Nataka nifungue Kanisa langu nipige mpunga.
Naona future ipo huko. Siku hizi watu wamekata tamaa sana wanahitaji maneno ya faraja tu kidogo alafu wanakupa sadaka.
Hebu mwangalie
Pastor Mgogo...
Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo.
Wataalam wa sayansi...
Hello dears,
Mwenzenu leo hii hali siielewi, sijisikii kuchangamka, kuongea, kula, wala kutoka outing! Yaani kifupi nipo nipo tu kama mtu aliyekosa sera.
Nyie wenzangu huwa mnafanyaje katika...
Habari wakuu.
Kuna waungwana huwa wanatuaminisha kuwa wanawake wote ni sawa na suala la uzuri lipo kwenye macho ya anaetazama. Nimegundua kuwa huwa tunatiana moyo tuu, ila hili jambo sio kweli...
Hi JFs'.
kumekuwa na kasumba ya watu au kuwa na hadhi katika jamii kwa sababu ya kazi wanazo zifanya hasa kutokana na elimu waliyo nayo. Kwa mfano daktari ataheshimika tu kwa sababu ni daktari...
Haya jamani, tujikumbushe kila mmoja wetu, mwanafunzi aliyesoma naye ambaye kwa ukorofi, vituko na kadhalika hutakuja kumsahau, ambaye hata walimu na jumuiya nzima ya shule walimnyoshea mikono kwa...
Ni ajabu watu wanataka kubadilisha mboga wakati hawamudu. Watu wagumu kuelewa, utandawazi umeongeza mahitaji ya binadamu, bando, usafiri, simu nzuri, saluni, kodi ya pango na mengine mengi huko...
Tuliosoma Pugu boyz kuanzia miaka ya 2000 kuja juu njooni tupigeni story, kwanza mi nauliza kila Mara nipitapo ile njia kuelekea Kajiungeni huwa hali yangu inabadilika. Huwa nahisi kama narudi...
Wakuuu, Habari zenu, Binafsi nimejifunza mengi hapa Jamii forums kupitia machapisho au Nyuzi za hapa JF, ziko nyingii za miaka na miaka, nyingine zina burudisha, kufundisha nk.
Leo hebu tutajiane...
Pale unapo mfukuzia mwanamke fulani ambaye unampenda sana halafu awe anakuchomolea nje!
Ujumbe wenu huu wazee wa tafuta pesa. Siyo kila mwanamke anahitaji pesa zako wengine wanaomba bidii yako na...
Kuna msela wangu leo kafukuzwa kazi kisa kamjambia boss wake wa kazi.
Msela kachukulia poa tu ila kitu ambacho amekitowa hakika ni zaidi ya Yusufu.
Eti yeye katoa rwakatala, mbaya sana...
Hao magenius wawili ambao ama kwa hakika 2021 wamefanya vizuri kuliko vijana wengi katika suala zima la uandishi wenye tija na maudhui bomba yenye kufikirisha na kubadilisha.wote Wana maarifa...