Collection ya magari yake ni pamoja na Rolls Royce, Porches, Bentley. Umri wake ni miaka 40. Alitumia encro phone, hii ni simu ambayo gps na camera vimetolewa na message zake ziko encryptied...
[emoji23]"nipeni likes...wakwanza hapa..tupia likes za kenyan's..."ckuiz ukiingia yutub huez kosa hayo maneno kwny comments..binafsi siwasemi kwa ubaya waomba likes ila bado cwaelew yaan hili...
Leo ni katikati ya mwaka, tumemaliza siku 183 na zimesalia siku 183. Nawatakia Amani, Furaha na Mafanikio ya nusu mwaka uliobakia.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Maisha ya binadamu huwa hayana maana kama kumbukumbu za furaha zitazidiwa na kumbukumbu za huzuni, ili kupata furaha kuna njia nyingi sana mojawapo ni kutoka nje ya eneo ulilolizoea.
Karibuni...
Habari za mchana ndugu zangu.
Baada ya chama kukubaliana kuhusu kukaza masharti ya kuhonga, sasa wanawake wamekuja na mbinu moja matata sana. Tafadhari sana usije ukauza mechi kwa hawa wasichana...
1.maduka mawili moja la rejareja mtaani na lingine la jeans mtaji wake Zaid ya million tano
2.saloon ya kiume
3.mashamba mawili jumla heka 12
4.masofa full set
5.tv,deki,sabufa na kitanda na...
Hivi nijambo gani haswa mybe ulifanya kimakosa au hukudhamiria.
Kufanya af latley unajuta dah JAMBO hiLI bora hata nisingefanya 🤔
AU
Ni kitu gani ushawahi kufanya, lakini hautafanya...
KAULI GANI YA MWALIMU ILIKUA INAKUKERA SANA ME NAMBA 1
1. Hata msiponisikiliza mshahara wangu uko pale pale
2. Kama unajua kuliko mimi njoo ufundishe
3. Ulikuja peke yako na utaondoka peke...
Kuna upendo wa ukweli ila kuna vitu lazima uweke upendo kati ukajisitiri.
Mvua kubwa inanyesha ukapewa lift na bado mchumba au mume anamwamvuli utaenda na gari au na mwavuli na mpenzi wako.
Ilikua mwaka 1992, sikuzile tukijiita LY.
Sasa hatukua na mziki kwenye umaliziaji. Nikiwa kijana, nikijana nikajipiga kifua, baba alikua na radio santuri ya sahani mbili sikuzile.
Nikicho kifanya...
Ni kikapu nimezawadiwa na mama watoto katika birthday yangu lakini leo hii nimeamua kukitumia kuendea nacho ofisini kabisa.
Nashangaa why kila mtu ofisini ananitoela macho!!.
Anyway, maisha ni...
Nilivyoendaga Moshi nilishangaa Sana yaani kila nyumba hukosi chai kwenye thermos mnaabudu mpaka chai inawapa uchangamfu au maana sijui kwanini mtu anakunywa chai tu na anashiba kwa Imani bila...
Wakubwa mnaonaje..
Tayari nimehamia nataka nifanye maamuzi ya msingi kipi bora usafiri au mwanamke wa umri wa makamo nimekutana nae namuhofia ingawa ananipenda sana. Namuhisi na magonjwa haya...