Then mtakuwa...
1 Reactions
48 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF. Leo imetokea nimekumbuka tukio fulani hivi lililonitia aibu kubwa ugenini kila nikifikiria nachekea na kuhuzunika at the same time. Ili kuwa ni hivi kipindi hicho nimepata...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Asubuhi ya Leo NMB wamecheka hivyo naanzaje maisha kama hivi. Jamani mm sitaki stress kuanzia Leo mm ni Team Kiduku Lilo Atakayenionea wivu huyo mchawi maana hapendi mwanamke nijitume niwe na...
27 Reactions
483 Replies
46K Views
Kauli ya Tundu Lissu imenigusa kweli kweli naumia kweli na nawaonea wivu wale ambao wanajua kiingereza wanakicharaza Kama charahani inavyoshona. Huku sisi wengine wa kayumba tunapata tabu...
1 Reactions
7 Replies
570 Views
Kwanini pombe huwa zina harufu kali na ladha ya uchungu? Kwanini ile harufu kali husaidia nini kwenye pombe? Na ile ladha mbaya na chungu imewekwa ili iweje? Au ndio inaongeza nguvu za kiumeni?
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Poleni na majukumu wakuu Leo nimeona nisheenanyi njia za uhakika ambazo ukizitumia inavotakiwa kwako namba za watoto wazuri itakua sio shida Fungua goli(office) la huduma za kifedha yaani...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
natumai hamjambo wakuu, karibuni hapa ku-share top 5 ya mitandao yenu pendwa ya kijamii, binafsi listi yangu ipo hivi: 1.Jamii forums 2.Jamii forums 3.Jamii forums 4.Quora 5.Mocospace
2 Reactions
76 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…