Katuni ya kipanya ya leo kwenye mwananchi nimeipenda sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katuni ya kipanya ya leo kwenye mwananchi nimeipenda sana

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Tolowski, May 27, 2011.

 1. T

  Tolowski Senior Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wazee mmeiona katuni ya kipanya leo kwenye gazeti la mwananchi ukurasa wa 6,ipo safi sana! Eti CHADUMAA wanazika tu watu kwa siasa zao zinazofanikiwa sana kwa sasa za umwagaji damu ya watanzania maskini na wenye uelewa mdogo
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mwambie aliyekutuma kuwa hatudanganyiiiiiiki...!!!!!
   
 3. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,197
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  Tangu lini panya kaongea?
  .
   
 4. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Panya na wewe lenu moja,fitina tu naajungu ndio mtajo wenu na hamna tofauti na Dovutwa
   
 5. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,860
  Trophy Points: 280
  Ndio mawazo yake.
   
 6. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wewe utakuwa Devota sijui dovuta
   
 7. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wewe utakuwa Devota sijui dovuta yule konda wa ccm
   
 8. EvJ

  EvJ JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sidanganyikiiii.
   
 9. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kama mtaji wa cdm damu kwanini imwage na chama cha magamba, kwahiyo magamba wameamua kwa makusudi kuwapa cdm mtaji!
   
 10. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #10
  May 27, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Ile katuni si mbaya in fact kipanya anaiuliza chadema ilimalizanaje suala la Arusha?
   
 11. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni haki yako kutodanganyika.
  itumie ipasavyo.
   
 12. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mtu akiihoji chadema, basi anafanya fitna na majungu eeh? kazi kweli kweli
  hii ni hatari kama hamtaki chama chenu kihojiwe.
   
 13. h

  hans79 JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  anzia kwa baba harafu dogo,kwa baba hujamaliza waenda kwa toto,we vp hela za kuuza trekta bomu zimekulevya
   
 14. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  mboni sioni mlicho hoji hapo? Tofauti fitina za panya na aliyeweka post.
   
 15. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  usitake kufurahisha barza hapa....pitia thread humu ndani na uone watu walivyotukanwa na kuitwa majina kwa sababu ya kuihoji chadema tu.
   
 16. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hajatumwa ipo gazeti la mwananchi kwani mkuu husomi magazeti?
   
 17. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ni kweli ipo hiyo katuni kwani mkuu hununui magazeti?
   
 18. g

  gambatoto Senior Member

  #18
  May 27, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana, mpe nyingine.
   
 19. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wewe lazima utakuwa mkurya au muhaya. i bet this on everything i have
   
 20. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #20
  May 28, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nina tatizo na tafsiri aliyotoa kuhusu katuni hiyo.
   
Loading...