JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tabu,shida na changamoto zako ndio sababu ya wewe kutafuta mafanikio zikubali alafu zikabili...na kumbuka mshukuru Mungu kwamba amekuwa mwenye fadhila, Rehema na kukupendelea kipekee. Neno gani...
1 Reactions
12 Replies
555 Views
😂😂😂💦
3 Reactions
4 Replies
541 Views
Jamani kabinti kangu kamekua hadi raha nawashirikisha kwa sababu mlinibezaga sana . Eti katoto kazuri hakunaga kuitwaga mamy . Nimeitwa mamy Katoto kangu mwaya 😊😊😍😘 Kakue chimamy wangu mwaya.
16 Reactions
179 Replies
8K Views
Kifupi ni kwamba, kwa sisi watumiaji wa vilevi vya aina mbalimbali huwa inakuwa ni sehemu ya kustarehesha ubongo na pia kupeana mawili matatu katika changamoto za kila siku. Kumwagilia moyo...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Mambo ni ajee Basi bwana Leo tarehe 23 ni birthday yangu... nijitakie heri ya siku ya kuzaliwa.... Huu mwaka kwangu ulikuwa wa majonzi na kilio sana....kifupi nilipitia mazito so nilikuwa na...
8 Reactions
12 Replies
597 Views
Hey guys, its been a decade tangu mara ya mwisho kulog in humu ndani, Jaman wale mabwana zangu na mashoga zangu wote nimewamiss saana i wish ningekuwa na muda wa kuzogoaa kama zamani🥲 all in all...
4 Reactions
13 Replies
588 Views
Mi naishi kwa sister toka nimalize degree. Kazi yangu bado sijaipata naisubiria. Nitapata tu. Ila bado nahitaji kuendelea na mchakato wa papuchi. Siwezi sema eti nisubiri nikipata pesa. Basi...
10 Reactions
28 Replies
2K Views
jamani kuna uzi wa jamaa kule anaelezea alikuwa anaumwa jino. Nimeona na mimi nielezee jinsi sikio la kulia lilivyochakaza! Yaani sikio,jino,macho sio vitu vya kuchezea kabisaaa.. Mimi nilikaaa...
13 Reactions
86 Replies
14K Views
☝🏾Sikiliza mtangazaji alichokuwa anasema kuhusu hiyo convoy hapo juu dhidi ya viongozi wetu kutoka Afrika wamepakiwa kwenye mabasi huku Biden kaenda na ndinga zake. 👇🏾Na hapa chini Kuna mdau...
15 Reactions
93 Replies
10K Views
Baada ya kujaribu mara kadhaa ili niamke na kushindikana nikaona isiwe tabu, wacha nitulie tu labda nitaamka mwemyewe tu, lakini ikawa inashindikana. Baada ya kuwaza kidogo, nikaona nijaribu...
0 Reactions
2 Replies
548 Views
Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana. Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi? Turudi kwenye...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Hebu tupeane uzoefu hapa kwenye hizi beer, Maana lugha zimekuwa nyingi sana kitaa, Mara hizi hazina wanga sana, zile hupati kisukar mara hata ukiwa na kisukari unakunywa, nyingine sinaleta...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Zamani nilikuwa nashangaa sana mtu anafikishaje miaka 30 hana nyumba wala gari?! Aisee naombeni mnisamehe[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
8 Reactions
7 Replies
682 Views
Guys, September naingia miaka 30 kwa hiyo nipo kwenye kumalizia my 20s [emoji4] Nikifikiria nakua Excited and Nervous at the same time, What does it feel like to be in 30s? will my skin change...
13 Reactions
122 Replies
6K Views
Habari wakuu! Moja kwa moja kwenye mada husika. Nilikua sehemu huko kijijini napiga kazi, ila baada ya muda kama wa mwaka nikahamia town. Kule bush nikawa nimezoeana na jamaa flan nae ni...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Kama wewe ni kijana na umemaliza chuo, nakushauri kaaa nyumbani usitoke mpaka utakapoona unaweza kujimudu. Usijaribu kujimwambafai ukaona umeshakua unataka kuanza maisha yakujitegemea. Kaa...
1 Reactions
5 Replies
696 Views
Ngoja nisome comments... Au na huu mtaupuuzia?
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Leo nilivokua msibani kwa bibi wa Wingerezani nimemuona binadamu asie wa kawaida nikajaribu kumpiga pic lakini kama akahisi nitaweka pic zake kama 1 mtaona kwanza macho yake hayako kama binadamu...
8 Reactions
83 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…